Angesema aliyekutana Nae wakati wa kuondoka akamuomba nauli ya kurudi bc nngejihisi n mm mana juzi kati hapa kuna demu mwanajf nmekutana nae afu nkamuomba nauli ya kurudi πNa sisi tunaomba tusipate km aliowasema Marry..!!
Hivi Mbaga sio wewe kweli huyo aliyevaa yebo πΉπΉπΉ
ππππππ watu weuweee!! Da marry ua, ua, afu unaua tenaa. LolAnatafuta umbea kuuutwa kunichokoza mara nimekaa kienyeji,mara nipoje,kumbe na wao .....ππππ
Refariiii tupo hapa, hatutaki bahasha yake, na ushindi tunampaaaa!!Ngoja wamlete yeye km hajakimbia id au ajifiche kwa muda usiojulikana..! πΉπΉ
Yeye awalipue km kona au penati muhimu afunge..!! π€£
Inasikitisha sana, πππππAngesema aliyekutana Nae wakati wa kuondoka akamuomba nauli ya kurudi bc nngejihisi n mm mana juzi kati hapa kuna demu mwanajf nmekutana nae afu nkamuomba nauli ya kurudi π
Wewe jishikilieKutokana na mada zako, Ww ni malaya.
Ni noma sana mkuu πInasikitisha sana, πππππ
DA marry mwenyewee, uko Lele Leleee.
Em mtaje huyo kapuku, asiyefua wala kunyoosha pasi nguo.
Unatupa ubuyuu nusu, wambea na wadaku tuna baki kuteseka na labdaa.
Hatariiii πππππNi noma sana mkuu π
Ww usinichefueShikilia Kwa kubembea kwenye hizi ndala zako
Sawa mamaaWw usinichefue
Yeye tu aumwage hakuna wa kumshambulia, mabodigadi tuko vizuri..!! πΉπΉπΉRefariiii tupo hapa, hatutaki bahasha yake, na ushindi tunampaaaa!!
ππππππ
Huyo ni wewe bhana πΉπΉAngesema aliyekutana Nae wakati wa kuondoka akamuomba nauli ya kurudi bc nngejihisi n mm mana juzi kati hapa kuna demu mwanajf nmekutana nae afu nkamuomba nauli ya kurudi π
Haswaaaa!! Ulinzi tuna uweza na kuu mudu kabisaa.Yeye tu aumwage hakuna wa kumshambulia, mabodigadi tuko vizuri..!! πΉπΉπΉ
Akupende nani
Sasa hv nimeacha kuvaa yeboyebo, unavaa masendeu yale ya wamasai πHuyo ni wewe bhana πΉπΉ
Nawapenda Sana,ila nyie wambeaHaswaaaa!! Ulinzi tuna uweza na kuu mudu kabisaa.
πππππ
π€£π€£π€£VIP Kipochi manyoya discount unatoa
π€£π€£π€£π€£Akuuu , wenyewe najua wanasoma Uzi kimyakimya na simu zao za mikopo,wee mtu gani shati linangaa linaumiza macho kama mfanyakazi wa tanesko,
ππItangazwe Hali ya dharula,
Jf Kwa Sasa imevamiwa na Wavuvi