jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
Hapa kuna kitu, ngoja nizidishe umakin..
Hata neno MUNGU linafaa au vip?Sio lazima useme meyiii unaweza ukatamka neno lolote. Halina maana yoyote ni namna tu ya kutoa pumzi kutokea kwenye mapafu.
unaweza ukasema chochote. Unajua tafuta neno lolote linaloacha mdomo wazi ili pumzi iwezi kupita.
Mkuu mbona wanatuaminisha hayo ya NWO ni ya kishetani na ndo tutakuwa tunaenda mwisho wa duniaHebu nakuomba usome vizuri ndugu. OWO imejikita katika kuwapumbaza watu na kuwafanya kuwa kama wao sio Human Being.
Kwenye NWO sheria zipo na zitaendelea kuwepo na zakutunza Utu wa Mtu. Na sio kunyanyasa.
Lazima kuwe na system moja inayo simamia mambo yote Diniani ndio conflict zitaisha.
Coflict zipo kwa sababu za Kidini, Kikabila, Kinchi nk. Lakini hayo yote yakiisha wanadamu tutaishi kwa raha bila kubaguana. Hii ndio NWO.
Ni nchi kubwa kubwa ndio ambao hawataki NWO
Nakuelewa sana mkuu. Nafarijika kuona kuna watu ambao wanauwezo wa kukataa utumwa kama Mimi ninavyoukataa.JINSI YA KUTUMIA JICHO LA TATUUnajua mtu anaishi katika sehemu mbili Katika ulimwengu wa 3D na katika ulimwengu wa 4D.
D= Dimension.
Katika ulimwengu wa 3D ndio huu unaoniwezesha sasa naandika haya kwenye kompyuta na nikiangalia ninaona jua magari na tunaenda shule kusoma nk. Ni ulimwengu huu ambao umeuzoea siku zote tuna kula na kunywa. Katika ulimwengu huu tunatumia macho mawili na huku tunashangaa kwanini watu wengine wanafanya miujiza wakati sisi wengine hatuwezi? Au kwanini watu wengine wanatabiri wakati sisi hatuwezi?
Hawa watu wanaweza wakafanya hivyo kwa sababu wanaweza wakatumia jicho la tatu ambalo mtu akiwa mtoto mdogo au mchanga huwa lipo active. Na kadri anavyozidi kuwa mkubwa jicho hilo hufumbwa na kufanya asiweze kuona tena vitu vilivyo kwenye 4D.
Watu wanafanya mambo hayo ni kwa sababu wanauwezo wa kufumbua jicho la tatu na kuona vitu vilivyo kwenye 4D. Huo uwezo wa kufumbua hilo jicho ndio unaosababisha watu wanafanya miujiza wanatabiri na wanafanya vitu vingi ambavyo havionekani.
Kwa sababu mtu amefumba jicho hilo kwa mda mrefu huwa inamchukua mda kuwa na uwezo wa kulifumbua jicho hilo. La kini kwa maelekezo maalumu jicho hilo linaweza likafumbuka. Jicho la tatu linakufanya uone ulimwengu mwingine tunaoishi sisi ambao ni mzuri sana. Tafauti na huu ambao umeharibiwa na watu wachache. Mantiki ya sisi kuwepo ni kuufanya ulimwengu huu ufanane na ulimwengu ulio kwenye 4D. Uoga na kuogopeshwa kumewafanya watu wasiweze kabisa kuingia katika ulimwengu huo.
Nitajaribu kueleze jinsi ya kuingia katika ulimwengu huo hatua kwa hatua na ndipo sasa utaanza kujielwea wewe mtu ni wa namna gani je ni nguvu gani uliyo nayo ambayo umefungwa na watu wachache walioweka kanuni zao ili wewe upumbazike.
Sio kosa lako mkuu. Ni kosa la wazazi wako kukuandalia chakula cha utumwa kwenye ubongo wako. Ila usiwe na shaka maana vizazi vyenu vinapita na miaka ijayo jamii zetu zitakua huruUnataka evidence gani wakati akili yako yote umeidumbukiza kwenye ukafir..............
Unanidanganya mkuu.Unaitaka New world order wewe? Unaijua inakuja kwa misingi ya nani? Mawazo huru ndio yanayoua ustaarabu katika jamii, uovu huanzia katika mawazo huru yani kufanya unavyotaka. Angalia mambo unayoshabikia yanaipeleka jamii yetu wapi.
Kwani unaouwezo wa kujiamulia?Kawajibu tumesema hatutaki
Na waislam watachukuliwa na nani?Tunafahamu ila baadhi yetu hatutaki na Kabla operation hiyo haijaanza rasmi. Yesu atachukua walio wa kwake!
Mtakaobaki all the best!
Swali la kizushi je ninyi na NWO mnaamini kuhusu life after death?

Uko vizuri mkuuMoses, Jesus, Mohammed, Luther, Joseph Smith, Ayn Rand, Alex Jones, David Icke, Benjamin Fulford, Henry Makow - these are all the same kind of people - conjurors of absurd fantasies that dupe the weak-minded and soft in the head. All of these self-styled "prophets of truth" never mention mathematics, physics or metaphysics. They never get involved with reason and logic. Instead, they tell huge, elaborate stories, involving angels and demons, gods and devils, aliens and ancient civilizations. If you've fallen for their nonsense then you too are infected by the disease of unreason.
Nimeshangaa unaongelea nini hapa, nilishasahau hata uwepo wa hii thread.Unanidanganya mkuu.
Mbona kuna dini kuua ndo kuongezewa thawabu!!!!
Uovu hautokani na mawazo guru, hutokana na hurka. Tusioamini uwepo wa Mungu, huwa hatufikirii kuua. Tunafikiria kuukomboa ulimwengu. Bado hujajifunza kitu hapa?
Mkuu Annael hivi hamna njia rahisi ya kufungua hili jicho la 3 tofauti na meditation au njia hii ya MEYIIiii???JINSI YA KUTUMIA JICHO LA TATUUnajua mtu anaishi katika sehemu mbili Katika ulimwengu wa 3D na katika ulimwengu wa 4D.
D= Dimension.
Katika ulimwengu wa 3D ndio huu unaoniwezesha sasa naandika haya kwenye kompyuta na nikiangalia ninaona jua magari na tunaenda shule kusoma nk. Ni ulimwengu huu ambao umeuzoea siku zote tuna kula na kunywa. Katika ulimwengu huu tunatumia macho mawili na huku tunashangaa kwanini watu wengine wanafanya miujiza wakati sisi wengine hatuwezi? Au kwanini watu wengine wanatabiri wakati sisi hatuwezi?
Hawa watu wanaweza wakafanya hivyo kwa sababu wanaweza wakatumia jicho la tatu ambalo mtu akiwa mtoto mdogo au mchanga huwa lipo active. Na kadri anavyozidi kuwa mkubwa jicho hilo hufumbwa na kufanya asiweze kuona tena vitu vilivyo kwenye 4D.
Watu wanafanya mambo hayo ni kwa sababu wanauwezo wa kufumbua jicho la tatu na kuona vitu vilivyo kwenye 4D. Huo uwezo wa kufumbua hilo jicho ndio unaosababisha watu wanafanya miujiza wanatabiri na wanafanya vitu vingi ambavyo havionekani.
Kwa sababu mtu amefumba jicho hilo kwa mda mrefu huwa inamchukua mda kuwa na uwezo wa kulifumbua jicho hilo. La kini kwa maelekezo maalumu jicho hilo linaweza likafumbuka. Jicho la tatu linakufanya uone ulimwengu mwingine tunaoishi sisi ambao ni mzuri sana. Tafauti na huu ambao umeharibiwa na watu wachache. Mantiki ya sisi kuwepo ni kuufanya ulimwengu huu ufanane na ulimwengu ulio kwenye 4D. Uoga na kuogopeshwa kumewafanya watu wasiweze kabisa kuingia katika ulimwengu huo.
Nitajaribu kueleze jinsi ya kuingia katika ulimwengu huo hatua kwa hatua na ndipo sasa utaanza kujielwea wewe mtu ni wa namna gani je ni nguvu gani uliyo nayo ambayo umefungwa na watu wachache walioweka kanuni zao ili wewe upumbazike.
Hiyo inayoleta hizo vita ni OWO iliyotugawa sisi kwa matabaka. Imetugawa Kidini, Kinchi, kimakundi nk.
Lakini NWO inatuweka pamoja na hakutakuwa na nchi ya kujitegemea maana tutakuwa na serikali moja. Hakuna mtu atakayekuwa (pekee yake ) anamiliki uchumi Hakuna ubepari.
Be Illuminati upate mwanga.[/QUOTE
Kwann link zako za reference zote ni ILLUMINATI??
Mwanadamu katika fikra zake hana jema lolote analoweza kulifanya asipoongozwa katika misingi sahihi, akipewa uhuru wa mawazo atapotea kwa kuvutwa na tamaa mbaya.Unaitaka New world order wewe? Unaijua inakuja kwa misingi ya nani? Mawazo huru ndio yanayoua ustaarabu katika jamii, uovu huanzia katika mawazo huru yani kufanya unavyotaka. Angalia mambo unayoshabikia yanaipeleka jamii yetu wapi.
Ukianza kula chakula bure kutakuwa na ulazima wa kufanya tena kazi? Ukila chakula bure hata kule kula kwa jasho kutakuwa hakupo tena! Hapo kutakuwa ni chimbuko la wavivuNdio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.
Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
"it is the word of satan", how?, Why?, Is satan included in your NWO cores and logical beliefs??,, I think satan or God/gods shouldnt be a part of your belief because they were all "created", by OWO,, and they are "myths", you fight againstThe path of "faith" is a false trail laid by the Demiurge to ensure that we never reach the true path of knowledge. Hasn't it always been obvious? - those who walk the path of faith are blind, ignorant fanatics. They think that one ancient book can "save" them. If I wanted to keep the human population permanently ignorant, what would I do? I would give them a single book that contained no knowledge and I would tell them that it was the infallible Word of God and that to disobey a single word was to court eternal damnation. Generation after generation would read this dumb, worthless book and learn nothing, "see" nothing and never advance towards divinity. They would be my permanent slaves.
That book has already been written. It comes with three names: the Torah, the Bible, the Koran. It is the Word of Satan. You could not be further removed from enlightenment if you fall under the spell of the Demiurge's magnum opus, the Book of Lies.
Although our "thought cone" of consciousness is, for the vast majority of us in our normal lives, restricted to inside our own head, it is always accompanied by a "aureole" i.e. we all have access to an area around us that we can tune into; we can widen our thought cone to enter the minds of everything in our local vicinity. How do we become aware that someone nearby is staring at us? Without raising our head to look, we are suddenly seized by a sense that someone is studying us intently. We look up and, sure enough, we catch someone staring.
Hapa ndipo nimeanza kuelewa msinginwa post yako, kumbe unafanya kitu unachokijua na unajua lengo! Haiwezekani udanganye watu kuwa katika NWO system unayoipigia upaku eti kila kitu kitakuwa bure ili kuleta usawa, hili neno usawa kwanza inatakiwa uliondowe katika misamiati yako kama kweli wewe unajiona ni great thinker, usawa maana yake ni aliyefanya kazi na asiyefanya waote wapewe ujira sawa, lkn pia haiwezekani huduma zote duniani zitolewe bure wakati unjua zote zinagharimu muda mali nk, nani atakuwa kaziandaa ili watu wote wapewe bure?Ndio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.
Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
System itakua imeandaa mkuu, nikupe mfano mdogo leo hii kuna familia labda ya watoto wa5 mfano unakuta mmoja tu ndiye aliyetoka na kupata mafanikio basi atawaonganisha ndugu zake na watoto wao kushare alichonacho yeye ipo hiyo ktk familia mbalimbalinani atakuwa kaziandaa ili watu wote wapewe bure?
Nakutakia mafundisho yenye uwerediOLD WORLD ORDERIli uweze kuwa na kipya ni lazima kitu cha zamani kife. Lazima mfumo wa zamani wote ufe. Lakini kunakuwa na ugumu sana maana huo mfumo umekuwa na mizizi tena mirefu sana ni vigumu kuondoa doctrine za watu wa dini walizojifunza kwenye vichwa vyao.
Maana hii OWO imejificha katika misingi ya kidini ili kufaidisha wachache. Msingi wa NWO unataka kuwafaidisha watu wote. Kuwa na kitu kimoja kwa ajili ya wote. kama kutumia pesa kutumia pesa ya aina moja kwa manufaa ya watu wote. Kwa sababu sisi wote ni watu na tunaishi kwenye sayari moja ni lazima tufanye kitu kwa pamoja kwa manufaa ya sis.
OWO inawagawa watu katika matabaka na kuonekana kuna watu wa aina fulani na wengine wa aina fulani. Hii tu ilitokana na watu wachache wanaojua siri kutunga na kuhakikisha watu wote ulimwenguni wanafuata hicho na kupumbazwa wasijue vitu. "Education is Power"
Kwa mfano POP ni mtu mkubwa sana duniani zaidi hata ya raisi wa nchi fulani. Lakini je Pop ni kiongozi wa duini wa watu wote au kiongozi wa dhehebu fulani la kikristo? Hiyo yote ni kwa sababu ya OWO ambayo inawafanya watu kuabudu wanadamu wenzao pasipo kujielewa.
Nachelea kusema hivyo kwa sababu nimewahi kuwa kwenye dini na kuajaribu kuuliza maswali ambayo ni muhimu sana niyafahamu na matakeo yake unaambiwa ni "fumbo la IMANI" Je fumbo la imani ndio nini sasa kwanini kuwe na fumbo?. Watu hawa walitengeneza system ambayo lazima iweze kujicotrol yenyewe pasipo weneyewe kuwepo na kufanya watu wasiwe nauwezo wa kuhoji na kulidhika.
Walijua kabisa watu wa duniani ni wazembe kufanya utafiti na kwahiyo ukiwafumba kwenye msingi wa mungu hachunguziki watakaa kimya na kufuatakila wanachoambia pasipo kutumia ubongo wao. Ni wakati wa kukaa na kutafakari kwa usahihi pasipo kulubuniwa na mtu ni kwa akili ya mtu binafsi kuamua na kujua ukweli ni nini?
Kwa mfano. Tukiongelea ukristo ambaye mwanzilishi wake ni Yesu kristo umekuwa tofauti ukilinganisha na msingi wa mwenye aliye anzisha. Kwa kifupi wakristo sio wafuasi wa Yesu bali ni wafuasi wa Paul ukiangalia kabisa hakuna hata dhehebu moja linalofuata maelezo ya Yesu. Halafu tena hebu angalia Je wandishi wa agano jipya ni akina nani hao.
Matthew, Mark, Luke, John, Paul, James, Peter, Jude watu wanane na wengi wao waliandika maneno ya Yesu kwa kusimuliwa tu.
Yule mkusanyaji wa vitabu vya kwenye Biblia hakuwa makini kwa maana imekuwa ikijichanganya yenyewe. Huku wafuasi wake wakiwa hawataki kuona hayo makosa yaliyofanywa na huyu mwandishi. Kusema kweli ni uwongo mtu ni kwa ajiri ya kukamilisha matakwa yao waliyokuwa wanayataka.
Kwanini sasa wamisionary wawendio walikuwa wanafanya ukoloni kwetu na kutunyanyasa? Na huku wanaeneza neno la Mungu mwema?
Hii yote ilikuwa ni kukamilisha matakwa yao wenyewe. Sas imefika wakati wa kujikomboa sisi wanadamu dunia nzima tuwe huru kutoka kwenye mikono ya watu hawa wachache waliotulisha sumu na kutupumbaza akili zetu.
Nitaendele kutoa mpaka tujielewe sisi ni akina nani.