secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,491
Ngoja mama awape chao kwanza.Watupe vyetu mapema
Tukiwabana mapema hii tutakuwa tunawakosea.
Ngoja mama awape chao kwanza.Watupe vyetu mapema
Haaahaa 😊 😅 😅 😅 nisije kua mzee wa busaraaaaBado hujakutana na Hawa
Toto la gegedo secretarybird
Bibi ya ndege DIVISHENI FOO
Tajiri la Jf, Bill Lugano
HUjakutana na mtoa connection za kazi Poor Brain
Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman
Nomadix yeye ni kataa ndoa
Hao hapo juu 👆 wanaishi Upanga na masaki mmoja ndo anaishi mikocheni
Kuna huyu mzee wa ushauri na busara Dr am 4 real PhD
😹😹😹 Ataweza mahi wangu kushinda juani na mkorogo anaopaka??
Kwangu sio hiyari na sipendi kuuza uhuru wangu..!!Kuolewa si hiyari Kwa mwanamke ni lazima,ila ndoa ikishindikana hakuna namna
Wewe siku hizi umezibuka sana!! Sijui nani kakuharibu jirani yangu..!! 😹😹😹Kwahiyo unataka tufanyaje au tukusaidiaje??,. Sijaelewa lengo la bandiko lako
Enwei,. Njoo huku tutengeneze madirisha upate hela mrembo😘😘
Binti anataka maisha mazuri jirani,. Mchukue mkauze vijora au kama vipi niachie nimfundishe ufundi una hela😂😂Wewe siku hizi umezibuka sana!! Sijui nani kakuharibu jirani yangu..!! 😹😹😹
Hizo sabuni Sasa😁😹😹😹 Ataweza mahi wangu kushinda juani na mkorogo anaopaka??
Mwaya Marry Diana humu hata wasikutishe wote choka mbaya ni vile hatujuani..!!
Inawezekana wewe uko uswahilini unauza miguu ya kuku una life zuri kuliko unaowaogopa hapa..!! 😹😹😹
Nwei mahi nimeleta sabuni kutoka Dubai pambe hatareee…!! 👌
Vijora havina faida mi mwenyewe nimepauka lotion hadi nimeongeza na maji iwe nyingi..!! 😹😹😹Binti anataka maisha mazuri jirani,. Mchukue mkauze vijora au kama vipi niachie nimfundishe ufundi una hela😂😂
Nadhani nachokunywa nowadays kinanipeleka kwelikweli🥴
😹😹😹 Sabuni za Lamomy brand yangu kabisa awahi kabla mzigo haujawa sold out 🤣Hizo sabuni Sasa😁
Vipodozi vinataka mambo Kwa ushahidi Muuzaji inabidi awe na ngozi nzuri laini haijaungua na jua Wala mkorogo,. Unataka nipoteze wateja??😃😃Vijora havina faida mi mwenyewe nimepauka lotion hadi nimeongeza na maji iwe nyingi..!! 😹😹😹
Wewe mpe kazi ya kuuza Vipodozi vyako jirani..!!
Em nitumie kwanza pisi hata tatu nikuuzie na huku watu wamebabuka na hii baridi😹😹😹 Sabuni za Lamomy brand yangu kabisa awahi kabla mzigo haujawa sold out 🤣
Bibiye anataka kuonana na wana jf na apate out 😂Haaahaa 😊 😅 😅 😅 nisije kua mzee wa busaraaaa
Sasa jirani ndo uanze kumpa apake ili wateja wamiminike wajue una vipodozi genuine ambavyo vinaweza kumsaidia mtu aliyeungua na cream na kubabuka na mikorogo..!! 😹😹😹Vipodozi vinataka mambo Kwa ushahidi Muuzaji inabidi awe na ngozi nzuri laini haijaungua na jua Wala mkorogo,. Unataka nipoteze wateja??😃😃
Madirisha yanamfaa ye aje tu
😹😹😹 Limeisha nikutumie kwa bus or flight?Em nitumie kwanza pisi hata tatu nikuuzie na huku watu wamebabuka na hii baridi