Ukweli usemwe tu. We Africans were useless!

ok sawa umeujua mwezi ambao usingeujua bila wazungu, then mwezi umekusaidia nini mkuu. anyway, ujinga wa kwanza ni huko kujilinganisha na kujiona useless
 
ok sawa umeujua mwezi ambao usingeujua bila wazungu, then mwezi umekusaidia nini mkuu. anyway, ujinga wa kwanza ni huko kujilinganisha na kujiona useless
Wewe unawaza leo tu na hizo ndio akili za ngozi nyeusi iliopo Afrika. AI ilianza kugunduliwa miaka ya 1956.Wenye akili wanafanya tafiti ambazo zitatumika na kizazi kijacho hata baada ya miaka 100
 
Wewe unawaza leo tu na hizo ndio akili za ngozi nyeusi iliopo Afrika. AI ilianza kugunduliwa miaka ya 1956.Wenye akili wanafanya tafiti ambazo zitatumika na kizazi kijacho hata baada ya miaka 100
na wewe una ngozi nyeusi unaweza kufanya hayo yote unayoyasema, usitake wote tufikiri kama wewe unavyotaka. halafu pia ngozi nyeusi wamefanya wonders nyingi tu ni vile unafikra za kujidharau
 
upuuzi wetu ulianza pale walio kuja waarabu na wazungu na dini zao yaan.Mungu wa kizungu na kiarabu ni mweupe ila shetani ni mweusi 🀣🀣Na sisi tunaamini ...Wale walikuja usukumani wakakuta tunafuga ng,ombe,mbuzi,kuku na tulikua tufuga jwa wingi sana je twaweza sema sisi tulikua wajinga ..jibu hapana wazungu na waarabu wamewekeza sana ktk kutujaza ujinga wao wa dini tukajaaa
 
Kuzaliwa Afika kunahitaji moyo wa chuma maana kila unachojaribu kufanya, mfumo unakurudisha nyuma. Truly we are stuck in a hole we didn't dig.
 
Ondoa hiyo We weka me, i , and myself

Say I'm useless and not we are useless
 
Africa ni zaidi ya cursed nchi Zina vyanzo vya maji vya kutosha lakini maji safi na salama hakuna,kilimo Cha kutegemea mvua, wataalamu wetu wa afya wa ile inayo itwa hospital ya taifa waliweka mtambo wa kujifukiza pale hospital badala ya kuingia maabara kutafuta chanjo.

Majiji na miji ni slums tupu,njia za waenda Kwa miguu ni sehemu za biashara na vituo vya Bodaboda na bajaji,Ustaarabu ni zero kabisa taka Kila mahali,maji taka nayo hivyo hivyo.

"Wape bunduki watu weusi wataanza kuuana wenyewe Kwa wenyewe"Botha,Mo 29
"Mwafrika ni shujaa wa kupenda ngono,pombe na kucheza ngoma"Botha
 
Ili kupiga hatua Tuachane kwanza na Imani za kijinga!
Kweli mkuu, Angalia watu wanapiga na kumuumiza mwenzao eti kisa anatuhumiwa ameiba nyeti za mwenzake Kwa kumshika bega, ujinga mtupu.
 
Pia tujiulize, kwani tunashindana na nani? Kila mwananchi akishapata huduma zote za muhimu inatosha. Mambo ya vumbuzi ni matokeo tu, hayalazimishwi.

Haya mazoea ya kujibagua si mazuri.
Maji ni huduma muhimu lakini mpaka Leo ndani ya Jiji la Dar es salaam si kila mwananchi anapata hii huduma, sijaongelea mikoani.
 
Imagine kwamba ukishikwa bega nyeti zinapotea πŸ€” l
 
Kwenye maji kwakweli inasikitisha Sana, vyanzo vya maji viko Kila Kona, ila maji mtaani hakuna πŸ€”
Maji ilitakiwa yatolewe hata Bure, au Kwa gharama kidogo sana
 
na wewe una ngozi nyeusi unaweza kufanya hayo yote unayoyasema, usitake wote tufikiri kama wewe unavyotaka. halafu pia ngozi nyeusi wamefanya wonders nyingi tu ni vile unafikra za kujidharau
Niko Afrika nashugulikia kwanza tumbo(njaa) hivyo siwezi kufanya makubwa. Hata wazungu sio wote wanawaza/waliwaza kama NASA, Newton ,Einstein,Faraday hivyo hujalazimishwa kufikiri kama wengine.

Hapa tunawasiliana baada ya mzungu kuumiza akili, taja hata kimoja chenye impact kubwa kwa jamii kilichogunduliwa na ngozi nyeusi kutoka Africa?
 
Not WERE, but we are still useless till today especially tanzanians we are more useless than that word. I wil be back after a short break
 
Once we call you Chimpazee u react badly....sorry
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…