Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?CCM mnamuogopa sana eeeh? Kwnn mnataka mbowe aondoke kwenye uenyekiti? Mnajifanya mna huruma na chadema saaaana kumbe mbowe ni kikwazo kwenu ktk kuisambaratisha chadema eeeh. Mlifanikiwa kuisambaratisha NCCR Mageuzi kwa kuwa haikuwa na mkiti strong, ikazaliwa TLP ambayo ilikuwa ni CCM B kwa 100%
Bado NCCR Mageuzi ikajikongoja weee lkn mkaona haitoshi mkawaalika wahuni na hatimaye imesambaratika mazima sasa mkaenda CUF, hatimaye nayo iko hoi bin taabani. ACT Wazalendo iko chini yenu vzr kbs. Siku ikifika Mhe Mbowe atakaa pembeni lkn sio kwa kutushinikiza.
Atleast inasaidiaTukiwa na bunge imara inatosha sana, raisi hataweza kupiga free style kama ilivo sasa
Hiyo siyo ishu. Wewe elewa tu kuwa, ATAONDOKA WAKATI WAKE UKIFIKA, not now!!Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
Hawa watu ni wa kushangaza sana.Basi mbowe akiwepo ndio vizuri ili ccm muendelee kuwa madarakani mbona mnajifanya mnstuonea Chadema huruma
Chadema ndio upinzani wenyewe sasa.Habari JF,
Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM...
Sasa nyie CCM inawauma nini Mbowe kuwa Mwenyekiti?Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
Sasa imekuwa Mbowe ndie anaizuia Chadema kwenda ikuluMbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
Kwani Mbowe anafanya nini kuzuia Chadema isipitie kama hivyo vyama vyengine?CCM mnamuogopa sana eeeh? Kwnn mnataka mbowe aondoke kwenye uenyekiti? Mnajifanya mna huruma na chadema saaaana kumbe mbowe ni kikwazo kwenu ktk kuisambaratisha chadema eeeh. Mlifanikiwa kuisambaratisha NCCR Mageuzi kwa kuwa haikuwa na mkiti strong, ikazaliwa TLP ambayo ilikuwa ni CCM B kwa 100%
Bado NCCR Mageuzi ikajikongoja weee lkn mkaona haitoshi mkawaalika wahuni na hatimaye imesambaratika mazima sasa mkaenda CUF, hatimaye nayo iko hoi bin taabani. ACT Wazalendo iko chini yenu vzr kbs. Siku ikifika Mhe Mbowe atakaa pembeni lkn sio kwa kutushinikiza.
Umezunguka weee,kumbe tatizo lako ni hili?Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
madai yapi dhaifuSasa imekuwa Mbowe ndie anaizuia Chadema kwenda ikulu
Siku hizi mnamuokotea kila sababu ilimradi mhalalishe madai yenu dhaifu dhidi yake!
we huoni kama ni tatizo ?Umezunguka weee,kumbe tatizo lako ni hili?
Kwa sasa bado ni hitaji letu sisi wanachama wa chadema, msitupangie kabísa ... Siku ccm ikiondoka madarakani ndo cku na huku mbowe ataachia uenyekiti... Msitupangie na wala msitulazimisheMbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
Nje ya chadema hakuna chama pinzani ...na hilo mnalijuaKwani Mbowe anafanya nini kuzuia Chadema isipitie kama hivyo vyama vyengine?