Ukweli usiopingika kuhusu wanaume

Ukweli usiopingika kuhusu wanaume

Kinachotafutwa ni hiki tu hakuna kingine!

20251219_190319.png
 
Haya ni magamba ya nje tu. Femiminity ni tabia. Tabia kama upole, huruma, unyenyekevu, utii na ile karama ya kuwa mama "nurturing".
Yes bro me ndo naona hiko ndo kitu kinachonivuta kwa mwanamke

Hata kama mwanamke ana shepu na muonekano mzuri but sioni hizo tabia zake huwa siendelei kuvutiwa naye
 
Kingine tuna fata kile alichonacho PAULA KAJALA , ILI TUSIWE KAMA GOODLUCK GOZBERT.....WA MKONO
 
Ewaaaaaaaa Uzi mzuri sana huuuu


Ila mtoa mada haja weka kile ki nyama nyama kile ambacho hakuna mwanaume anakiweza. Hata akiwa baunsa ata surrender tuuuu
 
Mwanaume Anapomfuata Mwanamke Anahitaji Vitu Viwili, Kimojawapo ni Ukikekike wa Mwanamke (Feminity Traits)

Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu, Hereni, Kudeka na Kuwa Soft
We ni ke au me?
 
Yaani uvutiwe na mwanamke mwenye kucha zilizopakwa rangi, kasuka kasukika, kavaa accessories halafu wewe uwezo wako ni wa buku!😂
 
Back
Top Bottom