Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 291
- 281
ya lini hii? kuna mja anakataa kutoka
Angalia. Sikiliza. Elewa ukweli wa mambo.Vipi jambo letu linarudiwa?
Mbona unajieleza sana, SI mlisema imekwisha?
Na huu ndio ukweli wa mambo.Hatari
Mzima lakini ?Na huu ndio ukweli wa mambo.
Kwanini unieleweshe sasa,Angalia. Sikiliza. Elewa ukweli wa mambo.
hawa ni wagombea wao halali -- walikubali
Oktoba tuna tiki Samia.
fomu wameiruka wamesema haiona maana -- na wajumbe wao wakakubaliKwanini unieleweshe sasa,
Kuna nn kwani,
SI mlisema fomu moja ?
Uongo mkubwa hakuna kitu kama hicho
Tunabet na tunaishi fresh tu na mambo yetu yanasonga.hayo ma vi8 hatuna habari nayoWatajuana wenyewe, sisi wengine tunaishi kwa kubet na radha ya vieite hatuijui.
Anataka tu kutuchanganya huyuKuna clip inatembea kuwa alikataa kupisha, kama kibajaji alivyoshauri.
Wachochezi bwana!
Hakupisha alikomaa palepaleKuna clip inatembea kuwa alikataa kupisha, kama kibajaji alivyoshauri.
Wachochezi bwana!