Wayahudi wapokelewa kwa shangwe Somali Land

Wayahudi wapokelewa kwa shangwe Somali Land

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,719
Reaction score
6,256
Jopo la wayahudi walioalikwa kuzuru wapokelewa kwa shangwe na Nderemo katika mji mkuu wa Somali Land Hargeisa kwa shangwe na Nderemo huku bendera za taifa teule na Somali Land zikipeperushwa kwa furaha.

Kitendo hicho cha kushangaza kimeikasirisha wasomali wengi na ulimwengu wa Uislamu.

Somali Land ni jimbo la Somalia lililojitenga na lenye mamlaka yake na bendera yake. Japo Somalia inadai ipo chini yake.

Somali Land licha ni wasomali na asilimia 99.9 niwaislamu imekaribisha uamuzi wa Israel kwa mikono ya dhati na kuitambua Israel ni rafiki yao mkubwa.

Wamekumbushwa Israel ni adui wa waislamu na wapalestina. Lakini wa Somali wa Somali Land wanasema mbona Syria, Misri na mataifa ya ghuba wana mahusiano mazuri na taifa teule?




Lucha Munch wa annabelle Ritz

adriz de mbusii
 
Msomali kutoka Somalia 🇸🇴 akipokea kipigo cha mbwa mwitu alipojaribu kupeperusha bendera ya Somalia kwenye kundi la wa Somalia wenzake kutoka Somali Land wakisherekea Israel kuitambua nchi yao.

 
Tunashkuru sanaaaaa

Tutaendelea kuwasaidia kuwadunda makatili wa itikadi kali ili wawahi kupata mademu zao wa kufikirika

Itikadi kali imeleta mizozo mingi katika nchi zenu, itikadi kali ni kansa ndio maana USA na Israel imebaki baba lao la kuwafyonza

20260103_202231.jpg
 
Na sisi tuitambue Somaliland. Kuna rafiki zangu wamewekeza Somali Land wanasema mazingira ni mazuri sana, na miradi yao inaendelea vizuri sana.
 
Hapo ndio kinaenda kuwaka Sasa red sea haitakuwa Kama zamani, Yemeni nae Lazima aingie somalia
 
Hapo ndio kinaenda kuwaka Sasa red sea haitakuwa Kama zamani, Yemeni nae Lazima aingie somalia
 
Back
Top Bottom