Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,667
Vyovyote sawa ilimradi vifike Kwa wakati,. Mpaka msimu wa baridi uishe tutakua na hela nyingi ujue😹😹😹 Limeisha nikutumie kwa bus or flight?
Vyovyote sawa ilimradi vifike Kwa wakati,. Mpaka msimu wa baridi uishe tutakua na hela nyingi ujue😹😹😹 Limeisha nikutumie kwa bus or flight?
Wakamtibu kwanza walikomuunguza,.Hatuna mda wa majaribio sisiSasa jirani ndo uanze kumpa apake ili wateja wamiminike wajue una vipodozi genuine ambavyo vinaweza kumsaidia mtu aliyeungua na cream na kubabuka na mikorogo..!! 😹😹😹
Upo sawa Kwa mtazamo wakoKwangu sio hiyari na sipendi kuuza uhuru wangu..!!
SawaHumu masikini ni wewe..mfano mimi nina gari sita na nyumba 10
[emoji23][emoji23][emoji23]You bubuno too much....unajichoresha bibie.
Madirisha tenaKwahiyo unataka tufanyaje au tukusaidiaje??,. Sijaelewa lengo la bandiko lako
Enwei,. Njoo huku tutengeneze madirisha upate hela mrembo😘😘
Harafu 99% humu mko Dar!!!Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums
Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi.
Leo kuna Jambo niulize kuhusu watu wa humu na style zao, Kwanza wengi wanaonekana wasomi ,maana ukibishana kidogo basi anakimbilia kiingereza, kiukweli hapa wananikomesha ,lakini pia kila mtu humu ni ana uwezo Kwa namna fulani.
Mana nikisoma baadhi ya Mada naona wengi wamepangq nyumba siyo chumba,au wanamiliki nyumba na magari,lakini pia wana simu za gharama
sasa swali langu ina maana humu hakuna tunaofanana hali na mimi?
au miye bado mdogo na elimu yangu ya form four kwakuwa sina kazi yenye kipato cha maana?
Mimi naishi local life na kwetu ni uswahilini hapa tu natumia simu ya kawaida sana.
Natamani maisha mazuri mno ila naogopa kurisk maisha na kukufuru .
Karibuni
Hii ni ndume. Nilishaishtukia kitambo mnoMbona kama mwandiko wa kiume huu
InawezekanHarafu 99% humu mko Dar!!!
Pole sana waulize wenzioHii ni ndume. Nilishaishtukia kitambo mno
Sina cha kutaka kuprovePole sana waulize wenzio
PitaSina cha kutaka kuprove
Ee ndioMadirisha tena
Lione lol
itakuwa una Depression wewe siyo bure 🚮 I’m outLione lol