themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Mada hii inagusa kwenye fani za ufundi hasa kwa wahitimu wa fani za
•Mechanical Engineering
•Civil Engineering
•Electrical Engineering
Wahitimu wengi wa vyuo vikuu wanaosomea fani hizi huwa ni weupe kichwani lakini wana vyeti vyao.
Naongea hayo kwasababu mimi nimesomea Civil engineering hata Tz na nkaenda kusomea mechanical Engineering pia South Africa kitambo kidogo, hivyo nnafanya kazi kwenye kampuni moja ya wazungu.
Huwa wanaajiri wahitimu wa Fani za engineering kutoka vyuo vikuu na wahitimu wa fani za ufundi kutoka veta, lakini cha kushangaza vijana wengi tunaowapokea kutoka veta wana vichwa vyepesi na wapo vizuri sana hasa kwenye fani za mechanical na Electrical
Unakuta mtu ana cheti cha mechanical engineering ,Electrical Engineering baada ya kuajiriwa anaomba eti afundishwe kazi , sasa unajiuliza huyu mtu chuoni alikuwa anasomea nini?,
Tofauti na vijana wengi wa veta wanaopokelewa hapa kwanza hawanaga makuu alafu vijana wanapiga kazi na pia wana vichwa vyepesi hadi hawa wazungu huwa wanashangaa iweje mtu mwenye elimu ya Bachelor Degree azidiwe ujuzi na mtu mwenye cheti cha ufundi tu.
Alafu sasa wengi wao mtu akishajiona ana Bachelor Degree tu, anataka kukaa ofisini na Kuongoza wengine, lakini kichwani hamna kitu, mtu unakuta anaajiriwa kama Electrical Engineer lakini hamna chochote anachojua zaidi ya kuwa na vyeti vyake tu mikononi, hadi tunajiulizaga pale ofisini huwa wanapass vipi mitihani huko vyuoni wakati ni weupe vichwani
Sent using Jamii Forums mobile app