Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru

Status
Not open for further replies.

alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
88
Hizi ni video za muhadhara wa Sheikh Mohamed Said alioutowa UDSM kwa MSAUDI. Natumai utafaidika nazo kwa kujuwa historia ya Waislamu Tanganyika.

*Uislamu Tanganyika 1*

Lecture of Mohamed Said at Dar-es-Salaam University about the role of Muslims in the struggle for the independence of Nyerere amemtaka Abdulwahid Sayks aandike historia ya mapambano ya ugombozi wa Tanganyika. Nyerere hakuyapenda yalioandikwa, kwani hayakumpa Nyerere umbele. Maandishi ya Sayks yamepuuzwa kwa muda wa kupindukia miaka 30. Hivi sasa maandishi haya yako kwa familia ya Sayks.



*Uislamu Tanganyika 2*
Mohamed Said anasema uzalendo wa Tanganyika haukuanza na Nyerere. Viongozi wa Kiislamu wameanzisha Tanganyika African Association (TAA) tokea miaka ya 1920.



*Uislamu Tanganyika 3*
Mohd Said anatuambia kwamba katika kupigania uhuru wa Tanganyika, Tanganyika Railway African Union ikiongozwa na Waislamu walifanya mgomo kwa muda wa siku 82. Huu mgomo umemtia woga Nyerere, na akakata shauri kuitia vyama vya wafanyakazi vyote chini ya mbavu zake.
Juhudi zote za viongozi wa TANU na serekali ilikua kudharau Waislamu na juhudi za Waislamu katika kila lengo la nchi. Kama kua Tanganyika haina Waislamu kabisa.



*Uislamu Tanganyika 4*
Mohd Said anatueleza kwamba gazeti la "African Events" lilizuiliwa kuuzwa Tanzania kwa sababu ya makala aliyoandika Mohamed Said kuhusu juhudi za Waislamu kupigania uhuru wa Tanganyika. Akafika kutishiwa. Zama za Nyerere Waislamu serekalini walifika kuficha majina yao ya Kislamu.




*Uislamu Tanganyika 5*
Viongozi wa TANU walizungumza maandishi ya Mohamed Said na wakataka kuchukulia hatua kali. Lakini Nyerere alikataa ili asipewew Mohamed umuhimu na umaarufu.
Katika miaka ya 1950, jiji la Dar-es-Salaam lilikua na la Waislamu. Hata mabibi wa Kikristo walikua wakivaa mabuibui, kivazi cha Waislamu.




*Uislamu Tanganyika 6*
Mohamed Said anasimlia kwamba Nyerere aliunda kamati ya kuwajibu vitabu vya Ali Muhsin "Conflict & Harmony in Zanzibar" na cha Mohamed Said "The Life and Times of Abdulwahid Sykes".
Tuhuma kubwa ya Mohamed Said kuwa Nyerere siokuwa kaficha juhudi za Waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika, bali amefanya kila juhudi kuwakandamiza Waislamu na Uislamu Tanganyika.



*Uislamu Tanganyika 7*



*Uislamu Tanganyika 8*
Mohamed Said anaendelea kueleza. Nyerere aliogopa hili jambo la kura tatu litagawa TANU baina ya Waislamu na Wakristo. Nyerere mwisho aliweza kuifanya TANU ikubali kura tatu. Hapo ndipo Waislamu walipoteza nguvu zao. Hapo ndipo historia ya TANU ikawa ni Nyerere pekee.



*Uislamu Tanganyika 9*
Mohamed Said anasema TAA ilikuwa imejaa Waislamu. Walitaka kuleta Wakristo ili kuleta umoja wa nchi yote. Hapo ndipo Nyerere alikubaliwa kwa urahisi katika TAA.
Mohamed Said anajibu masuala haya:
Suala: Je Mtemvu alikuwa sahihi katika suala la kura tatu
Suala: Nini hali halisi ya Waislamu?
Suala: Vipi Waislamu wamevunjwa?
Suala: Vipi "East African Muslim Welfare Society" imevunjwa?



*Uislamu Tanganyika 10*
Mohamed Said anaendelea kujibu vipi "East African Muslim Welfare Society"
imevunjwa.



*Uislamu Tanganyika 11*
Mohamed Said anaendelea kueleza vipi "East Africa Muslim Welfare Society"
imevunjwa.

 
Last edited by a moderator:
History should be used to build a better future!!!!! but Sheikh Mohamed Said's motive is to destroy the national unit.

Mnasahau kuwa wakati huo uislam ulikuwa Pwani tu na miji michache sana ya bara km tabora na kigoma. Na mnasahau kuwa it is the same nyerere who crated unity among yourselves kwa kuwatengenezeaa BAKWATA ili mweze kupenya mpaka huku bara na kuendelea kuilea BAKWATA kwa kuipa ruzuku wakati hakutoa hata kipande cha fedha kuzilea taasisi za kikristo badala yake alizinyang'anya hata taasisi zake (za kikristo) kama hospitali ( muhimbili kwa mfano) shule kama minaki and pugu, all to fever you people. Shame on you!!! you should respect nyerere kuliko hata wakristo wanavyomheshimu.

Because kila kitu lazima mfanyiwe ndiyo maana hata court zenu za kidini (kushughulikia issues za ndoa) mnataka serikali ndiyo iwatengenezee ilhali internal courts za kikristo zinazosimamiwa na wachungaji, mapadre na maaskofu zinazoshughulikia issues za ndoa hazikuanzishwa na serikali.

Mpaka leo hamruhusiwi kuwa waislamu wa Ismailia, Bohora etc wala kuingia katika misikiti yao na mwalimu alikuta ubaguzi huu alipofika dar mbona hilo hamlisemi?

damn you
 
Kama kuna kosa alilowatendea Nyerere waislam ni kutaifisha shule na hospital za kikristo na kuzifanya za Umma ili waislam nao waweza kuiona shule. Hilo ni kosa baya alilowatendea Waislamu na Mungu atamsamehe kwa kuwanyanyasa Waislam kihivyo!!!!!!. Tunaona wenyewe sasa Tanzania inavyogawanywa kidini na wanaharakati wa Kiislamu na kuchukua wizara! Umenilazimisha kuongelea udini. Sitaki!
 
Dr. Mohammed Said ukiwa unatoa mihadhara iliyojaa historia kubwa namna hiyo kuhusu Tanganyika na mapambano ya kujikomboa toka kwa wakoloni basi washawishi wanaoandaa mhadhara huo kuutangaza kwa umma wote, maana inaelekea kuna pande kubwa la kihistoria kilichofichwa.

Alsaidy basi mpelekee ujumbe Dr. Said kuwa tunashukuru kwa lecture zake ktk youtube na afanye hima kuposti nyingi, maana kama aliyowauliza wasikilizaji ktk clip ya 2 inaonyesha hata kitabu cha Simba wa Vita a.k.a Mzee Kawawa, vijana wengi wa kitanzania hatuna mapenzi ya kusoma vitabu au vitabu havipatikani au vitabu ni ghali mno kuvinunua.

Shukrani kwa posti hii ya maana kuhusu Tanganyika na waasisi wa mikakati ya kumuondoa mkoloni wa Kiingereza Tanganyika.
 
Its time these demagogues, sheiks Said and Rev Mtikila be locked up and forgoten to rot in their prison cells. Si watu wamungu hawa bali ni maadui wa Amani Tanzania. Yote haya chini ya JK mbali na kuuza nchi sasa na amani inaitishia bado tu mnamchagua huyu bwana Haki-ya-Mungu.
 
Uchuro, nonesense

asiyejua historia yake ni mtumwa, hii wala haina kubishana mtu aende pale E&D Vission Publishing, Afika sana nyuma ya corner bar au club ambiance akapata kitabu kinachoitwa Wanawake wa Tanu kilichoandikwa na bibi Titi Mohamed, Mambo yote hadharani.Kwa vile ilishasemwa ukitaka kumnyima mtanzania kitu kiweke katika kitabu wengi mnaishia kubishana, hii tunayoambiwa sio historia ya kweli ya tanganyika
 
Do you know this fact

Islam has been in existence in East Africa since the eighth century. With Islam, emerged the lingua franca, Kiswahili, spoken throughout East and Central Africa and the Swahili culture which is mostly associated with Muslims. About two-thirds of East Africa's Muslims reside in Tanzania which is the most populous of the East African countries i.e. Kenya, Uganda and Tanzania. According to the 1957 population census, Muslims outnumbered Christians at a ratio of three to two. This means Tanzania is a leading Muslim nation in the region. But the 1967 census the total figures for Tanzania Mainland are 32% Christian, 30% Muslim and 37% local belief
 
Members of the TAA Political Sub-Committee were: Sheikh Hassan bin Amir, Abdulwahid Sykes, Hamza Kibwana Mwapachu, Said Chaurembo, Vedast Kyaruzi, John Rupia and Stephen Mhando. It is also interesting to note that a group of Muslim TAA members in Tabora had passed a resolution in 1953 to transform the association into an open political party. Suffice to state that two members of the Political Sub-Committee, Sheikh Hassan bin Amir and Abdulwahid Sykes were executive members of Da'wat AI-Islamia and Jamiatul lslamiyya respectively providing the link between the new party and Islam.
 
Roman Catholic Julius Nyerere was elected TANU president. A faction within the Party against Christian leadership emerged. Because of their superior education the few Christians who dared to venture into TANU were immediately offered leadership positions8. The main reason advanced for this opposition was the history of the Church as a guardian of the African Christians. Some Muslims in the Party had no confidence in the mission-educated Christians. Christians were perceived as too close to the colonial state to take up a leading role in the struggle against the colonial state. This Islamic ideology did not get support of Muslims although Muslims enjoyed preponderance over Christians in the Party.
 
Some Muslims within the Party rose to challenge this new development.

Sheikh Suleiman Takadir, Chairman of TANU Elders Council, and all Muslim body wanted the Party to discuss this problem. There were fears that the emerging Christian leadership in TANU which would obviously go into the Legislative Council would also go on to form the first independence government. It was feared that these would use Church influence to suppress Islam as a political force. This conflict threatened to split the Party. 1958 was very crucial time for TANU.

For over thirty years Africans had been working towards having democratic principles established in Tanganyika. TANU in 1958 was on the verge of knocking the doors of the Legislative Council but for the problem of Christianity which was again cropping up for the second time in the Party. The majority of Muslims in TANU did not see the African Christians as posing any threat to Islam in free Tanganyika. Many saw the Christian influx into the Party's leadership positions as a catalyst for accelerating the thrust of the struggle - a consolidation of its own strength vis-a-vis the conspiracies of the colonial state. No one saw this rapid changing pattern of Party leadership as a neutralising agent against Muslim influence in TANU.

The Takadir faction which was calling for equal representation between Muslims and Christians in the party leadership and in the independence government was seen as a divisive element. Sheikh Takadir was relieved of his post in TANU, suspended and later expelled from the Party for raising the sensitive issue, which it was feared, would divide the party along religious lines and consequently slow down the tempo of the struggle.

TANU, therefore, selected the following to contest the 1958 election: Julius Nyerere, John Keto, Nesmo Eliufoo, John Mwakangale and Chief Abdallah Said Fundikira.
 
Events started to move in rapid succession. In January 1963 some trade unionists were detained along with prominent Muslim Sheikhs. Rumours making the rounds in Dar es Salaam was that the Sheikhs were planning a coup against the government. Soon after, a prominent Muslim scholar Sherif Hussein Badawiy and his young brother Mwinyibaba who had established in Dar es Salaam a well patronised madras were declared prohibited immigrants and had to leave the country.

In March, the TANU National Executive voted to dissolve the eleven-men working committee of Dar es Salaam Elders Council now under the Chairmanship of Mzee Iddi Tulio. The reason given by the Party for this action was that the Elders Council was mixing politics with religion. This was to be the beginning of a campaign of de-Islamisation of TANU and its history and the end of Muslim predominance in the post colonial party politics.
 
When the Second Muslim Congress was convened in Dar es Salaam later that year these serious issues were put forward for discussion. The Congress established beyond any reasonable doubt that there was a silent purge going on in the Party against Muslims and that there was nationwide anti Muslims campaign against leaders of the EAMWS. President Nyerere was invited to the closing ceremony and the congress registered its regrets to him.

Nyerere talked at length on the problem and somehow managed to cool the situation. But there was no doubt in the minds of the EAMWS leadership that there was organised Church resistance against Islam and Muslims using the Christian leadership in the Party and government to effect its influence and decisions. The Christian leadership in state institutions was now using state power against Islam to have the Church control the government in independent Tanganyika.
 
In January1964 an army mutiny occurred in the Tanganyika Rifles. The government took this opportunity to detain trade unionists and some Muslims who were prominent in the post independence Muslims politics agitating against the government. When the case went on trial at the High Court there was no evidence tendered which showed that the mutiny was Muslims inspired or had any connection whatsoever with any Muslim organisation.


In April a strong delegation of the EAMWS comprising of Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Said Omar Abdallah, Tewa Said Tewa, EAMWS Secretary Aziz Khaki and a TANU elder Sheikh Mwinjuma Mwinyikambi, left for a tour of Islamic countries to solicit financial support for the proposed Islamic University and to establish relations with the Muslim world. The government of the United Arab Republic of Egypt responded positively to the proposed Islamic University. An agreement was signed in Cairo between Tewa Said on behalf of the EAMWS and Vice President Sharbasy on behalf of the Egyptian government.

The government of Egypt promised to build and Islamic University for the Muslims of Tanganyika to be owned and managed by the EAMWS. Capital expenditure of the project was estimated at 55 million sterling pounds to be contributed by the United Arab Republic of Egypt. From Egypt the delegation visited Jordan, Kuwait, Iraq and Lebanon. This was a significant step in the history of Islam in Tanganyika. Tanganyika has been open only to European countries and their various missionary organisations. For the first time in 1964 the country was being opened up for contact with other Islamic countries.
 
Soon after the delegation had returned from the Islamic countries, President Nyerere made a cabinet reshuffle. Tewa Said Tewa, Chairman of Territorial Council of the EAMWS was dropped from the government and appointed ambassador to the People's Republic of China. This it was believed was not unconnected with Tewa's efforts of mobilising Muslims and his efforts to unite them under one organization.

Bibi Titi Mohammed was elected Vice President to run the Organisation in the absence of the President Mr. Tewa Said Tewa. This was in January, 1965. It is from this point that we can now start tracing and analysing how the government finally moved to subvert Muslim unity through a campaign of intrigue, sabortage, bribery and misinformation against the EAMWS leadership which it perceived as a threat to its own political domination over Muslim majority. The government was now literally in Christian hands.

Apart from Zanzibaris in the union government: A.M. Maalim Minister of Commerce and Industry, Aboud Jumbe Minister of State, A.M. Babu Minister of Lands, Settlement and Water development and Hasnu Makame Minister of Information and Tourism, the only Muslim minister from the Mainland in the 15 men cabinet was Said Ali Maswanya, Minister of Home Affairs.
 
The main objective of the EAMWS was according to its1957 constitution was "to propagate Islam in East Africa".16 The society was multi-racial in membership and leadership composition. During its 21 years of existence it abstained from partisan politics. The society strictly confined itself to protecting and promoting Islam in East Africa. Since the mass detention of Muslims in 1964 after the army mutiny the EAMWS seemed to have lost its zeal and purpose.
 
It soon became clear that the government was working towards disbanding the EAMWS using few hand picked Muslims, the end result which was to form a new body which the state could have some control over its activities. This was to be done in order to contain Muslims as a political force.
 
In 1967 Mwalimu Julius Nyerere announced the Arusha Declaration embarking Tanzania on a socialist path. The new economic policy was met with mass enthusiasm. An unknown Muslim school teacher by the name of Adam Nasibu who was the EAMWS Regional Secretary inBukoba seized the occasion and participated in a mass demonstration to TANU Regional headquarters in support of Mwalimu Nyerere's new economic policy. Adam Nasibu was also quoted to have said that socialism was compatible tothe teachings of the Holy Quran. Adam Nasibu went further and issued "guidelines to all Islamic religious leaders in Bukoba providing for a basic explanation on theArusha Decleration".
 
Adam Nasibu received some publicity in the news media because of that behaviour, particularly on his statement that socialism was compatible to the teachings of the Holy Quran. Some Muslims by observing the contemporary political climate as it affected Muslims which was at that moment not conducive to any Islamic influence to the politics for the country, saw in Adam Nasibu a person seeking cheap publicity by courting the government. All this notwithstanding the action by the Bukoba Secretary had very adverse effect on the entire society and its leadership. Adam Nasibu was seen as the champion of the people and a progressive Muslim leader who the government could depend upon.
 
On 17th October 1968 Adam Nasibu was again on the limelight but this time he was no longer a stranger to the people. People now knew him as the partisan Bukoba EAMWS Secretary who had supported the Arusha Declaration and issued directives to other Muslim leaders explaining the salient features of the document. Adam Nasibu made an announcement through the state radio and the party press that his region was splitting from the EAMWS.19 Overnight Adam Nasibu became a household name as the mass-media of the party and government started to build up his image and publicized what came to be known as the Muslim' crisis'. The Party dailies had a field day:
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom