Sasa huu ni utoto sasa au ubishi usio na sababu. Nimekonesha Kinetic energy = Mass X Velocity X VelocityWe kwa fikra zako unafikiri nani alipaswa kutoa proof kati ya mimi na wewe?
I agree entirely with him. Nithing comes from someone else. Everything comes from within us.
Jesus said 'The kingdom of God is within you'
Tatizo watu hukariri tuuu bila kufikiri.
Kuna mambo mawili ni muhimu sana kuyaelewa.ni kweli kabisa alisema hivo..sasa kama ipo kwetu hyo kingdom kunahaja gani yakuiita au kuitafuta tena
Sasa huu ni utoto sasa au ubishi usio na sababu. Nimekonesha Kinetic energy = Mass X Velocity X Velocity
Wewe ukasema energy inaweza kupatikana bila mass. Mimi nikakuambia toa ushahidi. Sasa unaleta hadith.
Einstein yeye alitoa formula hii
E = MC²
Ikiwa M = Mass, C speed of light. Sasa kwanini ulete story. Kwanini kama hujui usikubali ukafundishwa?
Hapa tunaongelea uhalisia sio hadithi.
Ningependa tujadili kwa hoja na kwa proof sawa ndugu?
Kumbuka:
EDUCATION IS POWER
mihapo ndo nnaposhindwa kuamini..maana wanao haribu amani duniani na kuleta ubaguzi sasahivi...ndo haohao wanajifanya wanataka dunia iwe moja na yenye amani...
magaidi wanapandikiza wenyewe,silah wansgawa wenywe, afu watajifanya wanaondoa magaidi na silah dunisni kisha wanawaunganisha under one dollar under one religion....afu mnakusanywa kumpinga kristo anaye kusudiwa kuja kwa kumuita adui maana msha sema duniani ndo mbinguni yenu,..kwenye biblia wanaiita hermagedoni siku hiyo ndo mwenyezi mungu ataimaliza dunia...
Kuna mambo mawili ni muhimu sana kuyaelewa.
Unconsciousness(Mind) na Consciousness(Soul)
Mind inajazwa na mafundisho ya hapa duniani tangu tukiwa watoto. Kadri mtoto anazidi kukua mind inapata vitu vingi kulingana na elimu anayoipata hapa duniani. Wakati huo kunakuwa na ugumu wa connection na Consciousness. Kwa sababu anapozaliwa anakuta tayari duniani kumewekwa taratibu za "Usipo kuwa na pesa huwezi kuishi", Unatakiwa umwabudu mungu mmoja ambaye hachunguziki. Kwa hiyo vitu vyote hivyo vinamfanya mtu huyo kuwa busy kuhakikisha Mind yake inajaa namna ya kuvipata hivyo vitu.
Bahati mbaya sana mind huwa inatumia milango 5 ya fahamu kuingiza vitu. Mtu anakuwa na thought nyingi sana za kidunia. Hata anapokuwa amelala Mind inakuwa inamkumbusha vitu hivyo. Na hatimaye anakuwa yupo mbalisana na hali halisi yake. Uhalisia wake unakuwa upo lakini hakuna utendaji wa kazi. Kwa hiyo lazima aanze kufanya mazoezi ya kuamsha uhalisia wake.
Kwa sasa hivi njia ambayo inatumika ni meditation. Kazi ya meditation ni kufunga milango ya Unconsciousness ili kuruhusu Consciousness iweze kufanya kazi. Nijambo ambalo linachukua mda wakati wa kuanza kwa sababu Unconsciousness inakuwa inatawala.
Ni vigumu kidogo kuelewa lakini ndio hivyo. Kadri mtu atakavyozidi kufanya meditation ndio uwezo wa consciousness unakuwa na hatimaye anajitambua kuwa yeye kumbe ni mungu. Kwamba mungu ni yeye mwenyewe.
Na hapa ndio tunapokuwa hatuelewani. Nadhani wewe unaongelea OWO inayojifanya kuwa NWO......
.....Msingi wa NWO unataka kuwafaidisha watu wote. Kuwa na kitu kimoja kwa ajili ya wote. kama kutumia pesa kutumia pesa ya aina moja kwa manufaa ya watu wote. Kwa sababu sisi wote ni watu na tunaishi kwenye sayari moja ni lazima tufanye kitu kwa pamoja kwa manufaa ya sis......
THE NWO inakamilika sasa. Tuwe taifa moja, Dunia moja, uchumi mmoja, Pesa moja.
.......Unapenda au hupendi NWO lazima itokee. Akina Bush sasa hivi wanahaha na biashara zao ndio wanaotoa uvumi kuhu upinga kristo.
.....NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one.I like NWO
Hahaaa! Hapo kwenye nyekundu ndio kunaonesha tofauti ya wazi kati ya mimi na wewe ni nani amemwingilia mwenzake kwenye fani yake.
The leter M in that equation is not mass,but rather 'relativistic mass' .Hii ni physics mdogo wangu,kila neno lina maana,fani za watu hizi.
Ndugu nadhani bado hujaelewa kabisa concept. Hebu nakuomba ukaa upitie vizuri comment zangu. Kila moja uliyo quote hapo concept yake ni tofauti na unachojaribu kujiaminisha.Ok,hebu tuone NWO unayoongelea wewe.
Aahaaa,ok,ok,kumbe kwenye NWO tutatumia pesa....sawasawa.
Sawa mkuu nilishakuelewa tangu kule mwanzo kwamba tutatumia pesa kwenye NWO.
Aaaah mkuuuu umeshaanza kunichanganya,sasa kina Bush wanahaha vipi tena wakati pesa itaendelea kutumika?Si wataendelea kuuza?
Mmmmh! au mimi sina ubongo?Tutafanya kila kitu bila kulipa?Sasa mkuu pesa ya nini?mbona unazidi kunichanganya?
Propaganda mbali mbali na uvumi wa watu wanaotumikia OWO kuwa eti mtu anaye tangaza NWO ni mpinga kristo. Huu ni uongo lazima tuwe makini na hawa watu.
Tatizo lako ndugu unachukua vitu tu na huelewi maana yake.
Unapopima Photon katika rest state tunaita Mass. Lakini ikiwa katika motion relativistic mass.
Hebu naomba nipe fromula ya centre of mass ndio utaelewa kama kweli unachoongea unajua au unachapa.
Centre Mass = ∑[SUB]i[/SUB] m[SUB]i[/SUB]r[SUB]i/[/SUB]∑[SUB]i[/SUB] m[SUB]ie
Ningependa tuanze kwa kutumia proofs sio kuonge tu
[/SUB]
Na hapa ndio tunapokuwa hatuelewani. Nadhani wewe unaongelea OWO inayojifanya kuwa NWO. Kipindi tulichonacho sasa ni cha revolution katika consciousness. Ni kipindi ambacho mtu anajitambua yeye ni nani. Baada ya kujielewa yeye ni nani ndipo Order mpya itaanza kufanya kazi. Sasa hivi tuko kwenye transition period. NWO sio ya kwenye mabago kwenye matangazo. NWO ni automatic changes ambazo zinatokea baada ya mtu kujitambua.
Baada ya kujitambua kuwa wewe ni immortal na kujielewa kuwa wewe sio unconsciousness basi ulimwengu mzima tutaungana na kuwa kitu kimoja. Lakini kabla ya hapo Elimu iliyoingizwa kwenye Mind(unconsciousness) iondoke mtu ajitambue na ajue yeye sio unconsciousness.
Nadhani sasa unaipata kidogo. Watu wameingiziwa elimu mbovu kwenye akili zao (Mind) na kupumbazika na kuona kuwa wanatakiwa kumwabudu mungu mmoja lakini kiuharisia hayupo wao wenye consciousness ni mungu. Baada ya kutambua hivyo tutakuwa na jamii bora ya kuishi pamoja.
Kwa ufupi we are Immortals
Ndugu nadhani bado hujaelewa kabisa concept.Natamani uelewe ninachojaribu kukueleza. Nitatumia evidance mbali mbali huhakikisha unaelewa.
Hebu turudi kwenye swala la msingi nililokuwa naongelea.Kwa nini hauko focused?Angalia unataka kukimbilia kwenye formula nyingine wakati E = MC² hatujamaliza,hii ni ishara ya uoga na kushindwa.
Angalia hapo kwenye nyekundu ulivyochapa,halafu angalia formula uliyotoa E = MC².Huoni kwamba formula hii inaonesha motion ya kitu?Halafu wewe mwenyewe unakubali kwamba kitu kikiwa kwenye motion tunazungumzia relativistic mass?Sasa huoni kwamba mimi nipo sahihi kukurekebisha?Kama huoni logic hapo basi utakuwa na matatizo makubwa sana.Yaani unajipinga mwenyewe kabla hujapingwa.Watu kama ninyi ni hatari sana mkipewa dhamana ya kutufindishia watoto wetu.
Sasa kati ya mimi na wewe nani haelewi?Kadri unavyoendelea kubishana na mimi ndivyo unavyozidi kujiona mweupe.
Sasa kile nilicho-quote kwamba kwenye NWO tutatumia pesa lakini watu wataishi bila kulipia chochote aliandika nani?Kama uliandika wewe halafu mimi sijakuelewa concept iliyopo kichwani kwako kwa nini hunijibu swali langu ili mimi na wengine wapate kukuelewa kiurahisi?Usitufanye sisi watoto wadogo,kuna watu wana concept kubwa kuliko wewe humu.
Haya Usijizungushezungushe;
Elezea kwa nini kwenye NWO tutatumia pesa lakini watu wataishi bila kulipia chochote.Halafu nakusubiri kule kwenye upande wa physics nikufundishe hadi uelewe.
asee nimekufatilia vizur sana mtu ww uliyeweka hii thread na hayo mambo nimeskia kwa wengi ila ww umekuja kwa kuzunguka sana...ninafikiri sanaa haya ni mawazo ya waashi huru so upo katika kutangaza. maoni yangu kwa member wengine vitabu vya dini vinaonya kuwa huu ni wakati wa mwisho kwa hiyo shika sana kile ulichonacho...naamini imani uliyonayo ili usipotoshwe na mafundisho ya uwongo.....mimi ntabaki na macho yangu mawili hayo manne yatafuteni tu jamani mtanisimulia mnayo yaona
Hebu turudi kwenye swala la msingi nililokuwa naongelea.
Maana hapa tunataka kwenda nje ya mada. Nilisema ili upate energy lazima mass iwepo.
Kwa mujibu wa newton aliongelea Knetic energy na Potential energy. Aliongelea eneergy at mass rest.
Einstein yeye akaja aleta vesion mpya kwa concept ile ile ya newton kwamba kuna vitu vingine vipo kwenye motion.
Law of energy conservation nadhani unaijua.
Vile vile kuna Law of mass conservation (states that for any system closed to all transfers of matter and energy (both of which have mass), the mass of the system must remain constant over time, as system mass cannot change quantity if it is not added or removed. Hence, the quantity of mass is "conserved" over time)
Nakuomba hapa tuelezane tu kwa fact sio kwa maelezo.
Naomba usome comment nzima uliyo quote.
Halafu ningependa ufuatilie hizo reference ninazokupa. Au ningeomba utulie iliwenzako niwape elimu wajue. Maana unapokuwa una uquote kitu ambacho huenda unakijua kwa namna tofauti ni vizuri ukaeleza. Mimi najitahidi sana kutoa maelezo mengi.
Nakuomba uwe tu free kwenye akili yako utaelewa tu. Maana hapa tunafanya kitu kwa evidence. Au ningekuomba kama hujui swali la kuuliza ukae tu.
Please soma na uelewe msingi wa thread hii. Na kama tunataka kuongelea physics( ni pana mno na inamatawi mengi mno).
Nina shauri anzisha thread kuhusu Energy halafu tutaelezana hapo.