Ukweli utabaki kuwa ukweli

😹😹😹 Alijua humu watu wana pesa km wanavyojibrand, mi nilimwambia humu watu unaowaona wana maisha mazuri ilitakiwa uwaonee huruma hakunielewa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Boraaa alivyo sema Da marry nyanya, sie wengine vitunguu, tunawatoa machozi wajaa.

Kila siku nasema, ukiona mwanaume JF kutwaa kuranda randa ktk nyuzi na comments holela, ni choka mbayaa.

Ma boss kubwa wako kimyaa na ⌨️zao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uuuuwiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo ilikuwa bado dada,ni mwanzoni kabisa ,napokea meseji 50 za mtu mmoja nikajua Wana hela kumbeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenye hela hatumi sms 50, anatuma 3 za salamu, kinachofuata muamala ukiambatana na vocha, kifuatacho loc ya appointment.

Ndo nakusanua hivyoooo. JF kaa nayo kimastaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…