Ukweli ni kwamba hakuna urafiki wa karibu sana kati ya msichana na mvulana...ingawa wengi huwa wanakataa lakini ukichunguza kwa makini utakuta mmoja wapo anahisia na mwenzake sema anaogopa kusema,au wote wanahisia lakini wanashndwa kusema...binafsi nimeshndwa kutengeneza urafiki na wasichana zaidi ya watano kwa kujikuta tunahishia kwenye mapenzi...hata socrates alisema hakuna urafiki wa karibu kati ya msichana na mvulana
huo ni ukweli, lazma mtaishia kutongozana na mmoja asipokuwa strong mtagegedana.
Acha kudanganya watu wewe!!!!!!
hakuna urafiki wa karibu wa mwanamke na mwanaume. kama hutaki basi.
Narudia tena,acha kusema uongo bana!!!!
^^
Karibu kwenye ulimwengu wa ukweli,,achana na Plato/Socrates/Aristotle ambao hata kwenye silabasi za wagriki hawatumiki tena.
..
Nina marafiki wa kike zaidi ya sita,,wananiheshimu kama kaka nawaheshimu kama dada. Najua mipaka yao wanajua mipaka yangu..Mwaka wa 7 leo mawasiliano yapo.
^^
Mimi ninao marafiki wananiheshimu hawana hata wazo juu yangu. Tunasaidiana kuanzisha mahusiano. Akipata mrembo mpya lazima nipime viwango. Hata bf wangu anao marafiki wasichana na mwisho wa siku urafiki wetu unakuwa wa couple sasa. Wewe kama unatumia gear ya urafiki kuficha hisia zako, pole. Wenzio ikiwa ni urafiki ni urafiki tu, usiwatishe watu. Inawezekana.
Ukikua utajua ukweli!!!!!!Hakuna aliyenidanganya wala kujdanganya nimefanya research