Ukweli: Kuna tofauti kati ya Kutiki na kuchagua kiongozi anayefaa kwa taifa lako

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako.

Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.

Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo.

Lini watatiki?
 
Umeambiwa oktoba tunatiki, kutiki inaweza kuwa kwa mwajuma, mwalimu, busungu, doyo, kinje. Zote hizi ni tiki, hakuna mkasi hapa. Wanasema oktoba wanatiki, kila mpiga kura atatiki kwa mgombea wake
 
Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako.

Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.

Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo.

Lini watatiki?
Mwaka huu hakuna uchaguzi
 
Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.📌🔨
 
Back
Top Bottom