Ukweli kuhusu ushoga

Ukweli kuhusu ushoga

Mashoga wanatafuta watu maarufu na waliokuwa na nguvu katika historia wanawapakazia kuwa nao walikuwa mashoga ili kujustify matendo yao. Siungi mkono jinsi makonda anavyoendesha kampeni yake maana huwezi mdharirisha mtu kwa kusema tu bila kuwa na ushahidi maana kama ni kusema hata yeye alishasemwa kuwa ni kati yao lakini akikujua unamsema nina hakika anakuchukulia hatua.
Lakini ninashauri tuangalie makuzi ya watoto wetu maana haya mambo yanaanza mtu akiwa mtoto na siku hizi wazazi wanapeleka watoto boarding hawana hata muda ya kuwalea vizuri.
Hahaha umepiga mulemule haswa, wale inspirational speaker hawakawii kusema Bilgate, waren Buffet, sijui Mark Zuckerberg au Freemanson wote ni mashoga wa siri kujustify uozo huo.
 
Inasemekana Alexandre the Great alikuwa shoga. Fikiria huyu mwanaume aliyekuwa na nguvu ya kuteka nchi na kuendeleza himaya yake lakini hakuwa mkamilifu.

Roman Army ilikuwa na mashoga, walifanya kwa siri kubwa kwani ilikuwa ukigundulika unauliwa. Wengi baada ya kustaafu ilibidi waoe ili kuficha aibu kwenye jamii.

Mashoga wa Ulaya wamepigana sana kupata haki sawa. Ni mpaka miaka ya 1960 wanaume walifungwa kwakuwa mashoga. Waliitwa insane na walitengwa na jamii.

Mashoga matajiri kama wakina Elton John, Terrence Higgins na wengineo wametoa mchango mkubwa sana katika utafiti wa Tiba ya UKiMWI.

Tofauti kubwa iliyopo ni tofauti ya uchumi kati ya nchi zetu na nchi za Ulaya. Vijana wetu wadogo wengi wako hatarini kujihusisha na matendo ya kishoga kwasababu za ki uchumi tofauti na vijana wa Ulaya ambao huchagua maisha hayo.

Nguvu nyingi ielekezwe kuokoa vijana kiuchumi kwa mipango endelevu.
Sky Eclat,kwa title ya bandiko lako,I expected more than this.Anyway,
tumekusikia.
 
Hamna mtu anayetafuta kiki, ila sehemu yoyote ile ukiona kuna tabia mbovu usiiache kuikemea , eti utaoneka unatafuta kiki, huo ni wajibu wako ukishindwa Mungu atakuuluza kwani lengo la Mungu hataki binadam yoyote apotee dhambini . Sisi ni binadam tunahitaji kusaidiana na kurekebishana sisi kwa sisi kiroho na kimwili na ndio maana Mungu katupa vipawa tofauti, ila kwa kubatizwa kwetu tumefanya tuwe manabii, ili kusaidiana na viongozi wetu wa kiimani kuwatafuta waliopotea na kuwarudisha kundini.
[emoji111]
 
Sky Eclat,kwa title ya bandiko lako,I expected more than this.Anyway,
tumekusikia.
Ninamengi ya kuandika lakini wakati ninaandika nilikuwa ninaharakisha nisichelewe kanisani. Nilitaka kuandika jinsi essence walivyo na akili na wameshika sehemu nzito za serikali katika nchi za Ulaya. Wanajeshi budget ya serikali na wamepigania mpaka sasa hivi wagonjwa wa HIV wamepewa haki ya kuitwa walemavu. Wameupigania sana huu ugonjwa kwani uliwasumbua sana. Wana lobby pesa za research ya huu ugonjwa.

Kwa hilo ninawapa heshima.
 
Hii serikali ya Jiwe ni wajanja Sana sasa wameona wacheze na emotions za watanzania kufunika uovu, nchi imeshawashinda.
 
Back
Top Bottom