Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,503
- 18,949
Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi, wahindi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM. Kweli mhindi akaandamane akitaka haki?
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao, hata hafa JF tunaona mada zenye michango mingi huwa ni zipi.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi na kufilisiwa au hata kufukuzwa kazi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL