Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 196
Tujifunze namna ya kuandika bulaa bulaa na speculations hizo kila mtu anazijua!
Ungesema ni kijana gani ndani ya chama na nikivipi-mazingira mazima na kisa.
Mambo ya ngojera achia wanakaya.
Mkuu Unataka Utafuniwe Kila Kitu As If Wewe Siyo Great Thinker? Kuna Wachangiaje Wamekusaidia Kuwa Unganisha Dots Kwa February Maropes,ndio Kijana Anaezungumziwa.