Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

Je mkuu unavyomuona huyo demu je siku mshkaji wako aliembikiri akihitaji tena mali unaona kutakuwa na ugumu?
Usifikiri sana ngono mkuu, kuna watu wako busy kujenga familia, kuliko hicho unachofikiria.
 
Kwamba kuna wanaume nao wanachezea wanawake?

Na kwanini ulichukulia kama medium of expression?

Anyways nimekupata kuna time inapaswa ujifunze kupitia maumivu
mkuu wanawake wanaojali sana pesa kuliko upendo wa kweli siyo wife material, wala girlfriend material hao mara nyingi ni malaya, wanauza miili yao ili wapate pesa, ila mwanamke anaetambua umuhimu wa mahusiano ya kweli hawezi kukuacha kisa haumpi pesa nyingi.
 
Nao ni wa kuhesabu mkuu, sio kwa kizazi hiki cha instant gratification
 
Mwanaume wa kweli hapambani kwa ajili ya mwanamke, anapambana kuwa yule mtu anayetaka kuwa.

Mwanamke anaweza tu kukumotivate, lakini ukisema upambane kwasababu yake lengo lako kuu si litakiwa ni mwanamke sasa na siyo future you.
 
Bado nimempa pesa nyingi kumbe nampa na yeye anampa anayempenda
Unaweza kufanywa ATM mapenzi ni mchezo wa ujinga ujinga ushauri tu tafuta yule mnayeendana matajiri kwa matajiri
kapuku kwa kapuku
over ninastress na weeked yang
 
Bado nimempa pesa nyingi kumbe nampa na yeye anampa anayempenda
Unaweza kufanywa ATM mapenzi ni mchezo wa ujinga ujinga ushauri tu tafuta yule mnayeendana matajiri kwa matajiri
kapuku kwa kapuku
over ninastress na weeked yang
Sahihi kwa mtazamo wako
 
Waliojipata nao wanachapiwa vilevile tena hao ndio kama unasukuma mlevi
Mapenzi hayana formula
 
Waliojipata nao wanachapiwa vilevile tena hao ndio kama unasukuma mlevi
Mapenzi hayana formula
Kuchapiwa kwa mwenye nazo huwa hakuna effect yoyote maana anakuwa na option chungu mzima
 
Uwe na pesa usiwe na pesa mwanamke anasababu lukuki tu za kuchiti huoni matajiri hawana wake wewe

Usiwe mfinyu sana ktk kuwaza

Licha general wanasingizia pesa 🀣 🀣

Lkn wanawake wengi leo wanachepuka na wanawapa pesa wale wanaochiti nao kutoka kwa waume zao

Hii utaiitaje

🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu nimesema ukichitiwa na una hela hauta poteza muda kuumia na huyo mwanamke unaweza kumtupa kama trash maana hana hadhi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…