Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

We usikimbilie kumtukana.mtu bila utafiti na uelewa. Haya nyie ambao sio makafir jana tu mmeua wanafunzi kibao Garisa bila hatia eti kwa jina la Allah! unadhani Mungu anafurahia unyama huo.
Acheni kuuana kwa sababu ya mavitabu ya riwaya yaliyoletwa kwenye majahazi.
Sawa Mfuate mwenzio kwny NWO mkatoane sadaka
 
View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.
MEYIIII maana yake nn?
 
we jamaa ni muongo sana tena hupati mfuasi hapa... huyo mtoto mdogo alikuwa anataja meyi mpaka kaweza kuona 4D..!!? jibu ni hapana ni kwa uwezo wa mungu..!!!
na kama binadamu tuna uwezo wa kuona 4D kwann tutaje na huyo MEYI ni nani kama sio shetani anayetaka kuharibu uhusiano wa binadamu na mungu... acha kupotosha jamii na kushabikia shetani... chunga sana kijana mungu sio wa kumletea masihara..!!!!
 
ukitaka kuamini huyu mtoa mada hamnazo.. atajibu maswali mengi ila likifika MEYIII anakula kona... sababu anajua MEYI ni shetani aliyemshawishi kumkataa mungu wake... tumpeni pole tu kashadumbukia pabaya!!!!
 
Kuna mambo yanayofanywa na higher intelligence tusiyoijua Bali tunaamini.Hii higher intelligence naamini ni Mungu.Sema baadhi ya wanadamu wanajaribu kuelewa haya mambo kutumia intelligence yao ya kawaida.
Ipo siku mwanadamu ataduwaa atakapo ona ujuaji wake na sayansi na mamlaka si kitu kabisa.Ndipo atakapoamini kuna vitu beyond human intelligence tusivyoweza kungamua kwa akili zetu hizi.Na huwezi kuelewa zaidi ya kuamini.And that is wisdom.Akina Einstein na Plato walitambua hilo.

Mwanadamu na woga wake wa kufa na tamaa ataendelea kuhangaika huku na huko,kutafuta immortality na power.
Hatutakaa tukajua na kuelewa siri zote za hii dunia.Ila tunachojua kuna nuru na Giza ziko katika vita ya kuwa na mamlaka ya hii dunia.

Na silaha zao Ni mwanadamu.Tamaa zake,anaamini nini,anaogopa nini.Na ndio Maana dini inatumika na watu wema na wabaya.
Kuliko kuwaza NWO waza familia yako na nafsi yako.
Nguvu za Giza za hii dunia lengo lake Ni kumwangamiza na kumtawala mwanadamu kwa kutumia wanadamu wenzake.Na wana focus kwenye familia..jiulize why homosexuality?kwanini watu hatusali usiku Siku hizi kabla ya kulala badala yake tunachat?tunaangalia porn?

Kwanini?Simple.Rule the mind.Rule the body.miaka inayokuja mtu akija kukuhubiria kwamba Kulikuwa na mtume Mohammed.au Yesu alikufa na kufufuka.Utaishia kumcheka Sana tu.kwamba Mungu hayupo.

Sasa unadhani itakuwa Vigumu kwa NWO kutekelezeka?No.kwasababu mwanadamu kwa kutumia intelligence yake ataamini huo ndio mfumo bora wautawala aliokuwa anausubiria.Utawala usiomkataza mwanadamu homosexuality, porn,abortion,kubadilisha sex nk.
Its that simple.Hauhitaji kudecipher hizo triangles wala kumsoma DanBrown kuelewa.
 
Ni kweli,siku watu wakiujua ukweli makanisa,misikiti na waganga wa kienyeji watapoteza uhalali mara moja.
 
ukitaka kuamini huyu mtoa mada hamnazo.. atajibu maswali mengi ila likifika MEYIII anakula kona... sababu anajua MEYI ni shetani aliyemshawishi kumkataa mungu wake... tumpeni pole tu kashadumbukia pabaya!!!!
 
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.

Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti mbali mbali zilizo fanywa. Naomba unaposoma bandiko hili usiegemee kwenye Imani yoyote weka akilizako huru.

Kwanza kabisa ninaanza kwa kueleza kuwa Imani zote hapa duniani zimeanzishwa na wanadamu kwa malengo tofauti tofauti. Na kunaimani zingine zimewekwa kwa malengo ya watu fulani wanaojua siri fulani ili kuwapumbaza watu wasiweze kujua siri hiyo.

"Aaaa! ni kitu gani hapa Annael unataka kuongea?" Kuna watu wenyenguvu sana duniani waliweka OWO (Old World Order) Kwa ajili ya kuwanufaisha wao na familia zao na ukoo wao tu. Kwa hiyo hakuna hata mmoja anayeruhusiwa kujua siri yoyote kuhusu dunia na maisha ya wanadamu. Zikawekwa dini hususani dini za (Kikristo, Kiislam na Kiyahudi) Lengo lake ni kuwafanya watu wasihoji chochote. Na kuwa wanakubaliana na kila kitu kilicho andikwa kwenye vitabu ambavyo vinatumika kwenye imani zao. Ni siri kubwa imefumbwa na ni mtu tu mwenye kutafakari anaweza akajaribu kuhoji na kujihoji mwenyewe.
Hebu tujaribu kupiti a hapa kidogo Illumination: the Secret Religion - God

Kuna siri nzito sana ambayo siyo mda mrefu itakuwa wazi maana hakuna tena kuficha. Kila mtu anatakiwa kuwa huru na kufanya kilicho chema aonacho. Hizi vita, Njaa na ugomvi wa kila namna ni kutetea mslahi ya wao.
Hebu jaribu kufikilia kwa nini nchi ya Marekani watu wenye nguvu wametoka kwenye jamii moja? skull and bones
Hebu pitia hapa kidogo: List of Skull and Bones members - Wikipedia, the free encyclopedia

Wana falsafa, Sayansi na wanaHisabati ndio waliokuwa wanajua siri hii. Mtu akiwa anajua Falsafa, hisbati, Sayansi na Mystery huyo mtu atakuwa yuko juu sana na atajua mengi mmno kuhusu ulimwengu na watu.

"Annael mbona unanichanganya ni nini tena hapa?" Aaah hebu tulia kidogo unmfahamu jamaa mmoja anaitwa Pythagoras? hebu ngoja ni kukumbushe alifanya proof ya theory fulani ya kihesabu kuhusu triangle ambayo ni A² + B² = C²
Unakumbuka sasa? Huyu jamaa alitoa siri nyingi sana zaidi ya hiyo ni mtu wa kwanza kujiita kuwa yeye ni mwanafalsafa alikuwa anafanya mambo ya Mystery, Hisabati, Sayansi na Falsafa. Huyu jamaa alifanya vitu vingi sana ambayo jamii fulani fulani zinatumia na kuelimishana wao kwa wao katika level tofauti tofauti.
Pythagoras aligawa elimu hiyo katika degree 10 na kuweka ndani ya Pembe tatu

View attachment 240072
Formula hiyo jamii nyingi sana zinaitumia. Hebu ngoja kidogo. "Umecheki vizuri hilo umbo? Umeona nini hapo.
Aaah ni kama pilamidi hivi ambalo nyuma ya dolla ya malekani lipo!!! haa! sasa ni nini maana yake sasa?
Hebu check dolla ilivyo hapa:

View attachment 240078
Hebu tulia kidogo kwanini sasa hapo kenye pilamidi kuna kama kitu kina ng'aa? oooh jamani si ni mbwembwe tu za kupamba dolla?

Hapana siyo mbwembwe ni uhalisia wanamanisha wanachofanya hapo siyo kama pesa yetu tunaweka fisi mara tembo mara nini. Halafu kwenye dola kunamanaeno yanasema:novus ordo seclorum maana yake ni "New order of Ages"

Sasa ni wakati wa kuamka kutoka usingizini na kuachana na OWO kuabudu watu huku wamejificha kwenye dini na kutupumbaza sisi.
Nilazima tuwe na NWO ambayo ni mpya ya kutufanya sisi kuwa huru na siyo kutumikia watu wachache.

Maelezo mengine nitaendelea kutoa.


Unayoitoa hii yote ni Elimu ya Iluminat na freemasons. Kama umeshaingia huko babaa kaa mwenyewe! Waache hao Skull and Bones Members (Ambazo hata hauelezi zina maana gani) wakae na utajiri wao. Kwani utajili ninini? wanakula, wanakunya, wanakufa kama mimi, so what is the fucking difference? Jicho la saba la tano linakusaidia ninini? Hatukuwepo wakati dini zetu hizi zinaanzishwa likewise huo ufreemason ni mapokeo. Fanya kazi, tafuta pesa ule bata, hayo ndio maisha, usidanganye wasomaji na kupanikisha.
 
Bado sija muelewa huu ni uchawi kuna ushirika gani kusema meyiii na kulifungua jicho la tatu what doe it mean....Mungu na akukemee
 
hahahahaha mkuu yan unatupotosha kwa style ya kizaman sana


style hiyo na maneno hayo aliyatumia shetan kumshawishi EVA hadi akala tunda la mti wa katikati kisa kutaka kujua mambo kama unavotaka na sisi tuyajue

kwa upande wangu sihitaji kuyajua hayo yaliyofichika acha niendelee umburura wangu coz hayo mambo bibi yetu EVA(HAWA) yalimcost yeye na mumewe babu yetu ADAM.....
 
Nahisi Annael atakuwa na degree 20 kati ya 33 za free masson.
Anyway hata biblia inatabiri ujio wa mambo haya, watu kukosa hofu ya Mungu. Hata hatuna haja ya kupoteza nguvu kukemea, kwa sababu anatimiza maandiko, wakati ukifika kweli kutakuwa na serikali moja ya dunia na hapo ndipo, asiye na alama ya mnyama hataruhusiwa kuuza wala kununua. si ajabu hata siku ya kuabudu itatangazwa kuwa moja duniani kote.
Cha kufanya mtakatifu azidi kujitakasa.
Huwezi amini leo tunampinga Annael lakini kadiri siku zinavyoenda na maneno haya yanaendelea kusemwa itafika siku tutayaona ya kawaida na kukubali, ingawa sidhani kama mimi na wewe tutakuwepo, yawezekana watakuwa watoto wa wajukuu zetu.
 
Back
Top Bottom