Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,812
Na hela zenyewe hana kama mimi 🤣Huyo anawaza hela tu
Na hela zenyewe hana kama mimi 🤣Huyo anawaza hela tu
Mshahara sijui unatoka lini 🙆♂️🙆♂️🙆♂️Huyo anawaza hela tu
Bora mama atawale Hadi atakapochokaDah! Taifa linaangamia kwa kukosa vijana wenye focus na mambo ya msingi.
Shwaaa kuterezaCha pili ni nini?
sidhani kama nilikuwa namaanisha hivyo ndugu!Bora mama atawale Hadi atakapochoka
Kama mahusiano sio mambo ya msingi, mbona yanachanganya mpaka kufikia kuboa hadi misingi ya hayo mambo unayoyaona ya msingi. Kwa kifupi ni muhimu sana kuelewa sanaa yake, maana yamemaliza sana hatima ya wengi.Dah! Taifa linaangamia kwa kukosa vijana wenye focus na mambo ya msingi.
Shindii pesa itatoka tu vumiliaMshahara sijui unatoka lini 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Shindii anapenda pesa mno na Zina mtesa mno😅Na hela zenyewe hana kama mimi 🤣
mambo ya msingi ndio hufanya mahusiano yako yanyooke, una kazi yako mfano mfugaji,mkulima,mfanyabiashara,nk,muda wa kuwaza ujinga huwa haupo.Kama mahusiano sio mambo ya msingi, mbona yanachanganya mpaka kufikia kuboa hadi misingi ya hayo mambo unayoyaona ya msingi. Kwa kifupi ni muhimu sana kuelewa sanaa yake, maana yamemaliza sana hatima ya wengi.
Upo sahihi kbsa mkuuMe navutiwa sana na mwanamke smart upstair na mstarabu,
Kuna wanawake hawana ustarabu, yani hata akija kukutembelea ndani ya dakika 30 nyumba inakua rafu, hawana ustarabu kabisa, wanawake design hii nawakwepa sana
Anakuwa kama love wa jua kali tuuUmetaja kudeka nimevuta picha ya mwanamke mnene akideka anavyokuwa 🤦♀️
Mbususu ni sehemu ya ukikekike. Labda kingine ni helaKingine ni mbususu au
Mtateleza wapi?Shwaaa kutereza
Uvumilivu sina, njanuari mbali🙆♂️Shindii pesa itatoka tu vumilia
Mnanisengenya😭😭😭Na hela zenyewe hana kama mimi 🤣