Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Frank Kubwera

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
244
Reaction score
112
Kuna MwanaCCM hapa JF anajiita WA TANGA. mtu huyu kaandika rundo la propaganda dhidi ya Ziara ya Jaji Warioba.

Ieleweke Jaji Warioba wala CHADEMA au Ukawa hawajaanda Makongamano ya Warioba Bunda au Butiama.

Kilichotokea ni Baada ya Warioba kufika kijijini kwao Nyamswa kusalimia kama ada za kiafrika. Na Taarifa za uwepo Wa Warioba Bunda zilivyojiri Mjini. Basi Mara moja waumini Wa serikali tatu wakatengeneza kamati ya kumshawishi Warioba afanye Mhadhara juu ya kinachoitwa Katiba Pendekezwa.

Kamati hiyo ya waumini Wa serikali Tatu Bunda ilifika Nyumbani kwa Warioba jumatatu tarehe 13/10/2014. Na Warioba akaikubalia kamati waandae kongamano naye atatoa Mada hiyo.

Kongamano likaandaliwa na kamati na kufanyika Leo ukumbi Wa Heriet Mjini Bunda. Na Sasa linaendelea hadi SAA kumi na mbili jioni.

Gharama za Kongamano hili ni michango ya waumini Wa rasmu ya Warioba. Hasa wakazi Wa Bunda Mjini.

Fedha hizi hazikupatikana kutoka ukawa Bali michango ya watu Wa Bunda.

Maelezo haya ni kutoka kwa mratibu Wa kamati Hui Mjini Bunda.

Bw Daniel Ayot Charles

Hivyo Wassira kama hautaki jinyonge
 
Last edited by a moderator:
Danganya watoto wa sekondari siyo watu wazima kama siye pengine bavicha wenzako.
 
Ningekuwa huko lazima ningeshiliki na Mimi.Tupe kinachoendelea uko.....
 
Frank Kubwera
Mkuu nadhani unamuongelea huyu mzee amepoteza mwelekeo hana jipya kaisha tena ndiyo anazidi kujimaliza.
 
Last edited by a moderator:
Vizuri sana mkuu Kubwera Lile zumbukuku lililokurupushwa usingizini kuja kuanzisha thread ya kumshambulia Warioba hapa Jamvini lije hapa kutoa maelezo, Je anaushahidi gani kwamba Warioba alicbangiwa pesa za kufanya Mikutano na Makongamano kutoka kwa UKAWA na Chadema??

Kama hana ushahidi basi yule mod katili wa kuban watu bila huruma amshugulikie huyo gamba haraka sana iwezekanavyo hawezi kutoka tu usingizini kuja kushusha heshima ya jukwaa kwa kuandika vitu vya kufikirika

BACK TANGANYIKA
 
Sasa ww Simiyu Yetu unabisha nini. Wakati Mimi naishi Bunda na nimechangia tsh 5000. Waulize we ye Maduka stendi ya zamani. Wengi wamechangia.
 
Last edited by a moderator:
Na hapa dar tutamchangia pia hongera kwa na mikowa mingine pia
 
Jamani kuna gharama gani za kutisha hapo ambazo wanabunda hawaziwezi? Zaidi ya ukumbi, maji na kipaza sauti? Ieleweke Vema kuwa Warioba ni waziri mkuu mstaafu hivyo hana njaa kiasi cha kutaka kulipwa kuongea na waliochangia kwa kiasi kikubwa kumfikisha hapo alipofika na kuheshimika. So propaganda za gharama hazina nafasi
 
Danganya watoto wa sekondari siyo watu wazima kama siye pengine bavicha wenzako.


Hivi una uhusiano wowote na Rais aliyeko madarakani? Maana naona hata wewe hukupata nafasi ya mental development! Ni tatizo la kula mihogo kwa pilipili tangu utotoni.
 
Bajeti yote in laki 5 Tu iliyotumika. Yani laki 5 Bunda hatuwezi. Kupata mpaka utuhaibishe hapa JF. Tutakeradhi wewe WA TANGA
 
Last edited by a moderator:
Hao wamepewa na UKAWA kama upande wa pili, Waryoba anapoteza muda wake bure
 
Sasa ww Simiyu Yetu unabisha nini. Wakati Mimi naishi Bunda na nimechangia tsh 5000. Waulize we ye Maduka stendi ya zamani. Wengi wamechangia.

Achana na wenye upungufu wa akili. CCM hakuna tena mwenye elimu. Katiba katiba gani hiyo isiyo na lolote. Mbona kilaza wao wa ikulu kaanza kámpeni? anadhani yeye ndo kashika akili zetu? Nani vile? Simiyu Yetu? Huyu ni bwge wetu.
 
Achana na wenye upungufu wa akili. CCM hakuna tena mwenye elimu. Katiba katiba gani hiyo isiyo na lolote. Mbona kilaza wao wa ikulu kaanza kámpeni? anadhani yeye ndo kashika akili zetu? Nani vile? Simiyu Yetu? Huyu ni ----- wetu.

Katiba yenye akili siyo lazima iwe ya serikali tatu, na hili ndilo wananchi wanapaswa kuambiwa ilikuwamaliza UKAWA na genge lao la jukwaa la Katiba na WARYOBA.
 
Back
Top Bottom