Ulaji mwingine waja vyeti vya udereva

Ulaji mwingine waja vyeti vya udereva

Nasikia eti traffic wako mbioni kugagua leseni pamoja na vyeti vya vyuo vya udereva walikosomea madereva.

Nijuavyo mimi 99.1% ya madereva Tanzania walipewa leseni zao mkononi bila kwenda vyuo vya udereva. Nijuavyo mimi michongo yooote ya kupata leseni inaendeshwa na askali police wasio wema.
Nadhani saa ya ulaji kwa vyuo vya udereva imewadia "madereva" wa magari kwenda kununua vyeti kwao ili kujinusuru. over!!!
Vyeti hatununui na magari tutaendesha.
Cheti Cha chuo chenyewe sijui kipo wapi itakuwa hicho Cha driving school ?????
 
Kwanza cheti halafu leseni.
Walitoaje leseni Kama hawakuona cheti.
Na Kwanini leseni watoe TRA? Kwanini hilo jukumu wasipewe polisi ambao ndio wanaohuaika na ukaguzi wa leseni na usalama barabarani? Hii ya kukaguliwa polisi na kwenda kuchukua leseni TRA ndio kumesababisha matatizo Haya yote .

Sijui Nani alipendekeza huo mfumo .
 
Natamani kujua traffic department walitoa driving licence ngapi
 
jama wtz tusipendi kila kitu
ipo ivi shiria mama ya usalama barabarani no 30 ya mwaka 1973 pamoja na marekebisho yake yote
chini ya maelekezo ya sheria hiyo,mwombaji wa leseni ya kuendesha chombo chochote cha moto ni lazima kwanza apate mafunzo ya udereva kwenye shule au chuo kilichosajiliwa na chenye walimu waliosajiliwa na mamlaka husika,
pia sheria na 16 ya mwaka 1996 kifungu 21 na 25. baada ya mafunzo,mwombaji atapaswa kuthibitisha kwa hati maalum kwamba ana afya njema (kiujumla)
akitimiza masharti hayo ndipo atatakiwa kutahiniwa na akifaulu atakabidhiwa hati ya kufaulu[certificate of driving competence]kwa mujibu wa kifungu na 23 cha sheria na 30(1973) kabla hajapatiwa leseni yake.
Ndivyo navyoelewa mimi
TUSIISHI KWA KULALAMIKA
 
kama ni kweli pande zote ziwajibike zinazohusika kwenye upatikanaji wa leseni isiwe upande wa madereva kana kwamba leseni zimeundwa na madereva peke yao..

Sheria ni msumeno ikate pande zote mbili sio kwa madereva tu...nawasilisha hoja
Ni kweli
Mafundi magari wote waonyeshe vyeti
Mafundi bomba
Mafundi mageti
Mafundi generator
Mdereva treni
Madereva Catrtepilla
Madereva tractors
Madereva folk lift
Madereva baiskeli
Madereva wa meli
Madereva wa majahazi
Nk....
 
Wamrudishe Mpinga. Huyu mkuu wa trafik wa siku hizi siye kabisa.
Amsikilize shangazi wa taifa kwanza ndio apige mswaki
 
Ni kweli
Mafundi magari wote waonyeshe vyeti
Mafundi bomba
Mafundi mageti
Mafundi generator
Mdereva treni
Madereva Catrtepilla
Madereva tractors
Madereva folk lift
Madereva baiskeli
Madereva wa meli
Madereva wa majahazi
Nk....
Na majambazi
Wapiga dili
Malaya
Wapiga debe
Wambea
 
jama wtz tusipendi kila kitu
ipo ivi shiria mama ya usalama barabarani no 30 ya mwaka 1973 pamoja na marekebisho yake yote
chini ya maelekezo ya sheria hiyo,mwombaji wa leseni ya kuendesha chombo chochote cha moto ni lazima kwanza apate mafunzo ya udereva kwenye shule au chuo kilichosajiliwa na chenye walimu waliosajiliwa na mamlaka husika,
pia sheria na 16 ya mwaka 1996 kifungu 21 na 25. baada ya mafunzo,mwombaji atapaswa kuthibitisha kwa hati maalum kwamba ana afya njema (kiujumla)
akitimiza masharti hayo ndipo atatakiwa kutahiniwa na akifaulu atakabidhiwa hati ya kufaulu[certificate of driving competence]kwa mujibu wa kifungu na 23 cha sheria na 30(1973) kabla hajapatiwa leseni yake.
Ndivyo navyoelewa mimi
TUSIISHI KWA KULALAMIKA
Huko kote tuliishapita Sasa Leo anakamatwa mtu Ana leseni. Kwanini wasiwakamate wasio na leseni ???
Kamateni hao wasio na leseni. Unakamataje mtu mwenyewe leseni ??
 
jama wtz tusipendi kila kitu
ipo ivi shiria mama ya usalama barabarani no 30 ya mwaka 1973 pamoja na marekebisho yake yote
chini ya maelekezo ya sheria hiyo,mwombaji wa leseni ya kuendesha chombo chochote cha moto ni lazima kwanza apate mafunzo ya udereva kwenye shule au chuo kilichosajiliwa na chenye walimu waliosajiliwa na mamlaka husika,
pia sheria na 16 ya mwaka 1996 kifungu 21 na 25. baada ya mafunzo,mwombaji atapaswa kuthibitisha kwa hati maalum kwamba ana afya njema (kiujumla)
akitimiza masharti hayo ndipo atatakiwa kutahiniwa na akifaulu atakabidhiwa hati ya kufaulu[certificate of driving competence]kwa mujibu wa kifungu na 23 cha sheria na 30(1973) kabla hajapatiwa leseni yake.
Ndivyo navyoelewa mimi
TUSIISHI KWA KULALAMIKA
Watanzania wanazo leseni halali na halisi, walipewa na nani?
 
Wananchi wataamua wenyewe kama wanataka kusikia matamko badala ya sheria. Nyerere (rip) wakati wa uhai wake alishawahi kumkosoa kiongozi mmoja na kumuonya kuhusu mambo ya kusikilisa na kutekeleza muongozo toka kwa mkewe, alimwambia kuwa wananchi wanataka na kuhitaji kujua kesho kutatokea nini, na ni utawala wa sheria peke yake ndiyo wenye uwezo wa kumhakikishia mwananchi hilo.
 
Askari wakavikague vyuo kwanza vinavyotoa vyeti kisha wajitahmini wao madereva hatuna shida
Nimekua na leseni yangu miaka 20+ mara Ya mwisho mwaka jana nimeilipia 40 000/=pale tra makumbusho ikakaguliwa na maafisa wa police wakaiona haina shida sijafanya ajali yeyote wakanikabidhi... Leo unaniambia nipeleke cheti cha shule niliosomea?
Huu ni usumbufu 100%
wanajipunguzia kura bila sababu, watu badala ya kujadili ujenzi wa viwanda sasa wanajadili vyeti vya udereva.
 
Wanakagua leseni za udereva walizozitoa wenyewe baada ya kuridhika na vyeti vya muhusika

Pathetic [emoji35]
 
Nasikia eti traffic wako mbioni kugagua leseni pamoja na vyeti vya vyuo vya udereva walikosomea madereva.

Nijuavyo mimi 99.1% ya madereva Tanzania walipewa leseni zao mkononi bila kwenda vyuo vya udereva. Nijuavyo mimi michongo yooote ya kupata leseni inaendeshwa na askali police wasio wema.
Nadhani saa ya ulaji kwa vyuo vya udereva imewadia "madereva" wa magari kwenda kununua vyeti kwao ili kujinusuru. over!!!
Kufa kufaana. Mungu ndiye mpanga riziki. Zamu yetu
 
Back
Top Bottom