Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Sio rahisi lema kuangushwa
 
Lema ni sawa na Mandela ebu angalia maelfu ya wana wa Arusha tulivyojitokeza leo kumsikiliza mh mbunge wetu kipenzi,mbunge wa maisha jijini Arushaaaaaa
 
Na hapo ni baada ya kutuwacha kwa miezi 4 sawa na siku 120 na kushuhudia maccm yakijitapa na kujipa sifa za hovyo hovyo tu
 
lema hata akidhoofishwa kisiasa,ile spirit ya kihanaharakati aliyo ipandakiza kwa machalii wa a-town,itaendekea kudumu na kuambukizana vizazi kwa vizazi mpaka mabadiliko kamili yatakapo patikana.
 
Hao watu au umati alioukusanya umetoka kwenye ukoo wako? Shwain, kutwa kukalia ujinga ilhali mamako kijijini anashindia mihogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…