Ukweli kuhusu Wayahudi

Ukweli kuhusu Wayahudi

Kuna uongo na Propaganda inaendeshwa na inapamba moto Kwa hasa haya makanisa ya kipentekoste ,wanadanganywa hawa kina Nentanyau ndio waisraeli ,ukweli huo ni uongo mkubwa ,Leo nitakupa mwanga kidogo ,mengine ukatafiti mwenyewe

Hawa wanaojiita israel Leo kihalisia ni waongo ,hawa wanatokea khazarian mashariki mwa Israel, hawa ndio Gogu na Magogu waliotajwa na nabii Ezekiel sura ya 38.

Baadae walihama baada ya khazarian empire kuanguka ,wakatawanyika na kwenda ulaya ,na maeneo mengine ,

Walipooenda Israel walipata nguvu kubwa sana ,na wakashika Serikali ,ukiangalia alama ya zaman ya khazarian ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya hawa kina Nentanyau,ni alama ya Hexagram yenye ncha 6

View attachment 2858834
Wajinga wanadanganywa ni nyota ya Daudi [emoji1787][emoji1787]

Unakuta makanisani ,wachungaji na maaskofu Wana phd wameiweka madhabahuni

Hiyo alama ni ya kipagan kutoka enzi za khazarian empire,na ni Moja ya alama za freemasons

View attachment 2858828

Angalia raman hapa ya khazarian utaona na alama yao ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya Israel.

Biblia inasema katika ufunuo

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Unaona Biblia inatuonya kuna wayahudi fake wanajiita wayahudi Original

Hawa ndio wanafanya hata matamasha ya ushoga pale Tel Aviv ,hawa Kwa kujificha wanajiita Zionism

Wayahudi halisi wapo wachache sana pale israel wengine ni wale wakiroho wanaotajwa na biblia wale wanaorithi ahadi za ibrahimu

Pale israel kuna upinzan mkubwa sana kati ya Wayahudi halis na hawa Zionist ambao ndio Khazarian au Ashkenazi ,

Ingia YouTube andika Zionism vs Judaism utaona jinsi Wayahudi halisi wanavyowapinga hawa kina Nentanyau,

Tatizo Judaism pale israel wapo wachache sana ,ndio maana ni ngumu kujua huu upinzani, media zinawapumbaza na vita za Jews vs palestina na kuambiwa muwabariki Israel hawa kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale Tel Aviv na Jerusalem.

View attachment 2858829

Hawa Khazarian ndio Gogu na Magogu wanatokea pale pale Urusi ,Wakati Nabii Ezekiel anatabiri kuhusu Gogu na Magogu kwenye kitabu Cha Ezekiel 38 ,akisema watapigana na Israel siku za mwisho, kwasasa walisha migrate na wamejificha pale pale israel ,na Sasa wanadanganya watu wao ndio Israel halisi .,na Urusi ni upagani.

View attachment 2858830View attachment 2858831
Inasikitisha sana humo makanisani watu wameweka bendera yenye alama za kipagani ,
View attachment 2858832View attachment 2858833
Waislamu hivi mnafundishwaga ubishi kwenye dini yenu DNA imekiri wale ni wayahudi na maandiko matakatifu yametabiri watarudi kwenye nchi yao sasa nyie endeleeni kudanganyana huko madrasa
 
"Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani".

Si akina Netanyahu tu ndiyo uibua madai ya kujihita wayahudi..kuna waarabu wapalestina nao ujiita wayahudi.
Na wana watetezi wao hapa Jf. Sasa labda ueleze ni kwa namna ipi ili andiko linawalenga akina Netanyahu na sio hao wengine tu?.

Mamilioni ya sample za DNA yanaonyesha scientifically proven kuwa Ashkenazi Jews (kama wenzao Sephardi & Mizrahi brothers & sisters) originate kutoka Levant (Israel).

Ashkenazi Jews walihamia Rhineland magharibi mwa ujerumani kati ya 800-900 CE.
Na wamekuwa wakiongea Yiddish kwa zaidi ya millenia, lugha ambayo imechangamana na kiebrania orijino..so,kuniambia kuwq walijiingiza kwenye uyahudi na kujifunza hizo lugha lugha ili kufool ulimwengu nitakataa.

Kuna nadhalia nyingi sana kuhusu hawa wayahudi, mimi nimechagua kuamini kuwa hawa ndiyo wayahudi wenyewe.

The Book of Revelation:

"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel.

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"

"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view.

(From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"

Again, we don't know who wrote the Book of Revelation. It is certainly highly doubtful that it was written by Apostle John. The Theologians and Historians of the NIV Bible seem to agree with the invalidity of this book from the above quote. So are you now going to consider the other John's words as the Words and Inspirations of GOD Almighty?

As we see, the style of writing in the book of Revelation is different from the books that are believed to be from John which are the Gospel of John, 1 John, 2 John and 3 John. The book of Revelation's style seems to be closer to John the Presbyter's writings. This man is known in ancient writings. There are also many Christian theologians today that hold the same view about the falsety of the book of Revelation.

Isn't this sufficient enough to prove that the book is doubtful?

Notice that in the sections of "Gospel of John" and "Gospels of 1, 2 & 3 John" above, the author did not identify himself and it was ASSUMED without actual proofs that it was Saint John who wrote them. Notice how they said that if he were to identify himself, then it would be hard for them to explain it.

Now, notice the author in the Book of Revelation does identify himself as John, but he has a complete different language and style of writing from the other books, which created much uncertainty about its validity in the Church.

My questions here are: Who wrote the Books? And is or is not Saint John supposed to identify himself in his books? And where are his books that have his name on them?

Again, keep in mind that the NT was not even documented on paper until 150 to 300 years after Jesus (depending on what Christian you talk to). So the dating is way too long for us to be assuming books to belong to certain people. Let alone considering their nonsense (contents) as the True Living Words of GOD Almighty.
 
Hii inasema nini?.
 
kwahiyo mkikaa kwenye vijiwe vya kahawa vya kupiga watu chuma ulete, na mnavyoukung'uta ubwabwa ndio hua mnadanganyana namna hii? hivi tangu lini wahindi waliokuja Tanzania hata kabla babu zako wa kibantu hawajahamia Tanzania, wameacha kuwa wahindi? kamshike MO dewji leo mwambie wewe sio mhindi atakuelewa? na hajawahi kuishi India,amezaliwa singida hapo. wayahudi ni kweli walikimbilia uhamishoni, ila kule walikoenda waliendeleza lugha yao ya kiyahudi, communities zao za kiyahudi na dini yao. na hii ndio sababu iliyowafanya wakafanikiwa sana kwenye dunia kuzidi wenyeji na wakauawa sana na kuchukiwa, kwasababu walikuwa wanajitenga wao tu, wanashirikiana na wayahudi wenzao tu, na lugha ya kiyahudi imekuwa ikitumika kwenye biashara wao kwa wao tu, haijawahi kupotea, ile ile iliyokuwa inaongelewa Israel kipindi cha Yesu ndio inaongelewa hiyohiyo leo, wameitunza kimaandishi na kilafudhi, huko walikokimbilia walienda nanyo na wamekuwa wakiingea huko wakiipasisha kwa vizazi vyao, myahudi wa spain akienda kufanya biashara uingereza anapata connection ya myahudi mwezie na wanaongea kiyahudi against ninyi msio wayahudi. ni sawa na leo uende kwenye duka la mhindi ambaye hata hajawahi kuishi india unakuta wanaongea kihindi wao kwa wao, na wana shule za kihindi kusaidia watoto wao kuendeleza kihindi.

kwa hao wanaosemekana kutokea eneo la karibu na caspian sea, kuna group kubwa sana la wayahudi walihamia pale wakafanya kuwa community yao pale, na walikaa pale kwa karne mbili au tatu, na hawakuuacha uyahudi wao. wengine wanasema kwa sababu ati kwasababu mtu akiconvert to judaism anakuwa myahudi pia hivyo wale ni converts, Yes, some of them, lakini kati ya hao wayahudi unaowaona, wale waliokuwa wayahudi kwasababu ya conversion (kama mtoto wa Trump) ni wachache sana ukilinganisha na wale waliozaliwa na Mwanamke wa kiyahudi. wanawake wa kiyahudi huko walikoenda wakizaa mtoto na mzungu au mchina au yeyote, yule mtoto ni myahudi, wale ni matrilineal society, sasa mimi mzungu mfano nizae na myahudi, afu sura ya mtoto ibaki ileile, ikizingatia kwenye ukimbizini huko wayahudi wameishi mataifa mbalimbali kwa miaka 400, miaka yote hiyo sura isibadilike kweli?

zaidi ya yote, unaongelea Ashkenaz Jews ambao pale Israel in asilimia 31%, asilimia 69% iliyobaki sio Ashkenaz Jews. je? hao majority ambao sio ashkenaz jews unawaweka upande gani? hivi unajua kulikuwa na idadi kubwa sana ya wayahudi nchi za kiislam na walishafukuzwa wote wakarudi Israel? Iran kulikuwa na idadi kubwa sana ya wayahudi waliokuwepo tangu enzi za wafalme wa Umedi hadi leo, hadi mmoja miaka ya hivi karibuni alikuwepo hadi kwenye serikali kama mbunge, morroco, aljeria, misri, Yemen n.k kulikuwa na wayahudi wengi sana ambao hawajawahi hata kufika Ulaya, hao wote wamerudi Israel, hao unawaweka kwenye fungu hilo hilo? hapo sasa umejiona namna viongozi wako wanavyowadanganya kwa uongo wa wazi, hawasomi. ndio maana tunasema shule shule shule, ninyi mnakimbia shule.
 
Una kitu mkuu, ngoja niikopi na kumtumia jamaa yangu huwa anafuatilia sana mambo hayo.!
 
Hiyo ni Chuki uliyonayo juu ya Wayahudi!
Kumbe hujui historia ya Waisrael! Huko Ashkenazi ni moja ya maeneo duniani ambako wana wa Israel walitawanyikia kutoka Israeli baada ya Warumi kuuvamia na kuubomoa mji wa Yerusalem mnamo mwaka 70 AD. Moja ya ya makabila ambayo yalitawanyikia kule ni Ukoo wa Manase,mtoto wa Yusufu mtoto wa Israel.
Lakini nchi yao ambayo ni ya mababu zao Ibrahim,Isaka na Yakobo ni hiyo hiyo wanayoikalia tangu 1948 walipoiteka na kuikalia.
 
Kuna uongo na Propaganda inaendeshwa na inapamba moto Kwa hasa haya makanisa ya kipentekoste ,wanadanganywa hawa kina Nentanyau ndio waisraeli ,ukweli huo ni uongo mkubwa ,Leo nitakupa mwanga kidogo ,mengine ukatafiti mwenyewe

Hawa wanaojiita israel Leo kihalisia ni waongo ,hawa wanatokea khazarian mashariki mwa Israel, hawa ndio Gogu na Magogu waliotajwa na nabii Ezekiel sura ya 38.

Baadae walihama baada ya khazarian empire kuanguka ,wakatawanyika na kwenda ulaya ,na maeneo mengine ,

Walipooenda Israel walipata nguvu kubwa sana ,na wakashika Serikali ,ukiangalia alama ya zaman ya khazarian ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya hawa kina Nentanyau,ni alama ya Hexagram yenye ncha 6

View attachment 2858834
Wajinga wanadanganywa ni nyota ya Daudi [emoji1787][emoji1787]

Unakuta makanisani ,wachungaji na maaskofu Wana phd wameiweka madhabahuni

Hiyo alama ni ya kipagan kutoka enzi za khazarian empire,na ni Moja ya alama za freemasons

View attachment 2858828

Angalia raman hapa ya khazarian utaona na alama yao ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya Israel.

Biblia inasema katika ufunuo

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Unaona Biblia inatuonya kuna wayahudi fake wanajiita wayahudi Original

Hawa ndio wanafanya hata matamasha ya ushoga pale Tel Aviv ,hawa Kwa kujificha wanajiita Zionism

Wayahudi halisi wapo wachache sana pale israel wengine ni wale wakiroho wanaotajwa na biblia wale wanaorithi ahadi za ibrahimu

Pale israel kuna upinzan mkubwa sana kati ya Wayahudi halis na hawa Zionist ambao ndio Khazarian au Ashkenazi ,

Ingia YouTube andika Zionism vs Judaism utaona jinsi Wayahudi halisi wanavyowapinga hawa kina Nentanyau,

Tatizo Judaism pale israel wapo wachache sana ,ndio maana ni ngumu kujua huu upinzani, media zinawapumbaza na vita za Jews vs palestina na kuambiwa muwabariki Israel hawa kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale Tel Aviv na Jerusalem.

View attachment 2858829

Hawa Khazarian ndio Gogu na Magogu wanatokea pale pale Urusi ,Wakati Nabii Ezekiel anatabiri kuhusu Gogu na Magogu kwenye kitabu Cha Ezekiel 38 ,akisema watapigana na Israel siku za mwisho, kwasasa walisha migrate na wamejificha pale pale israel ,na Sasa wanadanganya watu wao ndio Israel halisi .,na Urusi ni upagani.

View attachment 2858830View attachment 2858831
Inasikitisha sana humo makanisani watu wameweka bendera yenye alama za kipagani ,
View attachment 2858832View attachment 2858833
MKUU NAONA ISLAM MINDSET IMEKUKAA BAADA YA KUSHINDWA KUWAUA WAYAHUDI NA KUWAFANYA VIBARUA NA WATUMWA NA SEX SLAVE,S WA WAARABU.......
HIZO HOJA ZENU ZA KITOTO MMESHAFELI KATIKA UWANJA WA VITA MNATAFUTA HURUMA YA WAKRSTO KWA PROPAGANDA.
NA MKITAKA VITA MIAKA MILIONI MOJA WAYAHUDI WAPO TAYARI NA HAKUNA WA KUWAONDOA KWENYE ARDHI YA MABABU ZAO.
 
Hiyo ni Chuki uliyonayo juu ya Wayahudi!
Kumbe hujui historia ya Waisrael! Huko Ashkenazi ni moja ya maeneo duniani ambako wana wa Israel walitawanyikia kutoka Israeli baada ya Warumi kuuvamia na kuubomoa mji wa Yerusalem mnamo mwaka 70 AD. Moja ya ya makabila ambayo yalitawanyikia kule ni Ukoo wa Manase,watoto wa Yusufu mtoto wa Israel.
Lakini nchi yao ambayo ni ya mababu zao Ibrahim,Isaka na Yakobo ni hiyo hiyo wanayoikalia tangu 1945 walipoiteka na kuikalia.
WAARABU NA WAISLAMU WASHAFELI NA WANALETA HOJA DHAIFU BAADA YA WAYAHUDI KUWATIA ADABU SINCE 1967 NA 1973...
IMAGINE WAARABU NA WAISLAMU WANGESHINDA VITA HIZO
 
Kuna uongo na Propaganda inaendeshwa na inapamba moto Kwa hasa haya makanisa ya kipentekoste ,wanadanganywa hawa kina Nentanyau ndio waisraeli ,ukweli huo ni uongo mkubwa ,Leo nitakupa mwanga kidogo ,mengine ukatafiti mwenyewe

Hawa wanaojiita israel Leo kihalisia ni waongo ,hawa wanatokea khazarian mashariki mwa Israel, hawa ndio Gogu na Magogu waliotajwa na nabii Ezekiel sura ya 38.

Baadae walihama baada ya khazarian empire kuanguka ,wakatawanyika na kwenda ulaya ,na maeneo mengine ,

Walipooenda Israel walipata nguvu kubwa sana ,na wakashika Serikali ,ukiangalia alama ya zaman ya khazarian ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya hawa kina Nentanyau,ni alama ya Hexagram yenye ncha 6

View attachment 2858834
Wajinga wanadanganywa ni nyota ya Daudi [emoji1787][emoji1787]

Unakuta makanisani ,wachungaji na maaskofu Wana phd wameiweka madhabahuni

Hiyo alama ni ya kipagan kutoka enzi za khazarian empire,na ni Moja ya alama za freemasons

View attachment 2858828

Angalia raman hapa ya khazarian utaona na alama yao ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya Israel.

Biblia inasema katika ufunuo

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Unaona Biblia inatuonya kuna wayahudi fake wanajiita wayahudi Original

Hawa ndio wanafanya hata matamasha ya ushoga pale Tel Aviv ,hawa Kwa kujificha wanajiita Zionism

Wayahudi halisi wapo wachache sana pale israel wengine ni wale wakiroho wanaotajwa na biblia wale wanaorithi ahadi za ibrahimu

Pale israel kuna upinzan mkubwa sana kati ya Wayahudi halis na hawa Zionist ambao ndio Khazarian au Ashkenazi ,

Ingia YouTube andika Zionism vs Judaism utaona jinsi Wayahudi halisi wanavyowapinga hawa kina Nentanyau,

Tatizo Judaism pale israel wapo wachache sana ,ndio maana ni ngumu kujua huu upinzani, media zinawapumbaza na vita za Jews vs palestina na kuambiwa muwabariki Israel hawa kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale Tel Aviv na Jerusalem.

View attachment 2858829

Hawa Khazarian ndio Gogu na Magogu wanatokea pale pale Urusi ,Wakati Nabii Ezekiel anatabiri kuhusu Gogu na Magogu kwenye kitabu Cha Ezekiel 38 ,akisema watapigana na Israel siku za mwisho, kwasasa walisha migrate na wamejificha pale pale israel ,na Sasa wanadanganya watu wao ndio Israel halisi .,na Urusi ni upagani.

View attachment 2858830View attachment 2858831
Inasikitisha sana humo makanisani watu wameweka bendera yenye alama za kipagani ,
View attachment 2858832View attachment 2858833
Sasa badala ya kuandika hoja zako unaishia kulia, kuomboleza na kutukana.
 
"Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani".

Si akina Netanyahu tu ndiyo uibua madai ya kujihita wayahudi..kuna waarabu wapalestina nao ujiita wayahudi.
Na wana watetezi wao hapa Jf. Sasa labda ueleze ni kwa namna ipi ili andiko linawalenga akina Netanyahu na sio hao wengine tu?.

Mamilioni ya sample za DNA yanaonyesha scientifically proven kuwa Ashkenazi Jews (kama wenzao Sephardi & Mizrahi brothers & sisters) originate kutoka Levant (Israel).

Ashkenazi Jews walihamia Rhineland magharibi mwa ujerumani kati ya 800-900 CE.
Na wamekuwa wakiongea Yiddish kwa zaidi ya millenia, lugha ambayo imechangamana na kiebrania orijino..so,kuniambia kuwq walijiingiza kwenye uyahudi na kujifunza hizo lugha lugha ili kufool ulimwengu nitakataa.

Kuna nadhalia nyingi sana kuhusu hawa wayahudi, mimi nimechagua kuamini kuwa hawa ndiyo wayahudi wenyewe.
ISLAM MINDSET NA WIVU ULIOPITILIZA KWA KOO ZA WAYAHUDI..NA UNAFIKI WA KIHISTORIA KUHUSU HIMAYA ZA WAYAHUDI KABLA YA WARAABU..
 
"Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani".

Si akina Netanyahu tu ndiyo uibua madai ya kujihita wayahudi..kuna waarabu wapalestina nao ujiita wayahudi.
Na wana watetezi wao hapa Jf. Sasa labda ueleze ni kwa namna ipi ili andiko linawalenga akina Netanyahu na sio hao wengine tu?.

Mamilioni ya sample za DNA yanaonyesha scientifically proven kuwa Ashkenazi Jews (kama wenzao Sephardi & Mizrahi brothers & sisters) originate kutoka Levant (Israel).

Ashkenazi Jews walihamia Rhineland magharibi mwa ujerumani kati ya 800-900 CE.
Na wamekuwa wakiongea Yiddish kwa zaidi ya millenia, lugha ambayo imechangamana na kiebrania orijino..so,kuniambia kuwq walijiingiza kwenye uyahudi na kujifunza hizo lugha lugha ili kufool ulimwengu nitakataa.

Kuna nadhalia nyingi sana kuhusu hawa wayahudi, mimi nimechagua kuamini kuwa hawa ndiyo wayahudi wenyewe.
Uliwapima lini na uliwapimia wapi......wayahudi wote kuanzia bara asia mpaka ethiopia na mpaka ulaya na kaskazini mwa afrika?????
Unajua wasomi hatudanganyik
 
Waislamu hivi mnafundishwaga ubishi kwenye dini yenu DNA imekiri wale ni wayahudi na maandiko matakatifu yametabiri watarudi kwenye nchi yao sasa nyie endeleeni kudanganyana huko madrasa
Ndio maana nikasema waislamu ni wanafiki wa historia..
Imagine leo hii ugiriki ipigane vita kurudisha maeneo yote iliyoyapoteza kwa waturuki...
Je utawaita wagiriki wavamizi???
 
The Book of Revelation:

"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel.

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"

"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view.

(From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"

Again, we don't know who wrote the Book of Revelation. It is certainly highly doubtful that it was written by Apostle John. The Theologians and Historians of the NIV Bible seem to agree with the invalidity of this book from the above quote. So are you now going to consider the other John's words as the Words and Inspirations of GOD Almighty?

As we see, the style of writing in the book of Revelation is different from the books that are believed to be from John which are the Gospel of John, 1 John, 2 John and 3 John. The book of Revelation's style seems to be closer to John the Presbyter's writings. This man is known in ancient writings. There are also many Christian theologians today that hold the same view about the falsety of the book of Revelation.

Isn't this sufficient enough to prove that the book is doubtful?

Notice that in the sections of "Gospel of John" and "Gospels of 1, 2 & 3 John" above, the author did not identify himself and it was ASSUMED without actual proofs that it was Saint John who wrote them. Notice how they said that if he were to identify himself, then it would be hard for them to explain it.

Now, notice the author in the Book of Revelation does identify himself as John, but he has a complete different language and style of writing from the other books, which created much uncertainty about its validity in the Church.

My questions here are: Who wrote the Books? And is or is not Saint John supposed to identify himself in his books? And where are his books that have his name on them?

Again, keep in mind that the NT was not even documented on paper until 150 to 300 years after Jesus (depending on what Christian you talk to). So the dating is way too long for us to be assuming books to belong to certain people. Let alone considering their nonsense (contents) as the True Living Words of GOD Almighty.
Sawa na jadili pia simulizi za kutunga za muhamad za kukopi wayahudi na kuongezea vya kwake....
Na yote aliyoadithia ni mapokeo ya kale ya waarabu na kakopi wayahudi asilimia 90% na alikataa kukosolewa na ukimkosoa eti kufuru wanakukata kichwa....
Sababu mapungufu ya uislamu ni aibu kuyakosoa adharani
 
Mkuu kweli wewe una ufupi wa kufikiria kama waarabu na waislamu wenzio..
Sasa ina maana duniani hakuna disapora wa kiyahudi kwa sababu mbalimbali na ambao wana uraia wa nchi ya asili yao....Israel
Bas yule waziri mwarabu wa Scotland sio mwarabu ni mzungu.
Au yule muhindi wa UK sio muhindi ni mzungu???
 
DNA inasema ni waisrael wewe unasema sio kwa maneno matupu tanzania ina safari ndefu sana
Acha ujuaha wa kuaminishwa ujinga,mkenya akihamia tanzania na kuishi anakuwa mtanzania na uzao wake?

DNA haibainishi utaifa wa mtu
1704093374327.jpg
 
kwahiyo mkikaa kwenye vijiwe vya kahawa vya kupiga watu chuma ulete, na mnavyoukung'uta ubwabwa ndio hua mnadanganyana namna hii? hivi tangu lini wahindi waliokuja Tanzania hata kabla babu zako wa kibantu hawajahamia Tanzania, wameacha kuwa wahindi? kamshike MO dewji leo mwambie wewe sio mhindi atakuelewa? na hajawahi kuishi India,amezaliwa singida hapo. wayahudi ni kweli walikimbilia uhamishoni, ila kule walikoenda waliendeleza lugha yao ya kiyahudi, communities zao za kiyahudi na dini yao. na hii ndio sababu iliyowafanya wakafanikiwa sana kwenye dunia kuzidi wenyeji na wakauawa sana na kuchukiwa, kwasababu walikuwa wanajitenga wao tu, wanashirikiana na wayahudi wenzao tu, na lugha ya kiyahudi imekuwa ikitumika kwenye biashara wao kwa wao tu, haijawahi kupotea, ile ile iliyokuwa inaongelewa Israel kipindi cha Yesu ndio inaongelewa hiyohiyo leo, wameitunza kimaandishi na kilafudhi, huko walikokimbilia walienda nanyo na wamekuwa wakiingea huko wakiipasisha kwa vizazi vyao, myahudi wa spain akienda kufanya biashara uingereza anapata connection ya myahudi mwezie na wanaongea kiyahudi against ninyi msio wayahudi. ni sawa na leo uende kwenye duka la mhindi ambaye hata hajawahi kuishi india unakuta wanaongea kihindi wao kwa wao, na wana shule za kihindi kusaidia watoto wao kuendeleza kihindi.

kwa hao wanaosemekana kutokea eneo la karibu na caspian sea, kuna group kubwa sana la wayahudi walihamia pale wakafanya kuwa community yao pale, na walikaa pale kwa karne mbili au tatu, na hawakuuacha uyahudi wao. wengine wanasema kwa sababu ati kwasababu mtu akiconvert to judaism anakuwa myahudi pia hivyo wale ni converts, Yes, some of them, lakini kati ya hao wayahudi unaowaona, wale waliokuwa wayahudi kwasababu ya conversion (kama mtoto wa Trump) ni wachache sana ukilinganisha na wale waliozaliwa na Mwanamke wa kiyahudi. wanawake wa kiyahudi huko walikoenda wakizaa mtoto na mzungu au mchina au yeyote, yule mtoto ni myahudi, wale ni matrilineal society, sasa mimi mzungu mfano nizae na myahudi, afu sura ya mtoto ibaki ileile, ikizingatia kwenye ukimbizini huko wayahudi wameishi mataifa mbalimbali kwa miaka 400, miaka yote hiyo sura isibadilike kweli?

zaidi ya yote, unaongelea Ashkenaz Jews ambao pale Israel in asilimia 31%, asilimia 69% iliyobaki sio Ashkenaz Jews. je? hao majority ambao sio ashkenaz jews unawaweka upande gani? hivi unajua kulikuwa na idadi kubwa sana ya wayahudi nchi za kiislam na walishafukuzwa wote wakarudi Israel? Iran kulikuwa na idadi kubwa sana ya wayahudi waliokuwepo tangu enzi za wafalme wa Umedi hadi leo, hadi mmoja miaka ya hivi karibuni alikuwepo hadi kwenye serikali kama mbunge, morroco, aljeria, misri, Yemen n.k kulikuwa na wayahudi wengi sana ambao hawajawahi hata kufika Ulaya, hao wote wamerudi Israel, hao unawaweka kwenye fungu hilo hilo? hapo sasa umejiona namna viongozi wako wanavyowadanganya kwa uongo wa wazi, hawasomi. ndio maana tunasema shule shule shule, ninyi mnakimbia shule.
Mkuu umetoa elimu.. .ila waarabu na waislamu ni wanafiki wa historia
 
Back
Top Bottom