Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,982
Warioba ni CCM Haina shaka. Ila anaamini katika kweli.
Hata baadhi ya wana-CCM ni wana-UKAWA!!
Warioba ni CCM Haina shaka. Ila anaamini katika kweli.
Sasa ww Simiyu Yetu unabisha nini. Wakati Mimi naishi Bunda na nimechangia tsh 5000. Waulize we ye Maduka stendi ya zamani. Wengi wamechangia.
WARYOBA kapew mshiko na UKAWA mnakataa nini? ana pesa gani ya kufanya makongamano wakati mshiko wake alitumia kunywa gongo na kuhonga wanawake, mzee alikuwa kicheche sana huyo.