HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 547
Kwa mnaokumbuka hili sakata lilifika mbali na prof. Mwandosya mtaalam akaeleza hali halisi hakuna shida yoyote ya kutumia meli hiyo kupelekwa ziwa Victoria kupitia kenya
Swali langu; Mgombea urais mnaweza kutueleza sababu za kuzuia hii meli ya Bakheresa kufika ziwa Victoria leo hii wananchi wanateseka na mbaya mnaendelea kuwadanganya wananchi Bukoba - Mwanza mnaleta meli .Hiili meli gani linaahaidiwa toka Mkapaa,akaja mwenzie na sasa wewe unakuja na nyimbo hiyo hiyo.
.
Hapana wananchi wa Kanda ya Ziwa semeni no kwa CCM.
Pigieni kura Lowassa tulete mabadiliko ya nchi hii,nchi bila mabadiliko ahadi zote mnazopewa watarudi 2020 kuomba tena kura kwa ahadi hizo hizo
Sema no CCM
Vote for Lowassa vote for UKAWA
M4C daima.QUOTES,ALiyezuia ile meli kipindi kile ni huyu mh.magufuli akiwa waziri wa miundombinu ,kimsingi hakuzingatia shida ya usafiri waliyokuwa nayo wanajamii wa kanda ya ziwa ,hivi sasa anatoa ahadi ya meli yeye ataipitisha wapi ihali alishazuia ile ya bakheresa isipelekwa ikafanye kazi ,wananchi wanamuelewa