Ok thats.......the hypothesis.............now lets see unavyotaka kutuonyesha hypothesisi hiyo inavyothibitishwa......kama uelezapo hapa chini....................Mwalimu wangu Maalim Haruna akisema, "Kila binadamu umuonae katika mgongo wa ardhi jua ana kitu kinamtisha hata akiwa na nguvu kiasi gani. ...............
.........Mimi nilkuwa kwa muda mrefu natafuta kitu kinachomtia hofu Nyerere. Nikakipata. Kwanza hakuwa anapenda kunasibishwa na waasisi waliomtangulia katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Pili alikuwa akiuhofia sana Uislam................
1.KUTOKUPENDA HAIMAANISHI KUTISHIKA/KUOGOPA
2. KUHESHIMU HAIMAANISHI KUTISHIKA/KUOGOPA
3. MWL JKN ALISHIRIKIANA NA WAISLAM VIZURI TU KAMA MZEE WAKO ALIWEKWA KIZUIZINI ISIWE NDI SABABU YAKO YA KUTAKA KUGOMBANISHA HISTORIA KWA KUINGIZA UDINI................na vile vile usituchanganye
Kw ahiyo unataka kutuaminisha kuwa MWL JKN alijenga Msikiti Butiama kwa hofu ya UISLAM?
Halafu ushahidi huo hauendani kabisa na hypothesis iliyotolewa na Mwl wako.......tofautisha HOFU na CHUKI/WIVU/CHOYO/UBINAFSI..........nilidhani wewe ni mswahili mwenzetu au?
.............Ushahidi nimetoa ukumbini jinsi alivyowapa Kivukoni kazi ya kuandika historia ya TANU na ikaandikwa kwa sampuli ya kumpendeza yeye..................
NI upotoshaji kutumia shahidi zisizo shabihihiana na hypothesis ya Mwl wako...................kama ni mpira wa miguu..........Mwl Haruna alikupiga tobo/dobo............
..........mangapi yalikusanywa na kuchomwa ndugu yangu...........mbona unataka kuwapumbaza watu na fikra zako ambazo tayari zimeathirika na background yako.............ndugu?..............wee unazungumzia kuchomwa magazeti/vitabu.............vipi wengine waliofichwa na waliporudi wakawa mabubu..............wote wale walikuwa Waislam?.................Hivi MWL JKN alisumbua biashara za akina Sykes?................Nilipoandika ile makala katika Africa Events (March/April 1988) magazeti yakakusanywa na kuchomwa moto. Hapo ndipo nilipojua kinachomtisha na ndiyo nikatoa anuani hii kwa kitabu changu: The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Utold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika.