Ukweli wa mambo huu hapa

Ukweli wa mambo huu hapa

ya lini hii? kuna mja anakataa kutoka
Tumuulize Maria Sarungi na Mange Kimavi maana wao wanasema Mgombea aligoma kutoka hata Kibajaji alipoomba akagomewa na kuwa eti hakukua na uchaguzi. Ukweli ndio huo wametahayari wote na wamebaki kutoa macho tu na kushangaa.
Mgombea alitoka na kila mtu alikuwa na haki ya kueleza msimamo wake kukataa au kukubali. Walio wengi walishinda na akathibitishwa na Mkutano Mkuu.
CHADOMO na lile kundi linaloona kuwa Mh Samia hawezi kuwa Raisi waje na Santuri nyingine hii imebuma mapema sana.
Usajili wa Pole Pole kama ilivyojina lake umekuwa na matokeo ya Pole pole sana na umeshindwa kutoa matokeo ya haraka.
 
Clip ipo na aligoma kutoka usiwe mbishi
 
Clip ipo na aligoma kutoka usiwe mbishi
Ile clip walikuwa wanajadili utekelezaji wa ilani ya CCM na akasema kuwa hatotoka maana yeye ndio mwenyekiti na mtelelezaji Mkuu wa Ilani. Kama kumnanga kwa kushindwa basi wajumbe wafanye hivyo mbele yake na si vinginevyo
 
Tumuulize Maria Sarungi na Mange Kimavi maana wao wanasema Mgombea aligoma kutoka hata Kibajaji alipoomba akagomewa na kuwa eti hakukua na uchaguzi. Ukweli ndio huo wametahayari wote na wamebaki kutoa macho tu na kushangaa.
Mgombea alitoka na kila mtu alikuwa na haki ya kueleza msimamo wake kukataa au kukubali. Walio wengi walishinda na akathibitishwa na Mkutano Mkuu.
CHADOMO na lile kundi linaloona kuwa Mh Samia hawezi kuwa Raisi waje na Santuri nyingine hii imebuma mapema sana.
Usajili wa Pole Pole kama ilivyojina lake umekuwa na matokeo ya Pole pole sana na umeshindwa kutoa matokeo ya haraka.
Km hujui kitu unauliza.
Kwenye mkutano wao aliopitishwa km mgombea urais na kikwete aligoma kutoka.
 
Tumuulize Maria Sarungi na Mange Kimavi maana wao wanasema Mgombea aligoma kutoka hata Kibajaji alipoomba akagomewa na kuwa eti hakukua na uchaguzi. Ukweli ndio huo wametahayari wote na wamebaki kutoa macho tu na kushangaa.
Mgombea alitoka na kila mtu alikuwa na haki ya kueleza msimamo wake kukataa au kukubali. Walio wengi walishinda na akathibitishwa na Mkutano Mkuu.
CHADOMO na lile kundi linaloona kuwa Mh Samia hawezi kuwa Raisi waje na Santuri nyingine hii imebuma mapema sana.
Usajili wa Pole Pole kama ilivyojina lake umekuwa na matokeo ya Pole pole sana na umeshindwa kutoa matokeo ya haraka.
Iweke hiyo clip iwe ya dakika 10, tano kabla ya clip hii, na tano baada ya hii clip. Msikate popote tuone wakijadili kuwa ni uchaguzi mgombea wa urais.
 
WAlikubali azimio🤣 sura ya ndugai ilikua haiamini amini
 
Back
Top Bottom