Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
970
Reaction score
2,360
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.

Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.

Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,

Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.

Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee

Haya kujeni
 
VIP Kipochi manyoya discount unatoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom