World [emoji288] is not fair. Siku zote dunia aipo sawa na ndio maana Marekani anakwambia Hana rafiki wa kudumu yeye anaangalia maslahi yake. Na hawa Clouds Media wanaangalia Maslahi yao, wameona matamasha yao ya Fiesta yatashindwa kufanyika na ndio maana wameona wajishushe. Kama kwenye mashindano ya Ndondo Cup [emoji478] walianza kuwekewa zengwe, kwenye uwanja wa Bandari. Sasa wameona matangazo yao yatapata ukakasi bila kuwepo kwa nguvu ya mkuu wa mkoa
Watoto wa mjini, wanaona bora wakaushe ugali usije ukaharibika zaidi