Ukweli mchungu: Vijana wengi wanaohitimu VETA wapo vizuri zaidi ya wahitimu wa vyuo vikuu

Mada hii inagusa kwenye fani za ufundi hasa kwa wahitimu wa fani za
•Mechanical Engineering
•Civil Engineering
•Electrical Engineering

Wahitimu wengi wa vyuo vikuu wanaosomea fani hizi huwa ni weupe kichwani lakini wana vyeti vyao.

Naongea hayo kwasababu mimi nimesomea Civil engineering hata Tz na nkaenda kusomea mechanical Engineering pia South Africa kitambo kidogo, hivyo nnafanya kazi kwenye kampuni moja ya wazungu.

Huwa wanaajiri wahitimu wa Fani za engineering kutoka vyuo vikuu na wahitimu wa fani za ufundi kutoka veta, lakini cha kushangaza vijana wengi tunaowapokea kutoka veta wana vichwa vyepesi na wapo vizuri sana hasa kwenye fani za mechanical na Electrical

Unakuta mtu ana cheti cha mechanical engineering ,Electrical Engineering baada ya kuajiriwa anaomba eti afundishwe kazi , sasa unajiuliza huyu mtu chuoni alikuwa anasomea nini?,

Tofauti na vijana wengi wa veta wanaopokelewa hapa kwanza hawanaga makuu alafu vijana wanapiga kazi na pia wana vichwa vyepesi hadi hawa wazungu huwa wanashangaa iweje mtu mwenye elimu ya Bachelor Degree azidiwe ujuzi na mtu mwenye cheti cha ufundi tu.

Alafu sasa wengi wao mtu akishajiona ana Bachelor Degree tu, anataka kukaa ofisini na Kuongoza wengine, lakini kichwani hamna kitu, mtu unakuta anaajiriwa kama Electrical Engineer lakini hamna chochote anachojua zaidi ya kuwa na vyeti vyake tu mikononi, hadi tunajiulizaga pale ofisini huwa wanapass vipi mitihani huko vyuoni wakati ni weupe vichwani


Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo vizuri zaidi kwenye task gani mkuu? Kwasababu hapo kila mmoja na fani yake na ujuzi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo vizuri zaidi kwenye task gani mkuu? Kwasababu hapo kila mmoja na fani yake na ujuzi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kbs mkuu, mtoa mada amesema yeye ni mhandisi au Engineer sasa sijui kwanini ktk level yake hawezi kutofautisha majukumu ya artisans na engineers. Makundi haya mawili kimajukumu ni sawa na usiku na mchana na wanaandaliwa kwa malengo tofauti kbs. Hakuna mahala Engineer atafanya kazi ya mhitimu wa VETA and vice versa na hata mitaala na malengo yao ya kuwaandaa haifanani kbs. Hata site engineer anamanage technicians na technicians wanamanage vijana va VETA. Mhandisi ni designer, anaandaliwa kufanya design, engineering project management, material selection, cost estimation na vitu vingi sana. Kijana wa VETA haandaliwi kwa mambo haya sijui why mtoa mada hujaweza kutofautisha malengo ya kuwaandaa hawa watu. Nadhani umefananisha makundi ambayo hayastahili kufananishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko kwenye kampuni ya ujenzi kwa miaka mingi, tunapiga kazi then injinia anakuja kukagua, sasa usiombe unakaguliwa na mtu hajui A wala B, unabaki unamuangalia tu na litumbo lake. Eti injinia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapata tabu sana!Lile tumbo ni malupulupu ya kusoma.Wakati wenzenu wanakesha na vitabu nyie mlikuwa mnakesha na vidada poa, sasa zamu ya hao mainjinia kuwakagua mpaka mkome.
 
Upo sahihi kbs mkuu, mtoa mada amesema yeye ni mhandisi au Engineer sasa sijui kwanini ktk level yake hawezi kutofautisha majukumu ya artisans na engineers. Makundi haya mawili kimajukumu ni sawa na usiku na mchana na wanaandaliwa kwa malengo tofauti kbs. Hakuna mahala Engineer atafanya kazi ya mhitimu wa VETA and vice versa na hata mitaala na malengo yao ya kuwaandaa haifanani kbs. Hata site engineer anamanage technicians na technicians wanamanage vijana va VETA. Mhandisi ni designer, anaandaliwa kufanya design, engineering project management, material selection, cost estimation na vitu vingi sana. Kijana wa VETA haandaliwi kwa mambo haya sijui why mtoa mada hujaweza kutofautisha malengo ya kuwaandaa hawa watu. Nadhani umefananisha makundi ambayo hayastahili kufananishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ni injia wa gpa ya 32.na amesomea uinjinia TIA.
 
Mkuu maengineer tumeisaidia vipi nchi. Wakati maproject makubwa nchi inakabidhi kwa maengeneer wa kizungu, nipe mradi mmoja ambao unajivunia kuwa engeneer wa kitanzania ulioubuni au kujenga, maengineer wengi wa tz mna makaratasi tu mikononi lakini bado hamuaminiki na ndio maana miradi mikubwa wanapewa wazungu, kma mngekuwa maengeneer kweli, flyover mngejenga wenyewe, standard g tungejenga wenyewe. Majengo makubwa town utakuta maengeneer wengi wanaosimamia ni wachina, wahindi na wazungu,

Ukweli mchungu lakini habari ndio hiyo tumeshindwa kuisaidia nchi kupitia fani zetu matokeo yake, tunaingia garama kuwapa pesa wazungu kuja kutujengea
Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo lako unaongea kiushabiki engineer wa dunia ya 3 hawezi compete na eng wa ulaya hata technology ni tofauti. Vivyo hivo kwa kwa kada zingine kama udaktari na arctects. Lakini huyu engineer ukimtraine kwa techology ya mbele hakunakinachoshindikana Unachotaka kusema ni taifa stars uifananishe na klabu ya england ni vitu viwili tofauti kabisa

We hujiulizi saint kayumba hufaulu kwa wastan ila st nani nani hufauli vizuri issue ni huyu yuko katika mazingira gani.

Kingine ni IQ huwezi mfananisha mwaafrika kwa IQ na mzungu wenzetu wako 90+ akati sisi tunachezea 70+.
Ndo maana nikasema use common sense. Ma engineer tupo tunapiga kazi vuzuri tu kulingana na hali ya mazingira tuliokulia na kusoma.

Afu issue ya mradi ni capital na machines kwa ajili ya kazi, sio kujidai unaelewa tu afu huna hela na equipment kwa ajili ya mradi.

Miradi mingi nchi inayetoa mkopo huwa na masharti mkandarasi atoke hukohuko pia.si unaona REA wabongo wamejaa.

Pia unaweza kudhibitisha kwamba wakati wa designing engineers wa wabongo hawashiriki.?

Afu we mburula kweli ngoja nikuache mawazo yako yamejaa taarabu na sio utaalam
 
Hapo nimejua tatizo mkuu.

Mainjinia wa bongo kumbe mmesoma vitu vingi juujuu wakati Veta wamesoma vitu vichache ila kiundani.

Nadhani hapo ndio Vijana wa veta wanapowapigia bao nyie mkibaki kukariri macode

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnaoshabikia huo upuuzi hao wahitimu wa veta walifundishwa na wahitimu wa level gani? Kama wamefundishwa na wahitimu wa hapahapa UDSM iweje wawe competent kuliko walowapika!
 
mchukue Mwl wa diploma na wadegree
Swali lile lile, je hao walimu wa diploma wamefumfishwa na walimu kitoka nje ya nchi au na haohao wa shahada? Shahada amfundishe diploma kisha huyo diploma ageuke kuwa na ujuzi kuliko mwalimu wake, hivi inaingia akilini kweli?
 
Kulingana na mifumo ya kielimu ilivyowekwa, ni rahisi sana mhandisi kjwa fundi kuliko fundi wa VETA kuwa mhandisi kwa maana hii na maana nyengine watu hawa katu hawawezi kuwa sawa.

Yaani hivyo ndivyo ilivyo yaani kuna watu wanaandaliwa kuwa chini ya wenzao maisha yao yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada kuna kitu anakosa kama kweli ni engineer. Analinganisha vitu tofauti kbs. Ni sawa na kusema manesi hospitalini wanajua sana kutibu wagonjwa kuliko madaktari. Hata ratio ya hayo makundi mahala pa kazi haifanani kbs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hata Injinia wa Umeme anaweza 'kuangalia pua' akiletewa tatizo hilo siyo. Na VETA hawafundishi vifaa vya elekroniki...na vifaa hivyo havitumii...umeme unaofundishwa VETA siyo?
====
Ebu fafanua vizuri, Mkuu, msingi hasa wa hoja yako.
Unajua kwanini kwa sababu kunatofauti yahizi fani kuanzia ujuzi mpaka vifaa vya kazi kwa sababu electrical huwa ina deal na maswala ya umeme wa majumbani, vifaa vya electrical kama pasi heater ketter na motar kama pump lakini kuhusu eletronic nikuanzia simu yako, radio,tv etc kwa ajiri ya marekebisho Ndio maana hawana cha uongozi wala vyeti ni uzoefu.
 
Ni kweli tupu mkuu. Watu wakishamuona fundi anapanga tofali,kupiga plaster vizuri ndo wanafikiri ndiyo Uhandisi huo. Ni kutokujua tu,lakini hizo ni kazi nyepesi ambazo kwa wale tuliopitia sekondari za ufundi na baadae mfumo wa FTC au Diploma wala hazituumizi kichwa,kwani Workshop Technology unasoma kila kitu,na somo hilo lipo kuanzia Diploma/FTC hadi Degree. Lakini ni mgawanyobtu wa majukumu kuwa Mhandisi utakua ni Designer,Main Supervisor na mambo ya Management,siyo hayo mambo ya Welding ,kupaka rangi kujenga tofali,kufanya Wiring nk anashindwa, bali ni mgawanyo tu wa majukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nadhani maada imemaanisha kuwa hawazijui zile ambazo veta wanajua wakati wao walitakiwa wajue kile ambacho veta wanajua ila wajue zaidi ni sawa nakusema upo fm4 afu swali la f2 limekushinda then useme siyo ya level yangu mi natakiwa nijue cha f4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mkuu hajalinganisha uhandisi na veta mbali kalinganisha wahandisi walio hitimu na na wahitmu wa veta yaani engineer kile anachotakiwa akijue kutokana na veti vyake hakijui au hana uwezo wakukifanya na waveta kile alichotakiwa kukijua anakijua vizuri sana sasa ukute electrical engineer kufanya installation hawez wakati nadhani ni kitu ambacho anatakiwa akijue vizuri ndo aende huko kwingine, sasa naona sijui watu wanaanza kwenda mbali sijui sio kazi yake hizo ni kwa ajili ya veta kazi yake nikusimamia mnasahau kuwa kabla hajasimamia yy anatakiwa awe na uwezo wakuifanya kwanza na awe vizuri ndo amkabidhi na kumuelekeza huyo wa veta sasa ww engineer hujui kuweka nondo vizuri unaweza kufanya calculation za hizo nondo? Unawezaje kudesign kitu ambacho ww hauna uwezo wakukitengeneza practical zaidi ya kwenye picha yakuchora tu. Na nadhan udhaifu aliozungumzia mtoa mada ndo uliojitokeza hata katika kukoment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kusema manesi wako vizuri kuliko madaktari, inaweza ikawa kweli upande wa kuhudumia wagonjwa lakini kwa mambo ya kitabibu iko wazi.
We unataka engineer aache kufanya kazi zake akachomelee? halafu umlinganishe na VETA useme anamzidi? we kilaza kweli nna wasiwasi south ulienda VETA pia
Kwahiyo unataka kuniambia daktari hawezi kuchoma sindano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom