Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Hivi una uhusiano wowote na Rais aliyeko madarakani? Maana naona hata wewe hukupata nafasi ya mental development! Ni tatizo la kula mihogo kwa pilipili tangu utotoni.

Tatizo la huyu Simiyu Yetu amekua akilala na mifugo sehemu moja sasa hawezi kua na akili tena anawaza king'ombe ng'ombe.
 
Magamba wanaendelea kuumbuka, warioba kawatema wala hana hamu na nyie, wananchi waliotoa maoni yao wanaendeleza mambo hawataki longolongo zenu. Mbona sita alivyoenda urambo hawakumchangia hata hela ya mkutano kaitisha mwenyewe kwa hela haramu alizopora bunge la katiba.? Aibu yenu hiyo wapuuzi.
 
Hui no team Wassira. Maana Wassira anamwogopa Warioba Hainan mfano.

Wasira akimuogopa Waryoba mimi najinyonga, tuulize sisi watu wa Bunda, tunajua Mzee wetu anatmiwa na watu wa kaskazini kwa manufaa yao siyo ya Watanzania.
 
Vizuri sana mkuu Kubwera Lile zumbukuku lililokurupushwa usingizini kuja kuanzisha thread ya kumshambulia Warioba hapa Jamvini lije hapa kutoa maelezo, Je anaushahidi gani kwamba Warioba alicbangiwa pesa za kufanya Mikutano na Makongamano kutoka kwa UKAWA na Chadema??

Kama hana ushahidi basi yule mod katili wa kuban watu bila huruma amshugulikie huyo gamba haraka sana iwezekanavyo hawezi kutoka tu usingizini kuja kushusha heshima ya jukwaa kwa kuandika vitu vya kufikirika

BACK TANGANYIKA

WARYOBA kapew mshiko na UKAWA mnakataa nini? ana pesa gani ya kufanya makongamano wakati mshiko wake alitumia kunywa gongo na kuhonga wanawake, mzee alikuwa kicheche sana huyo.
 
Tanganyika inakuja...MUST....IPO SIKU TUTAKUWA TAYARI KUFA SB YA TANGANYIKA,MUUNGANO GANI HUU WA CHUNA BUZI
 
Pita bila kupigwa kutokana na bila kuchakachuwa warioba akituambia wanachi kiongozi fulani anafaa kuongoza tanzania huyo kiongozi atajinsi warioba anavyo kubalika kwa uadilifu wake
 
Frank Kubwera

Big up makamanda endeleeni kuelimisha umma maana wasira,sitta na wachakachuaji wengine wengi ccm mmetuchosha na uongo wenu kafieni mbele huko.warioba big up mzee tuko pamoja
 
Last edited by a moderator:
WARYOBA kapew mshiko na UKAWA mnakataa nini? ana pesa gani ya kufanya makongamano wakati mshiko wake alitumia kunywa gongo na kuhonga wanawake, mzee alikuwa kicheche sana huyo.

Inaonyesha alikupitia akakutelekeza sasa una hasira ile mbaya pole sana.
 
Frank Kubwera

Mkuu usisahau clip kadhaa ya Kongamano hiyo kuwa humu JF.
Staili hiyo ya WanaBunda inafaa kuigwa na waitakao nia njema Tanzania na Tanganyika !
Kuwe na Kongamano kila kona ya Nchi hii litakalo hudhuriwa na watu wa Kada zote yaani waumini wa Serikali Moja,Mbili na Tatu kila kundi litoe mada na kwani nini wanadhani wako sawa,Kuliko hii staili ya CCM kununua vyombo wa Habari na kuendleza Propaganda kwa kuleta Studi za TV wasomi njaa kama akina Bana.
 
Last edited by a moderator:
we kenge maji umedakwa kunako nini? Mbona unafuka moshi hivyo?

Tatizo lake muda mwingi yuko MSALANI

fart.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa huko lazima ningeshiliki na Mimi.Tupe kinachoendelea uko.....

Hata mimi dereva wangu amepata malaria hapa geita ningewahi kwenda bunda na ningechangia hii kitu.
 
Back
Top Bottom