TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
sio kila wanaopost mkuu wanamaanisha.... nimetumia namba kabla malima hajawa waziri wa elimu, ila ujue ndivyo waislamu wanavyodanganywa kwenye mihadhara na wao wanaaminiKama mtaendelea kutafua hivi viji-sababu visivyo na mshiko mtaendelea kuwa nyuma ki-ELIMU milele. Ninajua ndivyo mnavyodanganywa huko misikitini.
From the horses mouth, mimi nilifanya mitihani wakati huo Waziri wa Elimu akiwa Jackson Makweta, Rais akiwa Julius Nyerere na tulitumia NAMBA katika mitihani yetu.
Sasa hili la kwamba Prof. Kighoma Malima ndiye aliyeleta mfumo na NAMBA kwa wahitimu linatoka wapi?! FYI, wakati huo Kighoma Malima alikuwa Lecturer UDSM akifundisha economics, hata SIASA alikuwa hajaingia. Ingawa sio vizuri kumsema marehemu lakini Prof. Kighoma Malima alikuwa MDINI sana kiasi cha kujenga ka-msikiti pale Wizara ya ELIMU. Sipati picha kama Jackson Makweta angejenga ka-kanisa wizara ya ELIMU sijui kelele zingekuwa je?