Ukweli kwa walimu

kitu ninachofahamu hata humu JF tupo tofauti.. kuna tanzagiza na tanzamwanga.. kuna spy na wanao refresh mind... hivyo mkuu nimepitia profile yako na link connection zako zote... nimegundua mengi so... sina argument tena na uzi huu...!
 
We jamaa hujui chochote Kuhusu Ualimu...
Advance level.. A teacher is only a facilitator.. He/she gives only 25% and 75% ni mwanafunz mwenyew..
Sasa hapo anyone can teach.. And be a good teacher..
Unless Kama ulisoma zile private pendwa mnatafuniwa kila kitu..
 
kitu ninachofahamu hata humu JF tupo tofauti.. kuna tanzagiza na tanzamwanga.. kuna spy na wanao refresh mind... hivyo mkuu nimepitia profile yako na link connection zako zote... nimegundua mengi so... sina argument tena na uzi huu...!
 
The end wewe ni mwalimu umepanic ndio maana nasema humu wanaolalamika ni walimu
ha!!! ha!!! ha!!! ha!!! mbona uzi huu uliuruka mkuu...
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-20-10-42-33.png
    20.6 KB · Views: 32
Facilitator wakati huelewi unafacilitate nini, Wewe ulipata E mathematics A level umekaa chuo miaka 3 unarudi A level kuzidi kufacilitate E au, Ndio maana tunasema serikali iwa kague upya na wale walimu wa dot Com wafanyishwe interview ili tuanze upya, Ni muhimu nyie walimu mufanyishwe mitihani ya secondary kabla ya kuajiriwa tupime uwezo wenu
 
GUSSIE acha kudhihaki walimu... wale ndo wanaoamua matokeo yaweje.. wakitaka toto lako 1+1 liweke 7 wanaweza..!
 
Hizo A, B, C, D, E.. Sio kipimo halisi.. End result ya mfumo wetu wa Elimu haiwezi ikadetermine uwezo halisi wa mtu..
Unaweza Kuta mtu ana C lakini yupo vizur Kuliko mwenye A...
 
Nitake radhi mm mwalimu wako!!
Aaah Nimbagonza haya yanafanana na wale wazee zamani vijijini anasema anajua vitu na alifaulu ukidai cheti chake anaishia kuwa mkali
 
Aaah Nimbagonza haya yanafanana na wale wazee zamani vijijini anasema anajua vitu na alifaulu ukidai cheti chake anaishia kuwa mkali
Kumbuka shuleni hatufanyi kazi moja,sisi ni mahakimu,walezi,madoctor,wahamuzi sisi ni kila kitu sema nyie mnaona kimoja tu!!
 
Utakua unaupungufu sio bure
Listen to me LadySomething, I was not ready for something you were up to..
Your first Quote verge on me was catastrophe,I shot you with a shortsighed Answers,led you to query your dumb Qn like "inatoka moyoni?" still you endure with imprudent posts..
 
Kumbuka shuleni hatufanyi kazi moja,sisi ni mahakimu,walezi,madoctor,wahamuzi sisi ni kila kitu sema nyie mnaona kimoja tu!!
Yes nimekukubali hiyo ndio sifa ya Mwalimu nimbagonza upo positive sana, Unajibu kwa kutulia wala hupanic, Nina uhakika hata watoto darasani wakisema hapo mwalimu hilo swali umekosea huwa hupanic Lakini unajifunza, Wengi huu uzi hawakutafakari kama wewe wameishia kuhisi hatupendi walimu sio kweli, Lengo lilikuwa kuangalia for Science Teacher's kwanini mpaka watoto wanachukua masomo hayo, Je ni walimu tulionao na kuwapata au kuna kingine, Thank kwa kuonyesha weledi you are a good teacher keep it
 
Inategemea sio wote,wengine wanaofundisha mtaani hawako vizuri wapo kwa ajili ya pesa tu.Jitahd kuwa makini si kila mwalimu wa tuition yuko vizur kimasomo.
 
Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
wanakuponda tu,ila uko sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…