VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Kama kichwa cha habari kilivyo, ukweli ndo huo.
Tofauti na nchi jirani(kasoro Burundi,ambayo na yenyewe inapumulia mashine), Rwanda, maisha ni magumu,asikwambie mtu.
Hali hii,imepelekea watu hasa vijana wa umri mdogo na watu wazima,kwenye 40s kujihusisha na uhalifu;namaanisha ukabaji na wizi wa majumbani,kwa kutoboa nyumba.
Asilimia kubwa,isiyopungua 70, mtu mwenye flat TV, hiyo si yako. Pamoja na kwamba vyombo vya usalama vikipewa taarifa mapema, itapatikana tuu! Lakini, washikaji wameshatoboa nyumba na kuichukua. Na mwizi, haguswi. Akipigwa na kuumizwa, waliohusika hupata kezi ya kujeruhi kwa kukusudia. Hivyo, kupelekea kesi za wizi kuwa nyingi.
Mara nyingi, hutokana na ukosefu wa ajira.