Kuna siku nguvu ya umma itadai kilicho haki yake
Tuluahidiwa Noah Kila MTU ya kwake, zikapotea. Ikaja ahadi ya Kila MTU Balimi saba nayo ikayeyuka.
Kuna watu unaweza kuhisi ni misukule,hata hili wanakwambia hawalioni.Boniphace Kichonge ni ngumu sana kuonekana kwenye Uzi kama huu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji47] [emoji47] [emoji25] [emoji25]Tuluahidiwa Noah Kila MTU ya kwake, zipotea. Ikaja ahadi ya Kila MTU Balimi saba nayo ikayeyuka.
Hivi Yale mabilioni ya hood faith tumeshalipwa?
Vikao je Bado vinaendelea?
Wataalam wetu Bado wanawabana wale wazungu ambao Rais aliwatag ni WANAUME?
CC Boniphace Kichonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Boniphace Kichonge ni ngumu sana kuonekana kwenye Uzi kama huu
Utubu"Mniombee!"
nina frustration zangu"Mniombee!"
R.I.P Makinikia
"Mniombee!"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utubu