Ukweli ni upi kuhusu Heche?

Ukweli ni upi kuhusu Heche?

Umeona namna utawala wako ulivyolaaniwa?mnazomewa kila mahali.
Gentleman,
kwani Simba Football Club kuwazomea mabingwa wa soka Tanzania mara5 mfululizo, Dar Es Salaam Young Africans hua kuna athari zozote dhidi ya mabingwa hao?🐒
 
Tatizo mmekataliwa kila mahali kwa sababu ya laana.
 
Gentleman,
kwani Simba Football Club kuwazomea mabingwa wa soka Tanzania mara5 mfululizo, Dar Es Salaam Young Africans hua kuna athari zozote dhidi ya mabingwa hao?🐒
Sasa kama mmekataliwa na wananchi mtawaongoza kina nani?wananchi hawaitambui hii serikali haramu.
 
majuto na athari za kususia uchaguzi zitawatesa vizuri sana gentleman, halafu ndio kwanza hata mwaka moja haujaisha 🤣
Aliyowakataa sio chadema tu ni watanzania wote isipokuwa nyie machawa.wale hawakuwa chadema wale ni watu wa kawaida tena wengine wafanyakazi wa serikali.
 
Sasa kama mmekataliwa na wananchi mtawaongoza kina nani?wananchi hawaitambui hii serikali haramu.
unywe visungura vyako huko kutuliza athari na majuto ya kususia uchaguzi, halafu uje kumbwelambwela jukwaani, eti ng'we ng'we mekataliwa,
unadhani kuna utakae babaika na makasiriko yako 🤣
 
Aliyowakataa sio chadema tu ni watanzania wote isipokuwa nyie machawa.wale hawakuwa chadema wale ni watu wa kawaida tena wengine wafanyakazi wa serikali.
hata kama ni familia na ukoo mzima,

makasiriko yenu is just hot air kwa walio kazini kutumikia wananchi 🐒
 
unywe visungura vyako huko kutuliza athari na majuto ya kususia uchaguzi, halafu uje kumbwelambwela jukwaani, eti ng'we ng'we mekataliwa,
unadhani kuna utakae babaika na makasiriko yako 🤣
Mimi mwenyewe sio chadema ni mtanzania mmoja kati ya watanzania zaidi ya m70 waliowakataa wauaji na serikali yao.
 
hata kama ni familia na ukoo mzima,

makasiriko yenu is just hot air kwa walio kazini kutumikia wananchi 🐒
Wananchi mnaowatumikia ndo hao waliowakataa kwa sababu ya laana mliyonayo.mmekataliwa na waTanzania wote.
 
Mimi mwenyewe sio chadema ni mtanzania mmoja kati ya watanzania zaidi ya m70 waliowakataa wauaji na serikali yao.
uwe chama chochote cha siasa nchini gentleman,

mihemko na makasiriko yako yanayotokana na majuto na athari za kususia uchaguzi, is just hot air kwa watu ambao wanafanya kazi kwajili ya waTanzania 🐒
 
Wananchi mnaowatumikia ndo hao waliowakataa kwa sababu ya laana mliyonayo.mmekataliwa na waTanzania wote.
hizo porojo mdanganyane na kupotoshana wenyewe kama wafuata mkumbo na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Evidence ya kukataliwa.viongozi wa serikali kuzomea,watu kufurahia kiongozi wa CCM akifa,maandamano Nk.mmekataliwa kila mahali duniani na mbinguni ni suala la muda kuanguka.
 
kwani kwa miaka mitano mfululizo nyie Simba Football Club si mmekua mkiwazomea Dar Es Salaam Young Africans, kwani kuzomea kwenu kume badili nini?

Yanga si ndio mabingwa na wataendelea kua mabingwa wa soka Tanzania bara 🤣
 
Back
Top Bottom