Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
Kama ni kweli wamekamata hilo container mbona safari hii hawajataja ni la nani.Mbona hayo mengine walitaja ni ya mgodi gani.Kweli kweli container likamatwe kuna magari ndani muhusika mpaka leo asijulikane Yaani angegbewa kama mpira wa corner.
Kama wale walioleta mabasi kibao kwa document za pikipiki, mabasi yakaaza kusafirisha abiria kwa kutumia kadi ya piki piki, mabasi mengine kama matatu kutumia kadi moja ya gari na plate namba zifananazo. HII NDO TZ BWANA.Wewe nae mleta MAADA ni MPUUZI kamwe haujataka kufikiri.....Hakuna anaekataa ya kuwa NI KWELI magodoro yanaweza wekwa kuzuia GARI lisipolomoke kwenye container...LAKINI JE HIZO DOCUMENT ZA HIZO COINTAINER NI kweli ZIMEANDIKA kuna gari humo au wameandika vinginevyo?????......Haya mambo yapo kabsa mimi mwenyewe nimeshuhudia kwa macho yangu mtu anaandika document tofauti kabsa na kilichomo kwenye container.....