MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 358
Nadhani MWENDAKULIMA hapa umeongea pasipo kuwa na utafiti wowote na ninajua kabisa huna uhakika na ulichokiandika. Hizo ni propaganda tu zinazo enezwa na watu wa OWO. Hazina ukweli wowote. Kama umesoma badiko langu hapo juu utaweza kuelewa. Kuwa jamii zetu tunatumia akili ile ya upande wa kulia ambayo imejazwa na hisia na stori.
Hebu tembelea hapa kidogo:
Illuminati Official Website - IlluminatiOfficial.org | Contact or Join
Nadhani unataka nikujibu unavyotaka wewe. Hebu nikuulize Umewahi kusoma Marhematics? Je unamjua Father of Philosophy? Hebu tafuta mda kidogo jifunze kuhusu Pythagoras.
hahaha ninecheka sana, huyu jamaa akiulizwa maswali anapiga chenga, na akijaribu kujibu anajikoroga tu, utasikia ' wewe unajua mathematics'. hata hao jamaa hawawezi kumtuma mtu asiemuelewa namna hii. life is all about CHOICES we make, mzee unechagua huko we kaa tu huko, unahangaika kutafuta wa kuungana nao, we tulia si ndio CHOICE yako? utakutana na wenye CHOICE kama yako tu, walivyokupata wewe wapo watakaowapata pia, ila sio wote!! hata Shetani baada ya kujua hatma yake baada ya CHOICE yake, anachofanya sasa hivi ni kutafuta wenzake wenye CHOICE kama yake! sisi binadamu ndio tunaamua CHOICES zetu. kula maisha, kula mathematics but kama ukifa utaenda unakochagua wewe fine, but kama unaenda kwa aliyekuumba u better get prepared!!
Nadhani huelewi chochote. Na ninadhani hujui chochote ninachojibu ni kulingana na uelewa wa yule aliye uliza. Hakuna hata mmoja critical thinking person aliyeuliza mpaka sasa zaidi ya chaoses.
Nadhani huelewi chochote. Na ninadhani hujui chochote ninachojibu ni kulingana na uelewa wa yule aliye uliza. Hakuna hata mmoja critical thinking person aliyeuliza mpaka sasa zaidi ya chaoses.
View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.
Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.
Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.

Propaganda mbali mbali na uvumi wa watu wanaotumikia OWO kuwa eti mtu anaye tangaza NWO ni mpinga kristo. Huu ni uongo lazima tuwe makini na hawa watu.
Je unafahamu Cosmic energy? Je umewahi kusoma kuhusu Element?
Na ukiangalia maswali uliyouliza unataka kutuaminisha kuwa uwepo wa OWO ndio sahihi. Socrates alisema hata kama sina majibu mimi hapa kuna mtu atatokea mmoja duniani na kuprove kuwa dunia imetokea wapi.
Hapa tunataka proof za Kihisabati na sayansi isipokuwa na proof za kisayansi ni upuuzi.
Mkuu Annael unaelezea vizuri. hapo kwenye jicho la tatu ningependa kuuliza.
Nyuma kidogo kama miezi 6-9 nilisoma topic ya Pasco iliyoelezea hayo mambo (meditation) kusema kweli ndani ya wiki tu nilianza kuona mabadiliko; niliexperiece true dreams, but sikua na uwezo wa kwenda nazo sawa mpaka zilipojitokeza, most of them (dreams) were like a warnings!!!
Soon nilianza juhudi za kufungua third eye, kichwa kiliuma center of fore head, then nikafanya kipele. so, niliacha!!!!
Nikarudia kumeditate hapa juzi kati chaajapo ni kwamba kipele kimekuja tena na kadiri nikiendelea vinaongezeka!! i have three now on my fore head, na ukizingatia hata sikuconcentrate on third eye!!!!!!!
So, what is this?
What should i do? How?
Kuna movement inakuja na itabadilisha kila kitu hiki ni kipindi cha mwisho. Kunawatu nyuma ya hayo wanachelewesha kwa ajili ya manufaa yao wenyewe. Waisrael na wapalestina wanafitinishwa. Mda ukifika wa kutofitinisha na kuanza kuhubiri amani kwenye vyombo vya habari ndipo utakapo ona Mbinguni hapa hapa duniani.
Hii movement inaondoa mizizi yote ya OWO na kupanda kitu kipya.
hvyo viupele ni jicho la tatu linataka kutokezea kama huyo jamaa wa kwenye mchoro.
Mkuu Annael unaelezea vizuri. hapo kwenye jicho la tatu ningependa kuuliza.
Nyuma kidogo kama miezi 6-9 nilisoma topic ya Pasco iliyoelezea hayo mambo (meditation) kusema kweli ndani ya wiki tu nilianza kuona mabadiliko; niliexperiece true dreams, but sikua na uwezo wa kwenda nazo sawa mpaka zilipojitokeza, most of them (dreams) were like a warnings!!!
Soon nilianza juhudi za kufungua third eye, kichwa kiliuma center of fore head, then nikafanya kipele. so, niliacha!!!!
Nikarudia kumeditate hapa juzi kati chaajapo ni kwamba kipele kimekuja tena na kadiri nikiendelea vinaongezeka!! i have three now on my fore head, na ukizingatia hata sikuconcentrate on third eye!!!!!!!
So, what is this?
What should i do? How?
Ahsante sana ndungu.
Meditation lengo lake ni kuvuta cosmic Energy. Cosmic Energy ndio source ya aetheric body.
Ngonja tuanze somo hapa:
Aetheric Body ni nini.
Aetheric body ndio uhalisia wetu sisi, ndio sehemu inayotufanya sisi tuweze kuongea, kufikilia na kufanya vitendo vyote katika physical body. Ni consciousness yetu sisi. Kwa maana nyingine ni asili yetu sisi au ni sisi.
Kwahiyo Cosmic Energy inahitajika kwenye Aetheric Body ili kuwezesha mwili huo uweze kufanya mambo makubwa.
Hakuna njia nyingine yeyote ambayo mpaka sasa imegunduliwa isipokuwa Meditation inayoweza kuvuta cosmic energy.
Usingizi ni Unconsciousness meditation ambayo inakuwa na limitation ya kuvuta cosmic energy
Lakini Meditation ni consciousness ambayo haina mpaka wa kuvuta cosmic energy.
Cosmic Energy ikiwa ndogo kwenye aetheric body inasababisha madhara kwenye physical body (magonjwa mbali mbali yanatokea kwenye physical body)
Kuwa na limitation ya kuvuta cosmic energy kunasababisha mwili kuchoka, kuwa na msongo wa mawazo, BP na mengine mengi tu.
Kwahiyo mpaka hapa tunaenda sawa.
Unapoendelea kufanya meditation mara kwa mara ndipo jicho la tatu linaanza kufunguka. Kadili unapoendelea utaanza kuona vitu vingi na utapata education hatimaye Knowledge na mwisho Wisdom. Utajua maana ya kuzaliwa na maana ya kufa. Utajijua kuwa ni zaidi ya Physical. Utakuwa na uwezo wa kuwa psychic. Utakuwa na uwezo wa telepathy communication. Utakuwa na uwezo wa kusoma mind za watu. Utakuwa na uwezo wa kuona future, past na vitu vya siri.
Kadiri unavyozidi kufanya meditation utaanza kuwa na uwezo wa Astral Movement.
Astral Movement
Ni ule uwezo sasa wa Aetheric body kusafili kutoka kwenye physical body na kwenda sehemu yoyote ile. Aetheric body haizuiliwi na any physical thing. Utaweza kupita kwenye milima, maji, moto nk. unaweza kwenda mbali na kujifunza vitu vingi vingi sana. Na hatimaye utagundua vitu vingi mno.
Mimi nashangaa kwanini watu wa dini hawawafundishi watu wao vitu hivi?
Unavyoendelea kufanya meditation cosmic energy itakuwa nyingi sana kwenye aetheric body. Na sasa utakuwa na uwezo mkubwa sana. Utakuwa na uwezo wa kuumba. Chochote ukikiwaza kinatokea, ukisema kinatokea. Utakuwa MUNGU mwenyewe.
Utajua mwengi sana. Utajua siri nyingi sana.
Nadhani umenielewa kwa kifupi.
Hivyo vipele vilivyotokea kwenye uso ni physical body sio aetheric body. Na ninakuhakikishia havijatokana na meditation.
Kwa sababu bado ni mchanga kwenye meditation nakushauri nenda hospitali ukatibiwe. Na kadri utakavyo zidi kufanya meditation utapata EDUCATION - KNOWLEDGE - WISDOM. Na hayo mambo yatakuwa madogo sana kwako.
Ahsante.
By
Annael
Hebu nakuomba upitie hapa kidogo.1.Kaka,mkuu deception na basluma orginal wamekuuliza maswali muhimu na mazuri sana ambayo nilihitaji kukuuliza ni vizuri akayajibu sasa
2.nimesoma comments zote ktk huu uzi lakini hujajibu swali hata moja,likiwemo swali la nini maana ya meyiii meyii kwa kuwa kila neno duniani lina maana yake hata hio lina maana yake.
3.ukirejea maana ya illuminati ktk website yenu ni organization ya leaders,busnes authorites na influential people,swali inawezekana vp haya magroup watake usawa ktk dunia? Labda mniambie kuna maana nyingine ya neno illuminati?
4.je walionzisha OWO sio illuminati,kama ndio kwa nini waje NWO?
5.family ya bush ni leaders na infuluential people kwa marekani na duniani na kutokana na website yemu mumeeleza illuminat ni organizationi ya watu hao,Je bush ni illuminat member au siyo? Kama ndio kwa nini anapingana na hyo NWO simumufuze uanachama?
Nasubiri majibu kwa hamu kubwa
kaka kiranga msaada hapa,maelezo kdgo ku prove dunia ilipotokea ni kweli tunahitaji proof za kisayansi na hesabu ? Au na proof hizo ni zp?Je unafahamu Cosmic energy? Je umewahi kusoma kuhusu Element?