Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

Mkuu hapo mkuki umemkosa nguruwe umemchoma mwanadamu

Nimekupata.Na MKUKI huu mara zote ukimchoma BINADAMU basi kelele za AMANI zinakuwa nyingi kupita maelezo.Ngoja tusubiri.
 
Go Go Go Go Mzee Warioba. Hicho ndicho kinachopaswa kufanyika. CCM wanatudanganya eti Katiba nzuri, imezingatia matakwa ya wananchi, eti waachane na siasa! Hivi kweli! Siasa haiwezi kuepukika. Hii ni kwa sababu bila siasa safi hata hayo matakwa ya wananchi yaliyozingatiwa(kama yapo) hayatatekelezwa. Political issues lazima ziangaliwe kwanza, Mzee waeleze watu faida za kuwaajibisha wabunge,madaraka ya Rais, muundo wa serkali, na mengine mengi katika kufikia matakwa yao.
 
Katiba yenye akili siyo lazima iwe ya serikali tatu, na hili ndilo wananchi wanapaswa kuambiwa ilikuwamaliza UKAWA na genge lao la jukwaa la Katiba na WARYOBA.

Unajua tunashindwa kuelewana kwenye suala la msingi ambalo linafichwa kisiasa suala la serikali ndo ilikua hoja kubwa kwenye mchakato wa katiba nzima achilia mbali maswala ya haki za binadam, wanawake nk kwa mtazamo huo waumini wa serkl 3 hawawez kusema katiba hiyo ni bora pili kwa waumin wa serkl 2 wao wanaona katiba ni bora tayari tutakuwa tumegawanyika pamoja na maridhiano kushindikana ikiwa ndio mchakato wa katiba unahitaj basi wangerud kwa wananchi kuuliza kama wanahitaji muungano kama wanauhitaji uwe Wa serkl ngapi maana wao ndo wenye mamlaka ya kutaka namna gani watatawaliwa mbali na hapo tunadanganyana
 
mkuu nadhani unamuongelea huyu mzee amepoteza mwelekeo hana jipya kaisha tena ndiyo anazidi kujimaliza.

umemaliza kuweka picha zakoooo??? Sasa tunataka tuanza kuweka za kwako upo tayarii?

Nakuanzia na hii... Tuambie hapa ulikuwa wapi?

Mbinga1.jpg
 
Huyu anaeitwa godlove nadhani wwe ndo umeishiwa sio jaji warioba.
 
ivi jf ni kwa ajili ya CDM. acha ujinga elimika.... achana na mkumbo usiwe mpumbavu
 
kubwera acha ushabiki wa kichama hautakusaidia. mimi nilikua bunda na nimehudhuria. najua a to z... ndo maana nakwambia toa hoja acha ushabiki.. kwenye hili jamaa yako eidha ahamie ukawa ambayo kwa sasa haipo au aachane na ushabiki kabisa. kwa umri wake anajiibisha. mwambie aende mlandizi njia ya kuelekea disunyala akaendeleze ubepari wake.... ni aibu mpaka jkt ruvu eti walikua wanapangiwa zamu za kulinda ufisadi wake leo hii anataka serikali tatu
 
[h=2]hebu angalia wasifu wake kidogo wa ndugu yenu huyu

Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Stephen
Middle Name: Masatu
Last Name:Wasira
Constituent: Bunda
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 9120, Dar es Salaam
Office Phone: +255 754 447 064
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: swasira@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%"] Member picture
1389.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
American University - Washington DC
American University - Washington DC
American University Washington DC
British Tutorial College
Bariri Primary School
Nyambitilwa Middle School
Kisangwa Middle School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Masters of Public Administration (MPA)[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]MA (Applied Economics)[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]BA Economics & International Studies[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1964[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1956[/TD]
[TD="align: center"]1959[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1960[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1962[/TD]
[TD="align: center"]1963[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operativesMinister
Parliament of TanzaniaMember of Parliament - Bunda Constituency
Prime Minister's Office - Regional Administration & Local Govt.Minister
Siza Cold Storage Co. LtdManaging Director
Parliament of TanzaniaMember of Parliament - Bunda Constituency
Coast RegionRegional Commissioner
Ministry of Agriculture and Livestock DevelopmentMinister
Ministry of Local Government Co-operatives and MarketingDeputy Minister
Plenpotential Embassy of Tanzania - Washington DCMinister
Mara RegionRegional Commissioner
Ministry of Agriculture and Livestock DevelopmentJunior Minister
Parliament of TanzaniaMember of Parliament - Mwibara Constituency
Community DevelopmentAssistant
Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operativesMinister
Ministry of WaterMinister

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]5/12/2008[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2/13/2008[/TD]
[TD="align: center"]5/12/2008[/TD]

[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]

[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]

[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]

[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]

[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]

[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]

[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]

[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]

[TD="align: center"]1965[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]

[TD="align: center"]10/17/2006[/TD]
[TD="align: center"]2/8/2008[/TD]

[TD="align: center"]1/1/2006[/TD]
[TD="align: center"]10/16/2006[/TD]
Tanganyika African National Union - TANUDistrict Executive Secretary

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]




speakerz.png


members.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Sokoine Edward Moringe Namelok
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
1582.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] Special Seat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(5) [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions(4)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions(16)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]All members[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Comitee-email.png

searchmp.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Enter your MP name or constituent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 113"] [/TD]
[TD="width: 75"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

event.png

«««»»»
1 2 3 4
5 6 7 8 9 10 11
12 13 14 15 16 17 18
19 20 21 22 23 24 25
26 27 28 29 30 31

[TH="colspan: 3"]October 2014[/TH]

[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sun[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Mon[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Tue[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Wed[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Thu[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Fri[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sat[/TH]

[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]

[TD="class: padding"] [/TD]





Danganya watoto wa sekondari siyo watu wazima kama siye pengine bavicha wenzako.
 
Kuna MwanaCCM hapa JF anajiita WA TANGA. mtu huyu kaandika rundo la propaganda dhidi ya Ziara ya Jaji Warioba.

Ieleweke Jaji Warioba wala CHADEMA au Ukawa hawajaanda Makongamano ya Warioba Bunda au Butiama.

Kilichotokea ni Baada ya Warioba kufika kijijini kwao Nyamswa kusalimia kama ada za kiafrika. Na Taarifa za uwepo Wa Warioba Bunda zilivyojiri Mjini. Basi Mara moja waumini Wa serikali tatu wakatengeneza kamati ya kumshawishi Warioba afanye Mhadhara juu ya kinachoitwa Katiba Pendekezwa.

Kamati hiyo ya waumini Wa serikali Tatu Bunda ilifika Nyumbani kwa Warioba jumatatu tarehe 13/10/2014. Na Warioba akaikubalia kamati waandae kongamano naye atatoa Mada hiyo.

Kongamano likaandaliwa na kamati na kufanyika Leo ukumbi Wa Heriet Mjini Bunda. Na Sasa linaendelea hadi SAA kumi na mbili jioni.

Gharama za Kongamano hili ni michango ya waumini Wa rasmu ya Warioba. Hasa wakazi Wa Bunda Mjini.

Fedha hizi hazikupatikana kutoka ukawa Bali michango ya watu Wa Bunda.

Maelezo haya ni kutoka kwa mratibu Wa kamati Hui Mjini Bunda.

Bw Daniel Ayot Charles

Hivyo Wassira kama hautaki jinyonge

UKAWA ni muungano wa vyama halali viivyosajiliwa kisheria kufanya kazi ya siasa Tanzania.
Hivyo vikundi unavyoviita 'Waumini wa Serikali Tatu' na 'Waumini wa Rasimu ya Waryoba' vinapata uhalali wa kisheria wapi kufanya mambo hayo ya kisiasa ya kuendesha mikutano ya hadhara ya kupinga misimamo ya serikali na chama tawala? Vimesajiliwa wapi mpaka Mzee Warioba akavikubali? Una uhakika vikundi hivyo si vya UKAWA ambao ndiyo wenye uhalali wa kufanya mapambano hayo?
 
Back
Top Bottom