Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,625
- 22,544
Mkuu, huo mgogoro mwenzako kaubeba wewe waita baraka hiyo?Haisaidii kumuonea gere. Kama kabarikiwa anastahili sifa
Mkuu, huo mgogoro mwenzako kaubeba wewe waita baraka hiyo?Haisaidii kumuonea gere. Kama kabarikiwa anastahili sifa
SubhanallahKweli mods wa Jf sikuhizi wasimple sana!
Mkuu umetukana tusi kubwa tena kwa kulibold kabisa lakini upo na unadunda kama unafirwa!
Mara chache sana mkuu tulikuwa tunakunywa .Mimi mchana uncle wangu alikuwa anakuja na tuku ananibeba narudi maskani nabonda sembe.Tukienda Field tulikuwa tunabaki wapenzi watazamaji watu wakitafuna minofu.Duh kwa hiyo nyie chai mlikuwa amnywii..
Baraka za mwenyezi Mungu😀Mkuu, huo mgogoro mwenzako kaubeba wewe waita baraka hiyo?