Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

wassira ni janga la kitaifa

Ki msingi ni kwamba tunahitaji makongamano mengi na nchi zima kama hayo ili wananchi wakawaida wapate shule ya katiba na wakichanganya na yao mambo yanakuwa kura ya hapana! Ile wana ccm wanajidanganya sana, kikwete na wezake wakiongolea swala la katiba ni halali ila waumini wa serikali 3 wakisema inaonekana wanavuja amani ya nchi, what a hell is this! Wana ccm wako gizani, siku mwanga ukitokea, watakuta watanzania wote ni chadema na ukawa kwa ujumla wake!
 
Kifupi Warioba haitakii mema nchi hii na anadanganywa na UKAWA awe mgombea urais kwa chadema.

Anayeitakia mema nani?CCM wanawanyima haki watanzania kupiga kura zao kuchagua viongozi na katiba waitakayo sasa hawa CCM hapa wanatafuta nini?

Mkuki kwa nguruwe akiongea WASIRA sawa lakini akiongea mpinzani au WARIOBA anahatarisha AMANI.Huu ujinga sijui utaisha lini.
 
CCM wamezowea siasa za udanganyifu na kuleta janja ya Nyani ila mwakani OUT CCM pamoja na Kura ya HAPANA ya maoni
 
Hakika huyu ni mzee aliye na uchungu na watanzania wanaon nyonywa na kunyanyaswa na magamba.
 
Katiba yenye akili siyo lazima iwe ya serikali tatu, na hili ndilo wananchi wanapaswa kuambiwa ilikuwamaliza UKAWA na genge lao la jukwaa la Katiba na WARYOBA.

Hakika hapo umenena, katiba nzuri sio lazima iwe na serikali 3! tutakwenda kwa wananchi na agenda zetu zenye mashiko hawa ukawa hawatafika mbali, hizi ndizo zitakazowatoa UKAWA ulingoni 1. Kila mwananchi anahaki ya kuwa mbuge ili mradi tu ajue kusoma na kuandika hata kama hata darasa la kwanza hakufika. 2. Kila mtanzania anahaki ya kuwa mbunge kwani katiba haihitaji uadilifu kwa sababu hata mafisadi, wezi pia ni watanzania 3. Hii ndiyo jiwe Mbunge hatakiwi kuwajibishwa kwani yeye ni binadamu kama atawajibishwa basi wote watawajibishwa hata mkuu wa kaya pia naye ufanisi wa kazi W. 4. hebu endelea mdau na hoja zetu za nguvu.....
 
Wasira akimuogopa Waryoba mimi najinyonga, tuulize sisi watu wa Bunda, tunajua Mzee wetu anatmiwa na watu wa kaskazini kwa manufaa yao siyo ya Watanzania.

Tumia nafsi ya kwanza umoja kutoa maoni yako hao wengine watatoa wenyewe au unafikiri kutumia nafsi ya kwanza wingi ndio itakupa nguvu? weka data basi za hao watu wa bunda
 
Anayeitakia mema nani?CCM wanawanyima haki watanzania kupiga kura zao kuchagua viongozi na katiba waitakayo sasa hawa CCM hapa wanatafuta nini?

Mkuki kwa nguruwe akiongea WASIRA sawa lakini akiongea mpinzani au WARIOBA anahatarisha AMANI.Huu ujinga sijui utaisha lini.

Mkuu hapo mkuki umemkosa nguruwe umemchoma mwanadamu
 
Hapa kweli hii serikali inaendeshwa kibabe sana. Mambo mengi vijana ,watoto, wamama na wazee hayajaorozeshwa vyema
 
Hakika hapo umenena, katiba nzuri sio lazima iwe na serikali 3! tutakwenda kwa wananchi na agenda zetu zenye mashiko hawa ukawa hawatafika mbali, hizi ndizo zitakazowatoa UKAWA ulingoni 1. Kila mwananchi anahaki ya kuwa mbuge ili mradi tu ajue kusoma na kuandika hata kama hata darasa la kwanza hakufika. 2. Kila mtanzania anahaki ya kuwa mbunge kwani katiba haihitaji uadilifu kwa sababu hata mafisadi, wezi pia ni watanzania 3. Hii ndiyo jiwe Mbunge hatakiwi kuwajibishwa kwani yeye ni binadamu kama atawajibishwa basi wote watawajibishwa hata mkuu wa kaya pia naye ufanisi wa kazi W. 4. hebu endelea mdau na hoja zetu za nguvu.....

Kwa hiyo haki ni kwenye ubunge tu? Kwa nini rais naye asijue kusoma na kuandika tu?
 
Hoja anazotoa huyu bana ni dhaifu mno hivi unafikiri mkulima wa kijijini anawezs kupata furusa ya kugombea ubunge?
 
Kuna watu wanazungumza Ukaskazini humu kama walivyokaririshwa na debe tupu ccm.

Haya maneno msiache kuyasema kwa boss wenu Lowassa maana naye ni wa Kaskazini.

Hongera Warioba, wanaMara tunajivunia hazina wewe, Butiku, tunawaheshimu sana na kuwaombea heri kwa Mungu.
Msiogope majungu ya akina Wassira wenye miaka 69 hataki kuwaachia vijana, kazi yake kulala tu
 
Tutamuita kila kona ya nchi yetu kwa gharama zetu. katiba sasa ni zamu yetu sisi wananchi kuijadili katika kujadili huko tutakuwa tunataka ufafanuzi kutoka kwa warioba na sitta.
Sita tutamuuliza yafuatayo
1. Marehemu Shida amepiga kura kwa kutumia mtandao gani?
2. Zakhia Meghji imekuaje akapigia kura Zanzibar?
3. Kura za watu waliokwenda Makka walipigia wapi?
 
huwezi kumdharau hivihivi huyu mzee kama siyo laana uliyo juu yako na ulevi uliokuzidi sana.
 
WARYOBA kapew mshiko na UKAWA mnakataa nini? ana pesa gani ya kufanya makongamano wakati mshiko wake alitumia kunywa gongo na kuhonga wanawake, mzee alikuwa kicheche sana huyo.

Ulevi na laana vinakuandama, ndio maana huoni hata aibu kumtukana mzee kama Warioba achilia mbali huo uzalendo wake kwa taifa hili.
Yeye hajawai kumtukana mtu hata mtoto kama wewe unayenyanyua mdomo kuropoka matisi bila woga.
 
mzee warioba jina lake litabaki milee kwenye miyoyo ya watanzania na dunia

mzee amesimamia haki vile ambavyo inatakiwa kwa mzee kama yeye,

wapenda haki tunamheshim sana, na tutaendelea kumheshim hata kama mungu atamchukua.
 
Rais mwenywe alimuamin warioba sembuse ww huna hata.....ah...wafata mkumbo bhana ni sheeeeeda
 
Haya ni matusi kwa mwenyekiti wenu wa ccm aliyemteua katika tume ya katiba na akaridhia awe mwenyekiti. Kweli ccm ni mapambafffffffffff, tena mko mehu ya kutupwa msio kuwa na roho hata chembe!.

Wakati mnampa jjukumu kubwa hili hamkufahamu kwamba hafai? Au mmemfahamu baada ya kukataaa kuwa msukule wenu?

Nani kicheche zaidi ya mala-ya wa wa ccm kuanzia chini hadi mkit wenu? Pumba -vu kabisa.

WARYOBA kapew mshiko na UKAWA mnakataa nini? ana pesa gani ya kufanya makongamano wakati mshiko wake alitumia kunywa gongo na kuhonga wanawake, mzee alikuwa kicheche sana huyo.
 
Back
Top Bottom