VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Atamkejeli hata Mahera, Bashiru, Polepole no. Hapaswi kabisa kupewaJPM ana onesha akipita ata wakejeri ata watakao mpa kura
SUBIRI KIDOGO
Atasimga watu nimewaletea mambo mazuri hata hamna shukraniJPM ana onesha akipita ata wakejeri ata watakao mpa kura
SUBIRI KIDOGO
Sidhani anaweza kubadilika... hata ndani ya CCM kwenyewe wengi wanamvumilia tu sababu hawana pa kumsemea!!mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo.
I seeAnajiangalia TBC muda jinsi anavyopendwa. Haya mengine ni ya 2015 !
Ila Dira ya dunia zinatumulika kama maskiniiii sasa hapo ndio Tanzania duuuAmeshakosa kibali cha watz imebaki kazi ya tume kutulazimishia jitu tusilolitala
Hatari sana ......dunia ni kijiji chochote kinachosemwa na kutendwa kinaonekana dhahiri shahiriIla Dira ya dunia zinatumulika kama maskiniiii sasa hapo ndo Tanzania duuu
Ni kweli. Nawaomba twende na Hashimu Rungwe...mzee wa ubwabwa kwa wote ili kuboresha afya za watanzania.Watanzania wameshatuma ujumbe wao kwa Dkt. Magufuli. Umemfikia. Wanamsubiria Oktoba 28!