Wakati sahihi ulikua ule ambapo nayeye alikua ndani ya serikali, huu unafiki tunaoshabikia sasa ndio unasababisha hili taifa lisipate mabadiliko ya kweli, huyu polepole tunapaswa kumpinga kwa tabia zake za kinafikiUngekuwa Wewe ungesema? Ameona Aseme sasa kwani ni WAKATI SAHIHI
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app