ukweli wa dual sm

ukweli wa dual sm

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
ni kweli dual sim ziko slow zaid ya single...?
 
Nikweli simu hizi hua zinatatizo la network?
 
utuvasep.jpg

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Ziko poa tu![emoji338]
 
Nikweli simu hizi hua zinatatizo la network?

Ni kweli kwa namna moja au nyingine maana mm natumia Dual SIM ila kuna mda Internet inafail sana sana kwa hizi simu Samsung
Yaani uki switch kutoka Network moja kuja nyingine... naona Tecno wamempita S kwa hili swala la dual sim
 
Upo kwa 3g?
 
sina uhakika kama hili lina affect pia internet ila kuna dual sim za aina mbili,

1.dual sim standby
2.dual sim active

dual sim standby yenyewe ukiwa hutumii simu line zote mbili zinakuwa active na unaweza pokea simu muda wowote lakini ukianza kutumia moja line nyengine inakuwa haipatikani hivyo inakuwa useless. so inawezekana hapa ukawa unachat na line A kwa sms au unacall mtu hii inaweza athiri line B (sijahakikisha just mawazo tu). faida ya hii haili sana battery

dual sim active hii line zote zinapatikana hata ukitumia line moja haiathiri matumizi ya line nyengine hivyo hii inakua ni nzuri kuliko dual sim standby ila inakuja na cost ya kula charge balaa.

njunwa wamavoko simu nyingi za samsung ni dual sim standby
 
Last edited by a moderator:

Yangu naona kuna Smart Dual SIM yaani naweza pokea Simu katika line zote even during calls iwapo niki enable hicho kitu
 
Attachments

  • 1403261267903.jpg
    1403261267903.jpg
    37.3 KB · Views: 178
Last edited by a moderator:
sina uhakika kama hili lina affect pia internet ila kuna dual sim za aina mbili,

1.dual sim standby
2.dual sim active

dual sim standby yenyewe ukiwa hutumii simu line zote mbili zinakuwa active na unaweza pokea simu muda wowote lakini ukianza kutumia moja line nyengine inakuwa haipatikani hivyo inakuwa useless. so inawezekana hapa ukawa unachat na line A kwa sms au unacall mtu hii inaweza athiri line B (sijahakikisha just mawazo tu). faida ya hii haili sana battery

dual sim active hii line zote zinapatikana hata ukitumia line moja haiathiri matumizi ya line nyengine hivyo hii inakua ni nzuri kuliko dual sim standby ila inakuja na cost ya kula charge balaa.
njunwa wamavoko simu nyingi za samsung ni dual sim standby

Mm ninayo samsng dual znakuwa actv zote hata nkiwa net yatizo ni chaj.
Kama 1 ikiishiwa bando inahamisha yenyewe kwa chip nyingne
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom