Hata wewe dada unaye kubali kupigwa bila kinga na mtu ambaye hujamjua hata historia yake vizur wewe ndiyo shida...Hali ya afya ni siri ya mtu tena ukichukulia umepata mtu kwa kumtamani tu na unataka 1 night stand kwanini umweleze siri ya afya yako..Ngono salama ni lazima sana kwa mtu usiye mjua vizur na kama mko na serious relatn muende mkapime kwa pamoja mjue status zenu...
Nikulizwa mimi kama mwanaume nitajibu..Wanawake wengi ndiyo hawapendi kutumia Kinga kwa vigezo kadhaa..Kuna wanaosema wanapataga Fungus pindi wanaposhiriki tendo na mwanaume alievaa mpira...Kuna wengine wanaosema ndom huwapunguzia ladha ya tendo....Ila kwa sababu hizo toka kwa mwanamke haziwezi nibadilsha msimamo wangu kama mwanaume wa kutumia kinga..Hata hivyo kaka zangu wengi hawapendi mipira. Ndiyo maana nimeona niliseme hili hapa.
Umejibu mambo mengi kwa pamoja lakini nimekuelewa kuwa swala la afya kwetu bado ni siri yako kubwa hii inatokana na tabia ya kunyanyapaa wenye VVU.Hata wewe dada unaye kubali kupigwa bila kinga na mtu ambaye hujamjua hata historia yake vizur wewe ndiyo shida...Hali ya afya ni siri ya mtu tena ukichukulia umepata mtu kwa kumtamani tu na unataka 1 night stand kwanini umweleze siri ya afya yako..Ngono salama ni lazima sana kwa mtu usiye mjua vizur na kama mko na serious relatn muende mkapime kwa pamoja mjue status zenu...
Nikulizwa mimi kama mwanaume nitajibu..Wanawake wengi ndiyo hawapendi kutumia Kinga kwa vigezo kadhaa..Kuna wanaosema wanapataga Fungus pindi wanaposhiriki tendo na mwanaume alievaa mpira...Kuna wengine wanaosema ndom huwapunguzia ladha ya tendo....Ila kwa sababu hizo toka kwa mwanamke haziwezi nibadilsha msimamo wangu kama mwanaume wa kutumia kinga..
Upo sawa kabisa Uwazi katika maswala yote ya kujamiana na Elimu ya uzazi inachukuliwa kuwa ni kitu cha siri sana na kisichofaa kuzungumzwa hadharani kwa uwazi wake....Kitu kingine pia ni mapenzi yaliyopitiliza mtoa mada yawezekana una Elimu ya kutosha jinsi ya kujilinda na maambukizi yanayosababishwa na Ngono zembe...Inakuja tokea umempata mwenza ambaye umempenda mno na hauku tayar kumpoteza kabisa kwan amekizi vigezo vyake vingi shida jamaa huyo anakuambia mimi nataka nipige mzigo tena bila Ndom na kama nikupima afya hakuna shida panga siku tutaenda tu lakini leo nimezidiwa naomba game...Hapo ndipo kina mama wengi wanaposhidwa kufanya maamuzi sahihi. ama wanakuja shtuka too late..Hii inatokana na ukosefu wa uelewa katika umuhimu wa kulinda afya. Ninadhani hii dhana ya kutoongelea vitu kwa uwazi inachangia. Nilikuwa ninaongea na rafiki kutoka Ghana aliniambia walifeli sana katika kuinua public health miaka ya 2000. Walikwenda sehemu za wazi na kuwaelimisha wakina mama matumizi ya mipira(condom).
Waliwaeleza zitawalinda na magonjwa pia uzazi usio na mpangilio, kutokana na tabia zetu za kutoongelea mambo wazi wale public health officers walionyesha uvaaji wa ndomu kwenye kidole gumba. Baada ya mwaka mmoja waliporudi kuonana na wamama wengi walikuwa na watoto wadogo na walilalamika ile mipira haikusaidia, waliulizwa mliitumia? Walisema ndiyo wakati wa tendo husika tulivaa mipira kwenye vidole gumba.
Ilitakiwa wademonstrate na kwenye artificial manhood ili walengwa waelewe sasa ile posho yote iliyotolewa kwa promotion ya public health ni kama ilimwagwa mferejini.
Mtu makini anajilinda mwenyewe, ukitaka kulindwa inakula kwako!
Upo sawa kabisa Uwazi katika maswala yote ya kujamiana na Elimu ya uzazi inachukuliwa kuwa ni kitu cha siri sana na kisichofaa kuzungumzwa hadharani kwa uwazi wake....Kitu kingine pia ni mapenzi yaliyopitiliza mtoa mada yawezekana una Elimu ya kutosha jinsi ya kujilinda na maambukizi yanayosababishwa na Ngono zembe...Inakuja tokea umempata mwenza ambaye umempenda mno na hauku tayar kumpoteza kabisa kwan amekizi vigezo vyake vingi shida jamaa huyo anakuambia mimi nataka nipige mzigo tena bila Ndom na kama nikupima afya hakuna shida panga siku tutaenda tu lakini leo nimezidiwa naomba game...Hapo ndipo kina mama wengi wanaposhidwa kufanya maamuzi sahihi. ama wanakuja shtuka too late..
Kama tungekuwa tunanasema No no no nyingi hivi kasi ya maambukizi ya ukimwi ingekuwa imepungua sana kama si kwisha kabisa...Nono labda kwa uelewa nilionao lakini 5 minute pleasure na kunywa vidonge kila siku, nonono a big no.
Kama tungekuwa tunanasema No no no nyingi hivi kasi ya maambukizi ya ukimwi ingekuwa imepungua sana kama si kwisha kabisa...