Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Jipe moyo dogo
 
Hata Baba Jesca afanyeje hawezi kujaza umati wa Lema.
Ndoto ndoto lazima itimie. Ndoto mbona unachelewa?
Nasikia juzi morogoro ilibaki kidogo ndoto itimie
 
Ninavyoona wananchi wa Arusha bado tuna imani kubwa na LEMA,

nadhani msema kweli ni sanduku la kura la halali.

Mimi binafsi napenda LEMA aendelee kuwa Mbunge wa Arusha, Naamini ataendelea!

Arusha ina asili ya kupenda mabadiliko tokea enzi za Mwalimu Nyerere.
 
UKIWA UNAFIKRA KWAMBA KUNA MTU AU CHAMA KITATAWALA MILELE ENEO FULANI, UTAKUWA UNAONYESHA ZARAU KWA WATU WA ENEO HILO KWAMBA HAWAFAHAMU KITU MABADILIKO.
 
Wewe binafsi lakini wengi wa wanaarusha wanapenda mabadiliko kama ulivyosema

Mabadiliko 2020 Arusha hayaepukiki!
 
Nafikiri ungeanza na mmbunge wako Livingstone lusinde, ningekuona unaakili kidogo
 
Wewe ni mjinga....! Ccm wanampotezea muda lema kwa kumuweka ndani kwa makosa ya viini macho....! Ivi nyie watanzania mpaka nchi inunuliwe ndo muwe na akili??? Acha kupost ujinga..!
 
Kaka kama unakosea unataman mchukuwe jimbo nn? Tulieni dawa ndio inaingia taratibuuuu. Ndio maana wale wasliti mmewarudisha. Looo
 
Mim nimwana arusha jimbo hili chadema waeke paka au jiwe kwenye uchaguzi ccm waeke mtu tutachagua jiwe au paka.vitakua na akili kuliko mtu wa ccm kumpa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…