Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,120
- 111,793
Hatuna tabia hiyo sasa kusema ukweli ni kusengenya dipreMnanisengenya😭😭😭
Hatuna tabia hiyo sasa kusema ukweli ni kusengenya dipreMnanisengenya😭😭😭
UteleziniMtateleza wapi?
Na january ndio ile pale kwenye konaShindii anapenda pesa mno na Zina mtesa mno😅
Inabidi tujiunge tumchangie dipreshen itamuua aseeNa january ndio ile pale kwenye kona
😅 Shindii hali yako ni mbaya mama anguMnanisengenya😭😭😭
Cha pili?Mwanaume Anapomfuata Mwanamke Anahitaji Vitu Viwili, Kimojawapo ni Ukikekike wa Mwanamke (Feminity Traits)
Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu, Hereni, Kudeka na Kuwa Soft
Wapi huko nami nije?Utelezini
Acha kabisa, mwaka uishe tu.😅 Shindii hali yako ni mbaya mama angu
Ufanye uje tuuchanganye umaskiniAcha kabisa, mwaka uishe tu.
Nakusubiri🤣🤣Ufanye uje tuuchanganye umaskini
Uje ufanyaje sasaWapi huko nami nije?
Niteleze.Uje ufanyaje sasa
Ili wagundue nini labda???
Ushalewa wewe sio bureNiteleze.
Umejuajeeee. Heri ya krismasi🍷Ushalewa wewe sio bure
😋Nakusubiri🤣🤣
Ahsante na kwako pia mlewajiUmejuajeeee. Heri ya krismasi🍷
Ukilewa tunza siri za watu ona sasa ushatoa siri za mkuu ndugu yanguAaah umanionea! Hicho cheo cha min -me hadi anapotea.