SahihiSisi tumefanikiwa kupora nyeti za wanaume kwa miujiza,huoni hiyo ni sayansi ambayo wazungu hawaiwezi.
Kwani ni lazima tuandike kiingereza hata kama hakitutakiJust imagine bila wazungu tusingejua muonekano wa mwezi wala dunia, wazungu wameleta mwanga wametutoa kwenye giza.
Bila wazungu sisi tungeishi kama wanyama porini tu.
Waafrika tumefanya nini la maana ambalo dunia imejivunia kutoka bara letu hili la afrika? Hakuna chochote ni wizi, umasikini mtupu, ufisadi wa viwango vya juu, unyanganyi mkubwa, totally were useless my bro we need to change our vision now
Leo tunaviongozi ambao hata kulinganisha dollar na shillings hawajui kufuatilia miradi hawajui leo tunambiwa eti mafuta marekani liter moja ni dollar 8000 sawasawa na million 20 kwa liter hapa bongo jamani hiii akili inachemka kweli we are going to die soon my bro 😔
Kiongozi anatokea eti ata sisi tunaweza kwenda mwezini unateknolojia gani ya kufika mwezini ? Itoshe kusema tumelaaniwa .
mfanoIli kupiga hatua Tuachane kwanza na Imani za kijinga!
Unakuta mdada miaka 25 hawezi kujinunulia pedi kwa gharama zakeUjinga wa Muafrika upo kwenye utamaduni wake. Alafu hawataki kubadilika.
Imagine kuhusu kumnunua mwanamke kwa kile kiitwacho Mahari.
Imagine Mzazi hakosei na kuamini mambo ya laana ya wazazi Jambo ambalo halipo.
Imagine mkubwa hakosei. Dadeki
Imagine mtu kuamini maendeleo bila ushirikina haiwezekani
Imagine kufanikiwa utaitwa freemasonry
Imagine Mwanamke ati hawezi kujitegemea.
Mawazo ya afrika yanachekesha sana
Unakuta mdada miaka 25 hawezi kujinunulia pedi kwa gharama zake
KENZY soma hapaUjinga wa Muafrika upo kwenye utamaduni wake. Alafu hawataki kubadilika.
Imagine kuhusu kumnunua mwanamke kwa kile kiitwacho Mahari.
Imagine Mzazi hakosei na kuamini mambo ya laana ya wazazi Jambo ambalo halipo.
Imagine mkubwa hakosei. Dadeki
Imagine mtu kuamini maendeleo bila ushirikina haiwezekani
Imagine kufanikiwa utaitwa freemasonry
Imagine Mwanamke ati hawezi kujitegemea.
Mawazo ya afrika yanachekesha sana
Hicho ndio ulichoona tuu🤔Kwani ni lazima tuandike kiingereza hata kama hakitutaki
We Africans were useless.
Pia tujiulize, kwani tunashindana na nani? Kila mwananchi akishapata huduma zote za muhimu inatosha. Mambo ya vumbuzi ni matokeo tu, hayalazimishwi.What matters sio kujilaumu na kujitukana tena. Tumeshajitukana vya kutosha
Bali ni solutions
Nini solution ya haya?? Tuna matatizo mengi, hatupaswi kuanza kujilaumu, tunapaswa kuyatatua